afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Treni yenye Watalii 60 yatoka Afrika Kusini hadi Tanzania

    TRENI YA WATALII YA ROVOS YAPOKELEWA Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imepokea treni ya Kitalii Kampuni ya ROVOS yenye Watalii 60 kutoka nchini Afrika Kusini. Treni hiyo ilianza safari yake mwezi Juni 30, 2023 na imepita katika nchi za Botswana, Zimbabwe...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini na Congo DRC zasaini mkataba wa ujenzi wa bwawa la Umeme la Megawati elfu 70 mto Congo

    Nchi za Afrika Kusini na Congo DRC zimetiliana saini ya mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa bwawa la umeme la Megawati elfu 70 ama GW 70 katika maporomoko ya mto Congo. Mradi huo unaoitwa Grand Inga Dam Project uko mto Congo na unakadiriwa kugharimu Dola Bilioni 80 hadi kukamilika kwake na...
  3. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Idara ya Haki na Katiba yapigwa faini kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi

    Mamlaka ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Afrika kusini (Information Regulator) imeipiga faina ya Randi millioni Tano (Tsh milioni 108) Idara ya Haki na Maendeleo ya Katiba “Department of Justice and Constitutional Development” DoJ&CD. Kabla ya kupigwa faini DoJ&CD ilipewa notisi ya siku 30...
  4. JamiiForums Tanzania Shoking: South African taps run dry after power shortages

    Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji. Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo kukatika kwa umeme kwa muda mrefu kumeathiri sana upatikanaji wa maji sehemu mbalimbali ikiwemo miji ya...
  5. JamiiForums Tanzania Vurugu zisizoisha kitongoji ninachoishi Afrika Kusini

    X
  6. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kubadilisha Sheria ili kukwepa kumkamata Putin

    Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika ili kuwa na nguvu ya kuamua mtu wa kumkamata pindi anapotuhumiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Rais wa Urusi,Vladimir Putin ana mwaliko wa kushiriki kikao Agosti 2023 Nchini Afrika Kusini na yupo hatarini kukamatwa kutokana na vita inayoendelea...
  7. JamiiForums Tanzania Kimenuka huko Afrika Kusini

    Waraka huo hapo chini,wapeni Tahadhari ndugu,jamaa na marafiki zenu
  8. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini uko imara

    Na Mwandishi Wetu Pretoria, Afrika Kusini Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi amesema uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini uko imara na unaendelea kukua siku hadi siku katika nyanja mbalimbali ikiwemo sekta ya Utamaduni. Balozi Milanzi amesema hayo Mei 22...
  9. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Upinzani wataka uchunguzi wa Nyumba za Mawaziri kutokana na gharama kubwa za Maboresho

    Chama Kikuu cha upinzani cha Democratic Alliance (DA) kimeomba mamlaka ya kupambana na Rushwa na Ufisadi kuchunguza mikataba inayodaiwa kuwa na gharama kubwa kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za Mawaziri zinazotajwa kuwa za anasa Ni baada ya Serikali kubainisha kuwa kati ya 2019 na 2022...
  10. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yadaiwa kuisaidia Silaha Urusi kwenye vita ya Ukraine

    Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ameishutumu nchi hiyo kwa kusambaza silaha kwa Urusi licha ya kudai kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine. Reuben Brigety alidai kuwa meli ya Urusi ilisheheni risasi na silaha mjini Cape Town Desemba mwaka jana. Ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuliwasaidia watu wa Afrika kusini ili wapate uhuru. Ukweli ni kuwa hawako huru huku sisi tukibakia kuwa masikini bila msaada wowote

    Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu. Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu. Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini na wanataabika. Sisi watanzania tulipoteza mali zetu badala ya kujikita kujiinua kiuchumi.
  12. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu 10 wa Familia Moja Wauawa kwa Risasi

    Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu. Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana walivamia na kufanya mashambulizi katika familia hiyo ambapo mshukiwa mmoja ameuawa eneo la tukio ...
  13. JamiiForums Tanzania Tamko la chama cha upinzani Afrika Kusini kuhusu kukamatwa kwa Thabo Bester nchini Tanzania

    Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini EFF kimepokea kwa mikono miwili hatua ya kukamatwa kwa Raia watatu wa Afrika Kusini ambao mmoja wa ni Thabo Bester maarufu kwa jina la ‘Mbakaji wa Facebook’, pamoja na Mpenzi wake Dr. Nandipa Magumana na mtu mwingine mmoja aliyetajwa kwa jina la...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania kuleta faru kutoka Afrika Kusini baada ya kutokomea kwa ujangili

    Katika jitihada za kuvutia watalii, hifadhi ya Mikumi ina mpango wa kurejesha faru ambao walotokomezwa na ujangili miaka ya 1980 na 90. Faru ambao wako kwenye kundi la wanyama watano wakubwa zaidi wanakosekana Mikumi. Faru wawili wa mwisho walionekana mikumi zaidi ya miaka 30 iliyopita upoteaji...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Jokate azuru Afrika Kusini kutangaza zao la mkonge na bidhaa zake pamoja na masuala ya uhifadhi wa wanyamapori na mazingira

    DC JOKATE AZURU AFRIKA YA KUSINI KUTANGAZA ZAO LA MKONGE NA BIDHAA ZAKE PAMOJA NA MASUALA YA UHIFADHI WA WANYAMAPORI NA MAZINGIRA - 28-03-2023 Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe Jokate Mwegelo amezuru Afrika Kusini wiki hii kutangaza umuhimu wa Vijana wa Afrika kushiriki katika Ujenzi wa Afrika...
  16. JamiiForums Tanzania Julius Malema: Tutamlinda Putin dhidi ya ICC atakapowasili Afrika Kusini

    Chama cha wachache cha upinzani cha Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters (EFF), kimesema Rais wa Urusi Vladimir Putin anakaribishwa kuzuru Pretoria licha ya hati ya kukamatwa iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi yake. Mahakama ya ICC, ambayo Afrika Kusini imetia...
  17. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini itatakiwa imkamate muuaji Putin na kumpeleka ICC

    Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee..... waumini wa Putin povu ruksa Russia's President Vladimir Putin will be attending the Brics Summit in August this year, on...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini, Kenya, Nigeria na Tunisia leo kuna maandamano. Hawa ni vinara wa uchumi wa Afrika wanadai maisha bora zaidi na demokrasia

    Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo barabarani wanadai mambo bora zaidi. Maandamano ya amani ni njia mojawapo nzuri sana ya kudai yote...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kinachotokea Afrika Kusini na Kenya inaweza kuwa sawa na Arab Spring kwa nyingine za Afrika

    Mlipuko wa Arab Spring ilianza kama masikhara nchini Tunisia baada kijana mmoja mhitimu wa Chuo Kikuu aliyekosa kazi na kuamua kuuza matunda kwa kutumia toroli mitaani. Lakini alipokatiza mbele ya ofisi za Serikali kuuza matunda alizuiwa na kuadhibiwa kuwa anachafua mwonekano wa mtaa huo. Hasira...
  20. JamiiForums Tanzania Maandamano Afrika Kusini: Polisi yakanusha kuwapa 'Sungusungu' Silaha kupambana na Waandamanaji

    Polisi imekanusha kuwapa silaha Askari Jamii ili kusaidia kuzuia maandamano ya kuipinga Serikali ambayo tayari yameanza katika baadhi ya miji Chama cha upinzani, Economic Freedom Fighters, (EFF) kilidai kwamba walinda doria wa Kitongoji cha Honeydew, katika Jimbo la Gauteng, walipewa sare za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…