Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha anasikitika kutangaza kifo cha Ghaniya Jumbe, Mwandishi wa Habari, Idara ya Habari na Matukio, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo Februari 07, 2026 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam alipokuwa...