afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ya Afrika yaingia katika hali ya maafa baada ya kukandamizwa na sera ya ushuru ya Marekani

    Katika mitaa ya Maseru, mji mkuu wa Lesotho, viwanda vya nguo vilivyokuwa na oda nyingi vimefungwa. Wafanyakazi waliokosa kazi wanasimama kwa foleni chini ya jua kali, wakiinua mabango yanayosema: "Tunahitaji kazi, tunahitaji chakula." Nchi hii ya milimani ya Afrika ambayo rais wa Marekani...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani alaumiwa kwa kuwaaibisha viongozi wa Afrika

    Marekani hivi karibuni iliandaa mkutano kati yake na nchi tano za Afrika ambazo ni Gabon, Guinea-Bissau, Mauritania, Senegal na Liberia. Lakini kwenye mkutano huo, Rais Donald Trump wa Marekani alifanya vitendo vingi visivyofaa kwa viongozi wa nchi hizo za Afrika, na jambo ambalo limewakasirisha...
  3. JamiiForums Tanzania Mjadala halisi wa wabunge la Ulaya kuhusu demokrasia za Afrika

    Hapa unaweza kujionea mwanzo mwisho wa kilichodiliwa jana kuhusu demokrasia za nchi zetu. https://www.youtube.com/live/UKi9Fg-SmT8?si=kWlHqF6ElFu-bIDb
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika sehemu kubwa haiendelei?

    Sehemu kubwa ya bara la Afrika haiendelei kwa sababu Afrika imejaza watu wengi wajinga sana waliopindukia. Afrika ni bara lenye watu wengi wajinga wajinga sanaaaa. Afrika kuendelea ni ngumu kama bado ujinga sugu upo. Hawa wajinga sugu utawakuta katika ngazi ya familia mpaka serikalini.
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika, Mhe. Janet Sallah-Njie (kulia).....

    Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
  6. JamiiForums Tanzania Joseph Philippe Lemercier: Abiria pekee mwenye asili ya Afrika aliyekuwa ndani ya meli ya Titanic

    Historia ya Joseph Philippe Lemercier Laroche (1886–1912) Joseph Philippe Lemercier Laroche alikuwa mhandisi kutoka Haiti, anayejulikana sana kwa kuwa mtu pekee mwenye asili ya Kiafrika aliyesafiri kwenye meli ya kifahari RMS Titanic ambayo ilizama Aprili 1912. 🧑‍🎓 Maisha ya Awali Joseph...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa pili wa umoja wa mabaraza ya habari Afrika

    https://www.youtube.com/live/TESsdXCNBrU?si=zVojh8cRb2WhaVBx Mkutano wa Pili wa Mabaraza ya Habari Afrika 2025 umeelezwa kuwa ni fursa ya kihistoria kwa vyombo vya habari barani Afrika kuimarisha ushirikiano wa kikanda, kukuza matumizi ya teknolojia mpya, na kushiriki kikamilifu katika...
  8. JamiiForums Tanzania Nashangaa Wale Wanaoshobokea Waarabu — Hivi Mnajua Kwao Hamuoi Wala Hamuolewi? Mnatambua Kwamba Kuoa na Kuolewa Nao ni Kuchafua Koo Zao na Damu Zao?

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Katika zama hizi za mchanganyiko wa mitazamo na hamaki za kimatamanio, watu wengi wanajikuta wanashindwa kutofautisha kati ya upendo wa kweli na tamaa ya kimfumo. Kinachonishangaza, tena kunipa mshituko wa kifikra, ni kizazi cha sasa – wasomi, wapendeza, wa...
  9. JamiiForums Tanzania Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump amefanya Mkutano na Viongozi wa nchi tano za Afrika

    Rais wa Marekani Donald Trump, amefanya mkutano na viongozi wa nchi tano za Afrika, Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal katika Ikulu ya White House. Mkutano huo uliandaliwa kujadili masuala ya biashara, ushirikiano, usalama na uwekezaji wa kiuchumi kati ya Marekani na bara la...
  11. JamiiForums Tanzania Huu utiriri wa wachina na umachinga wao unaashiria nini kwa Tanzania na Afrika?

    Kwa wanaopitapita kwenye mitaa ya miji yetu hasa Dar, watakubaliana nami kuwa Tanzania ni mojawapo inayochezewa na kunyonywa na wachina. Walianza wahindi na sasa wanafuatia wachina. Je, sie tuna tatizo gani kama binadamu hadi kila ajaye anatunyonya na kututumia?
  12. JamiiForums Tanzania Kabila kubwa kwa kila nchi ya Afrika. TZ duh!!!!

  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano nchi za Ulaya wakilupuana na manyuklia wazungu watakao baki hai unahisi wakimbilia bara gani kati ya Afrika na Amerika kusini?

    Kichwa cha habari cha husika ..maana kwa hesabu za haraka haitapita miaka 50 bila hili kutokea
  14. JamiiForums Tanzania Black Panther: Filamu kama njama ya kufuta historia halisi ya harakati za Black Power

    Ni mwaka wa 2018, ulimwengu ulizizima kwa uzinduzi wa filamu ya Black Panther, kazi ya Marvel Studios iliyoongozwa na Ryan Coogler. Kwa wengi, ilionekana kama ushindi wa uwakilishi wa Waafrika na Wamarekani Weusi kwenye sanaa ya Hollywood. Watu walifurika sana kwenye kumbi za cinema kutazama...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana Muda wa kutembea uione Dunia ni miaka kati ya 20 - 35 kwa hapa Afrika. Kwa Ulaya ni 50 mpaka 85

    Hamjambo! Ukiwa na umri wa miaka 20-35 usipendelee kukaa sehemu moja, mkoa Mmoja au nchi Moja. Huo ndio umri wa kuzurura. Zunguka Tanzania nzima maeneo Muhimu. Ijue nchi yako. Ukimaliza anza kujiandaa na routes za NHS ya nchi. Kama muda utakuwa umekuishia na majukumu yakaanza kubisha hodi...
  16. JamiiForums Tanzania Kihasibu imekaaje? Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika

    Moja kwa moja kwenye mada. Nimeipata kwa Micky wa Ghana. 🚨 Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika! 🌍 ✅ Pyramids FC ndio timu ya kwanza ya Afrika kufuzu! 🎟️ Nafasi 3 zaidi zitakwenda kwa mabingwa wa CAF Champions League wa misimu ijayo: 2025/26 2026/27 2027/28 📌 Iwapo timu itashinda...
  17. JamiiForums Tanzania SADC: Sekta ya nishati iwe kichocheo cha kuiunganisha afrika kujenga uchumi

    SADC: SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI 📌 Yasisitiza utekelezaji wa miradi ya kipaumbele ya Nishati 📌 Kapinga ataka SADC kuweka dhamira thabiti na mikakati madhubuti ya utekelezaji wa Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kukutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika

    Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadiliana 'fursa za kibiashara' kwa mujibu wa Ikulu ya White House Trump atakutana na viongozi wa Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa majadiliano na chakula...
  19. JamiiForums Tanzania Kenya inafanya uchaguzi mwaka 2027,fainali za mataifa ya Afrika (CAF) 2027 zitachezwa Nairobi, je itawezekana na jinsi wameanza kuvurugana?

    Mechi ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika itapigwa Nairobi. Lakini tunazijua siasa za Kenya zilivyo na machafuko, maandamano na kuuana. Uchaguzi wa taifa la Kenya ni 2027.Sioni kama hii fainali itapigwa Kenya. Tanzania naiona ikibeba fursa
  20. JamiiForums Tanzania Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika mpaka Ulaya lakini hakuna wazo la kujenga daraja

    Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika kwenda Ulaya lakini hakuna aliyependrkeza wazo la kujenga daraja. Wakati tunaelewa Ulaya inapata malighafi nyingi kutoka Afrika na pia inapata wafanyakazi vijana kwa ujira mdogo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…