afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Wataalam wa Afrika Kusini waukubali Ubora wa Chanjo ya Johnson & Johnson

    Sote tunafahamu kuwa Afrika Kusini ndiyo nchi inayoongoza katika bara la Afrika katika huduma bora za afya na teknolojia ya afya. Afrika Kusini, kwa takwimu rasmi, ndiyo inayoongoza katika maambukizi na vifo vinavyotokana na covid 19, japo kiuhalisia hatujui kama huo ndio ukweli wenyewe au ni...
  2. Baada ya kuona hamna nafuu, Manji aamsha popo

    Mfanyabiashara Yusuf Manji amerejea ughaibuni baada ya kukaa nchini kwa takribani mwezi mmoja huku akikumbana na misukosuko baada ya kukamatwa na kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na kisha kuachiwa kwa dhamana. Taarifa zilizolifikia Mwananchi na kuthibitishwa na...
  3. Sad News: Watanzania Wanne Wauawa Afrika Kusini Katika Vurugu Zinazoendelea Nchini Humo

  4. Amapiano vs Singeli

    Yote ni aina ya muziki wa kiafrika kutoka mitaani wanakoishi Waafrika wa hali ya kawaida. Amapiano nasikia inatokea mitaa kama Soweto, Katlehong, Vosloorus ama Mamelodi huko Afrika Kusini. Tena ulionekana muziki wa watu wa mitaani. Lakini hatimaye huu mziki umekubalika na kuigwa na watu wa...
  5. Rais Samia, maisha ya vijana kwa sasa hayaridhishi. Nguvu kubwa itumike kubadili mfumo wao wa maisha

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wetu mpendwa nasikitika leo kusema kuwa mpaka kufikia mwaka 2030 kama nguvu kubwa zaidi hazitatumika za kubadili mfumo mzima wa maisha yetu, nahofia vurugu tunazoziona hivi sasa huko Afrika ya Kusini zikitokea tutazishuhudia zikitokea hapa kwetu pia, tena kwa ukubwa...
  6. Japan: Wachezaji wawili wa Afrika Kusini wapatikana na maambukizi ndani ya Kijiji cha Olimpiki

    Wachezaji wawili wa Afrika Kusini ambao wapo nchini Japan kushiriki mashindano ya Olimpiki wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona siku ya Jumamosi, wakitajwa kuwa washiriki wa kwanza wa mashindano hayo kupata maambukizi ya virusi vya corona wakiwa ndani ya Kijiji cha Olimpiki...
  7. Ghasia Afrika Kusini: Mtanzania apata hasara ya mil 300

    Vurugu zilizoibuka wiki iliyopita nchini Afrika Kusini zimemrudisha nyuma kimaisha Mtanzania Omari Juma, anayeishi na kufanya shughuli zake nchini humo. Juma, aliyekuwa akimiliki studio na kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki kwa kushirikiana na raia wa Cameroon, Alino Alino, amejikuta...
  8. Watu 72 wamepoteza maisha nchini Afrika Kusini kufuatia ghasia zinazoendelea

    Watu 72 wamepoteza maisha nchini Afrika Kusini kufuatia ghasia zinazoendelea kushuhudiwa kati ya wafuasi wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma na maafisa wa usalama. Kwa siku zipatazo tano, wafuasi wa Zuma ambaye anaendelea kutumikia kifungo chake cha miezi 15 jela, wamekuwa wakiandamana...
  9. Uhuni unaoendelea nchini Afrika Kusini hauvumiliki

    Habari Wana JF natumaini mpo njema, Husika na kichwa hapo juu, Wote tunaona yanayoendelea Huko bondeni Kwa madiba, Hivi wale ndugu zetu kwa zile akili zao sijui hata nisemaje maana imekua too much aisee. Yaani katiba ya nchi inamuwajibisha Rais mstaafu Kwa Yale mambo aliyoyatenda akiwa...
  10. Picha ya siku: Kinachoendelea Afrika Kusini

    Kinachoendelea Afrika kusini ni baada ya kuwepo kwa: 1. Uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership. 2. Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana. 3. Ukosefu wa ajiri uliopitiliza. 4. Watu kuwa na chuki pamoja na...
  11. Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown”

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown” kama njia mojawapo ya kupunguza maambukizi ya Covid- 19 nchini humo. Hatua hiyo imekuja kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Corona nchini Afrika ya Kusini. Ramaphosa alisema...
  12. Maandamano yaendelea kushika kazi Afrika Kusini kufuatia kukamatwa kwa Jacob Zuma

    Mamia ya watu wamekamatwa nchini Afrika Kusini huku ghasia zikienea kufuatia kufungwa jela kwa rais wa zamani Jacob Zuma. Waandamanaji wanaomuunga mkono Zuma kwanza waliingia mitaani baada ya kiongozi huyo wa zamani (79) kujisalimisha kwa mamlaka Jumatano ili kuanza kifungo cha miezi 15...
  13. Wadau, mna maoni gani kuhusu vurugu inayofanyika Afrika Kusini?

    Wadau, wiki iliyopita nimekuwa nikitazama hii kesi ya Jacob Zuma. Zuma alifungwa kifungo cha miezi 15. Alikamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi. Wafuasi wake wakaanza kuandamana. Usiku wa kuamkia juma mosi walichoma trucks (Ukipenda trela yaani yale malorry makubwa) zaidi ya 30. Baada ya kuchoma...
  14. Afrika Kusini: Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la Jacob Zuma

    Siku chache baada ya Jacob Zuma kujisalimisha Polisi kuanza kifungo cha miezi 15, Mahakama Kuu Nchini humo imetupilia mbali ombi lake la kuzuia kukamatwa kwake. Licha ya kujisalimisha Polisi, Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini amepinga kifungo chake na Mahakama ya Kikatiba ambayo ilitoa...
  15. Jacob Zuma: Sioni haja ya kwenda jela kipindi hiki cha mlipuko wa COVID-19

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesema hana haja tena ya kwenda jela baada ya Mahakama ya Kikatiba iliyotoa hukuku ya kifungo cha miezi 15 jela kukubali kusikiliza rufaa yake. Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake siku ya Jumapili, Zuma amesema hakuna sheria inayomlenga...
  16. Jacob Zuma aomba hukumu yake kubatilishwa. Asema afya yake si nzuri na kwenda jela kunaweza kumuua

    Aliyewahi kuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameomba Mahakama kubatilisha Hukumu yake ya kufungwa miezi 15 alisema inaweza kumuua endapo atapata COVID19 gerezani. Amesema yeye ni Mzee wa miaka 79 na hali yake kiafya ni miongoni mwa sababu hatakiwi kwenda jela kwakuwa itamuweka kwenye hatari...
  17. Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

    Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15. Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais. ======...
  18. COVID-19: Afrika Kusini yapiga marufuku mikusanyiko na mauzo ya pombe kutokana na mwenendo wa mlipuko

    Afrika Kusini imetangaza masharti mapya yanayolenga kudhibiti ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo mikusanyiko yote ya ndani na nje itapigwa marufuku kwa siku 14 Aidha, Rais Cyril Ramaphosa amesema katika siku hizo mauzo ya pombe na safari kuelekea au kutoka maeneo yaliyoathiriwa...
  19. WHO kuanzisha kituo cha chanjo za Covid19 Afrika Kusini

    Shirika la Afya Duniani(WHO) limetangaza kuanzisha kituo cha kutengeneza chanjo za #COVID19 zinazotumia mRNA Afrika Kusini Kituo hicho kitasaidia kuwapa utaalamu na leseni kampuni za Uchumi wa Kati na Chini kuzalisha chanjo hizo Hadi sasa chanjo zinazotumia mRNA ni Astrazeneca na Moderna...
  20. Afrika Kusini: Jeshi kusaidia mapambano dhidi ya Virusi vya Corona

    Serikali inawapeleka Wataalamu wa Afya kutoka Jeshini kwenye Jimbo la Gauteng ambalo ni idadi kubwa ya watu na ni kitovu cha Biashara, ili kusaidia mapambano dhidi ya Corona Virus. Afrika Kusini ambayo imeathiriwa zaidi ya mlipuko huo Barani Afrika inakabiliwa na wimbi la tatu ambapo maambukizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…