afrika

  1. Jinsi Waarabu wanavyoendelea kutawala soka la Afrika

    Waarabu wameshaonja utamu wa asali ya pesa za CAF kwa hiyo wamejijengea mtandao mkubwa wa kuhakikisha hakuna boya yoyote anakuja kuwanyang'anya asali na himaya yao. Miaka ya hivi karibuni Simba na Yanga zimejitahidi kufanyafanya usajili na kujifunza mikakati michache ya ndani na nje ya uwanja...
  2. WHO yamtangaza Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika baada ya kifo cha Dkt Faustine Ndugulile

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza uteuzi wa Dk Chikwe Ihekweazu kama Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, huku likiweka wazi kuwa, Mkurugenzi mpya wa Kanda atachaguliwa Mei mwaka huu. Uteuzi huo unakuja kufuatia kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda...
  3. T

    Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

    "IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION". Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani...
  4. Sunday World: Jeshi la Afrika Kusini liliua zaidi ya wapiganaji 600 wa M23

    Kwa mujibu wa gazeti la Sunday World la Afrika Kusini, Wanajeshi wa Afrika Kusini walipambana vikali na kuwaua waasi 600 wa M23 katika mapigano makali ya saa 24 mjini Sake, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Waasi wa M23 walikusanya miili ya wenzao na kuitia moto ili kuficha...
  5. B

    Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

    Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa. Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo...
  6. Vita za Afrika zinaendeshwa kiuchawi kwa asilimia kubwa- Yericko Nyerere

    Ikulu ya Kinshasa DRC, Rais Felix Tsheked baada ya kushika kiti aliwahi kuwaalika Wachawi maarifu wote Nchini DRC kufika Ikulu na kusaidia kuongeza nguvu kuwakabili M23 muhula wake wa pili! Wachawi hawa kwa pamoja waliahidi kushinda Vita na walisema wako pamoja na Rais Tsheked. Usilolijua...
  7. Kagame: Wanaoiba Madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya, sio Rwanda

    Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya. Kagame anasema haibi madini ya Congo, anayo madini yake anachimba Rwanda. ================= President Paul Kagame says he doesn't know if...
  8. Dawa ya kutokomeza migogoro inayotokea hapa Afrika hususani ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara

    Habari wakuu! Kutokana na migogoro ambayo haiishi hapa katika nchi zetu za Afrika hususani kusini mwa jangwa la Sahara napendekeza baadhi ya mambo ambayo yatadumisha amani yetu. 1.Viongozi wa Africa waungane na wamalize tofauti zao zisio na tija kama tunavyoona baina ya Kagame na Tshisekedi...
  9. Matamanio ya Trump juu ya Afrika je waaafrika tunayachukuliaje?

    "TRUMP ASITISHA MISAADA YA NJE KWA SIKU TISINI, WHO YAAHA KUTAFUTA NJIA YAKUJIKWAMUA KWA KITISHO CHA TRUMP " Anaekulisha anakutawala anae kuvisha anataka umnyenyekee alisema Castro badae Sankara Kisha Traole Sasa ni wakati wawaafrika kuamka kwenye usingizi. Mzito uliojaa ndoto butu zakuitegemea...
  10. Rekodi mpya: Majeshi 15 makubwa zaidi barani Afrika 2025

    Je! Unajua kuwa Misri ni moja ya majeshi 15 yenye nguvu zaidi ulimwenguni? Jeshi la Misri ni kubwa Mara 3-4 kuliko jeshi la Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦. 1. Misri πŸ‡ͺπŸ‡¬ 2. Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ 3. Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ 4. Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦ 5. Ethiopia πŸ‡ͺπŸ‡Ή 6. Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ 7. Moroko πŸ‡²πŸ‡¦ 8. DR Congo πŸ‡¨πŸ‡© 9. Sudan πŸ‡ΈπŸ‡© 10. Libya πŸ‡±πŸ‡Ύ 11.Tunisia...
  11. Athari za Mfumo wa Kichama kwa Idara za Usalama na Ulinzi Kabla na Baada ya Uhuru

    Kutoana na kutoka ukoloni mpaka kuwa watawala kuna utofauti kati ya idara za usalama na ulinzi kabla na baada ya uhuru, hasa katika muktadha wa Afrika na mataifa mengine yaliyojitawala kutoka kwa wakoloni. Kabla ya uhuru, idara za usalama na ulinzi mara nyingi zilikuwa zikitumika kama vyombo...
  12. Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu

    Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU; 1. Afrika Kusini: 7,700,000 2. Msumbiji: 2,400,000 3. Nigeria: 1,700,000 4. Uganda: 1,500,000 5. Kenya: 1,400,000 6. Zambia: 1,300,000 7. Zimbabwe: 1,300,000 8. Malawi: 980,000 9. Ethiopia: 610,000 10. DRC: 520,000
  13. Tumeukumbatia muziki wa Afrika Kusini ila style hii tunaikwepa

    Muziki wa Afrika Kusini uko "influenced" sana na historia zao za mapambano dhidi ya ubaguzi. Style zao za uimbaji na uchezaji zinatoka moja kwa moja katika viwanja vya mapambano ya kudai usawa na kupinga ubaguzi wa rangi. Style yao mpya ya muziki wa Amapiano imemix mitindo hiyo ya zamani ya...
  14. Rwanda inataka kujifanya "Israel ya Afrika mashariki", haiwezekani na yapasa adhibitiwe haraka

    1. Zote ni vinchi vidogo kieneo. 2. Watu wake wanajiona ni "special/superior" kuliko wengine. 3. Viongozi wao wote hawataki kutoka madarakani, madikteta uchwara. 4. Wote wana wazo la kujitanua kieneo zaidi mfano "Greater Israel" 5. Wote karata yao ya mwisho ni mauaji yaliotokea i.e Rwanda...
  15. T

    M23 yalitembelea Jeshi la Afrika Kusini kambini kwao

    Jeshi la M23, limetembelea kambi ya Mubambiro. Baada ya mazungumzo (hawakuingia kambini, waliishia nje ya kambi). Wanajeshi wa Afrika kusini wameonyesha kuridhia ukarimu wa M23 na kuomba mambo matatu: 1. Kuruhusiwa kwenda Goma, kwa kutumia vifaru, wakakusanye vitu vyao vilivyopo kwenye kambi ya...
  16. K

    Kariakoo ivunje na ijengwe upya ili pawe 'Guangzhou' ya Tanzania na Afrika. Kitovu Cha biashara, uchumi na uwekezaji.

    Moja ya maombi ninayoomba kila Leo kwa Mungu ni kuipa nguvu kamati Mhe. Rais aliyomwagiza waziri Mkuu kuundwa ili kuchuguza uimara na ubora wa majengo ya kariakoo na Mhe.Rais aligusia kwamba hawatasita kubomoa majengo yote kariakoo kama kamati ikishauri hivyo. Ombi hili kwa Mungu linatokana na...
  17. Viongozi wa dunia ya 3 upeo wao wa kuona mbele ni miaka 4 mpaka 5, huku viongozi wa Dunia ya 1 uono wao wa kuona mbele ni miaka 50 mpaka 100

    Habari, Kwa ambao tumesoma shule zilizojengwa na Wazungu hii mada haitakuwa ngumu kwenu. Mimi nimesoma shule iliyojengwa 1923 na Waingereza. Ile shule mpaka sasa ina majengo ya mkoloni yenye uimara. Wenzetu wanapojenga, wanapoamua au kupanga jambo hutazama vizazi vinavyokuja ila sisi...
  18. Marekani: Afrika inakuhitaji rudi uwe nasi

    Nakuomba sana Marekani Afrika bado inakuhitaji sana, Sisi ni kama watoto bado hatuwezi wenyewe unajitoa unajipeleka wapi Marekani? Marekani baba kama kuna mahali tumekukosea tunaomba utusahamee, tunakuomba sana. Angalia unajitoa je ARV tutakuwa tunapata wapi? Na kuna zile neti je? Kuna...
  19. Jinsi Ufaransa inavyomiliki Viongozi wa Nchi za Afrika

    UFISADI WA ELF AQUITAINE: NJAMA ZA KIFEDHA KATI YA UFRANSA NA AFRIKA Mwaka ni Julai 1994. Mdhibiti wa masoko ya fedha wa Ufaransa ametuma ripoti yenye utata kwa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Umma wa Paris. Ripoti hiyo ilihusu uwekezaji wa kutiliwa shaka uliofanywa na moja ya kampuni kubwa za...
  20. Donald Trump ni Rafiki wa kweli wa Afrika, wajinga na wanufaika wa misaada pekee watalaumu maamuzi yake

    Je sisi ni raia wa Marekani ? Je tunalipa kodi au tozo Marekani? Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ? Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada. Nadhani Africa tumepewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…