afafanua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutoka Gereza la Ukonga: Barua ya Tundu Lissu kwa Watanzania. Afafanua maana na athari nchi kuwa "banned" au kuwekewa "International restrictions"

    Watanzania, hamjambo mimi Tundu Lissu nawandikieni kuwapasha hizi habari za "Ban" toka Jumuiya za Kimataifa na mataifa rafiki kwa Tanzania Ipo hivi katika nyanja za diplomasia neno "ban" inatokana na maana ya kawaida ya "kukataza rasmi" (to prohibit officially), na katika diplomasia hutumika...
  2. Revealed: Watoto waliobemendwa ndio wanatukana sana Mitandaoni. Wazazi wao walikuwa Wazinzi

    Wazazi waliokuwa wanachepuka, ndio wanazaa watoto wenye matatizo. Vijana wote wasio na mchango kwenye Taifa na wale wanaotukanana Mtandaoni, wazazi wao walikuwa Wazinzi, Washerati Washerati na wachepukaji. Watoto wote waliobemendwa ndio wanaoongoza kwa matusi Mitandaoni🤣🤣🤣🤣
  3. Alute Lissu (kaka yake Lissu) afafanua kwa urefu mashahidi watakaoitwa kuthibitisha uhaini wa mdogo wake

    https://youtu.be/YBiutTrtOI8?si=LgCCf10nAs7I_Yse Mashahidi hao watatu ni: =============================================== "DEATH ROW DIARIES” Ni title ya maelezo ya SC Tundu Antiphas Mughwai Lissu ambayo atayatoa katika committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu...
  4. Askofu Mwanamapinduzi wa kanisa la Ufufuo na uzima afafanua mwanzo mwisho kanisa kufungiwa. Kesi imesikilizwa, Hukumu ni kesho J'4. DPP atajwa

    https://youtu.be/WKvWtoKpLJs?si=ZqVSuExXQMtxQOv2 √ Huyu ni mmoja wa maaskofu walio chini ya Askofu mkuu wa kanisa la Jumba la Ufufuo na Uzima chini ya usajili wa Glory Christ Tanzania Church (GCTC) Mch Josephat Mathias Gwajima Anasema: 1. Kanisa halikuwahi kupewa notice au onyo au hata nafasi...
  5. Job Ndugai: Jamii imewaacha watoto wa kiume nyuma

    Maneno haya si ya kubeza.
  6. PreGE2025 Wasira: Deni la taifa, trilioni 97 hajakopa Rais Samia peke yake, tulikopa tangu enzi za Nyerere

    Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho. Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu...
  7. B

    Mwenyekiti Taifa Bavicha Adv Mahinyila afafanua mbinu iliyotumika kutekwa kwa Aman Manengero

    Nilisikia hili tukio nikadhni Masihara. Advocte mahinyila anaeleza mbinu iliyotumika https://youtu.be/OOctHcw01rc?si=noJ89nvoDPAn8nJ4
  8. Diamond afafanua ishu ya Mbosso kuondoka WCB

    Mwanamuziki na mmiliki wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefafanua taarifa za msanii wake Mbwana Kilungi maarufu ‘Mbosso’ kuondoka kwenye lebo hiyo, huku akisema yeye ndiye mtoa tamko wa lebo hiyo. Soma: Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond Kupitia...
  9. LGE2024 Mkurugenzi, Dionis Myinga afafanua ushindi wa Wilfred Ritte (CHADEMA) licha ya kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa Uenyekiti wa Kijiji

    Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Dionis Myinga ambaye pia ndiye aliyekuwa Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wilayani humo amesema kuwa aliyekuwa Mgombea wa Uenyekiti wa kijiji cha Usari kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial...
  10. LGE2024 Dar: Msimamizi afafanua kukosekana kwa majina Mtoni kwa Azizi Ally

    Kuzaliwa kwa vituo vipya vya kupigia kura tofauti na vilivyotumika kuandikisha imetajwa kuwa sababu ya wananchi kutoona majina yao katika sehemu walizojisajili. Hilo limesemwa na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kata ya Mtoni, Nobert Kamugisha baada ya kuwapo kwa malalamiko ya baadhi ya watu...
  11. DC Sengerema afafanua taarifa ya kivuko kimoja kusimama kutoa huduma Kigongo - Busisi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna changamoto kubwa ya foleni eneo la Busisi kwa Watu wanaohitaji kuvumia kivuko kuvuka tangu usiku wa kuamkia jana Agosti 29, 2024, akidai Kivuko hakifanyi kazi, upande wa Serikali umeeleza kinachoendelea. Mwanachama huyo alidai hali hiyo...
  12. U

    Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

    Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024...
  13. Kinana afafanua mkwamo wa maridhiano, kauli ya CHADEMA kwamba CCM haijitambui yatajwa kuwa sababu mojawapo

    Hebu Jisomeeni wenyewe muone ilivyokuwa kama anavyosimulia Mzee Kinana
  14. Rais Abdel Fattah El-Sisi afafanua kwanini hawezi kuruhusu Wapalestina waingie Misri. Asema itakuwa ni ujinga na kuisaidia Israel katika malengo yake

    Katika mazungumzo yake na chansela wa Ujerumani muda mfupi uliopita, Raisi El Sisi wa Misri amesema hawezi kufanya maamuzi ya kijinga kuruhusu wapalestina kutoka Gaza waingie nchini humo kama wakimbizi. Akasema hilo inaonekana kama ndio lengo la Israel ilipowataka warudi kusini mpakani na nchi...
  15. B

    Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

  16. Balozi Nangasu, afafanua kwa Mapana kuhusu Mfumko wa bei Tanzania na Uchumi Imara

    Balozi wa Utalii wa Tanzania, Nangasu Warema leo Februari 10,2023 ametoa maoni yake kuhusu mwelekeo wa uchumi kutokana na mjadala ulioibuka bungeni mwanzoni mwa wiki hii. Balozi wa Utalii Nangasu Warema Balozi huyo wa utalii amesema kwamba mataifa mengi duniani yameathirika kiuchumi ikiwamo...
  17. Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
  18. Wakili amtaja mtu atakayemuokoa Makonda mgogoro dhidi ya GSM, afafanua kosa alilofanya kisheria

    Mgogoro wa kuwani eneo uliopo kati ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabishara maarufu Ghalib Said Muhamed (GSM) unaendelea na hadi sasa kila upande unavuta upande wake ukiamini wenyewe ndiyo una umiliki halali wa eneo hilo. Tayari GSM kupitia Mwanasheria, Alex...
  19. Meneja Ahmed Ally afafanua Simba kufanya majaribio

    Anaandika Msemaji Mstaarabu Ahmed Ally katika kurasa ya Instagram Ni kweli tuna wachezaji watatu tunawafanyia majaribio Mashabiki wa Simba wamepata hofu kwanini timu yao na ukubwa wao wanafanya majaribio?? Kwanza kabla ya yote niwaambie tuu Wachezaji ambao sisi tunawafanyia majaribio wakienda...
  20. B

    Rais Samia: Tutaendelea kukopa tumalizie miradi inayoendelea

    Asalam! Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji. Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…