Kila la kheri Stars inakwenda Afcon Morroco kwa ushindi wa 2-1 leo!

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
19,764
23,991
Niliwacha kuishangilia stars tangu siku ya mechi ya stars dhidi ya bukina faso walipoitungua 2-1 nafikiri 2007 kama sikosei niliipuza baada ya kuingia siasa za maricio maximo na baadhi ya wachezaji nikawaacha na stars yao,
Lakini kwa kiwango chajuzi kipindi cha kwanza kama bacca,Samatta, kapombe na miroshi watajituma kama mechi ya wiki iliyopita basi tunakwenda Afcon bila kipangamizi,watanzania twendeni uwanjani tukashangalie ushindi wa stars leo!
Bahati mbaya nipo safarini ughaibuni lakini kiroho tutakuwa pamoja uwanja kuhanikiza ushindi wetu!
TAIFA STARS NI YA WATANZANIA SIO YA TFF!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom