aende

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    Nina mdogo wangu wa kiume kapata dvn 1.7 sasa hatujajua achague chuo gani. Yeye hataki kwenda advance.. Anapenda mambo ya computer ila sasa hatujui computer imegawanyika vipi na ipi ni nzuri zaidi. Pia je mwanafunzi anayetokea o level anaweza pata mkopo? ipi course nzuri ya computer...
  2. Lord Denning

    PostGE2025 Eti Mwanajeshi wa Marekani kaacha kutumia pourus border aende kutumia mpaka rasmi akiwa na mabomu! Acha watingishe Meza yenye Vinywaji vya bei mbaya

    Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya akiwa na mabomu. Yaaani Mwanajeshi wa Marekani aache kutumia porous border ambayo unaweza kuvusha...
  3. Genius Man

    Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela

    Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
  4. The Father of All

    Hata kama watazima maandamano, je Samuya bado atakuwa na udhu wa kuongoza nchi yetu au aende kwao Zanzibar na kutuachia nchi yetu?

    Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
  5. ELI COHEN

    VIDEO: MAGAIDI WA KIHOUTHI WAKIWAFUKUZA WANAFUNZI WA KIKE KUTOKA SHULENI KWA MAANA CHINI YA SHARIA HAIPASWI BINTI AENDE SHULE

  6. Minjingu Jingu

    Mdogo wa Rafiki yangu ameingiziwa kitu kwenye account ili aende Mkutanoni Kawe

    Kwa kweli Mama mikumi tena. Dogo anasema Weekend kesho tutamtafute yeye kuanzia Biriani mpaka wale walevi Mkojo wa Shetani. Mimi allahamdulilah sinywi vitu kharamu ila najua kaka yake mjaa laana kesho atakunywa sana. Naambiwa mapolisi walio mafunzo pia wamepewa nguo za kiraia na kuingiziwa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Polepole: Lissu aachiliwe aende zake nyumbani

    Wakina ndugu Lissu aachiliwe aende zake nyumbani baada ya hapo maridhiano ya kitaifa tujadiliane na kuwa na muafaka wa pamoja, muafaka ndio inawekaga kusemana kweli na kisha tuambiane rekebisha hiki rekebisha kile na twende kwenye uchaguzi Amesema Polepole
  8. W

    Mgambo akisoma diploma kisha aende jkt, kuna advantage yoyote ya kubakizwa aajiriwe Jwtz ?

    Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi. Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele...
  9. Money Penny

    Huyu binti wa kilokole nimemuoa anataka aende round 20 kwa siku kwenye tendo la ndoa, me nifanyaje?

    Kwan wana ndoa wapya kwa siku mnaenda round ngap? 2 au 3? Mbona mwenzenu amepata mke anataka round 20 kwa siku? Afanyaje? Mshaurini? Ila binti wa kwa Yesu unataka round 20 aje sasa? Au alikuwa hajaokoka binti wa watu?
  10. BLACK MOVEMENT

    Tuwe makini na sakata la Gwajima, huenda ni Move ya CCM ili atoke aende ACT akagombee Uraisi, kumbuka ya Membe

    Huenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana. Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na...
  11. Ryzen

    Aende wapi kati ya TARURA kwa Mkataba ama HALMASHAURI ila Perment!

    WanaJF! Kwema? Moja kwa moja niende kwenye Mada. Mdogo wangu kapata kazi ya Uhandisi ya Mkataba TARURA ila pia kapata Kazi Permenent HALMASHAURI. TARURA atapata kama 2M na marupurpu mengine kwa anabyodai Wakati Halmashauri ni 1M pia kwa ufatiliaji wake Halmashauri marupuru ni kwa manati...
  12. S

    Ujumbe wa Mwabukusi kwenye mtandao wa X unaweza kutumika kuhakikisha aende Mbeya kwa kumfungulia kesi na kumuweka ndani

    Ule ujumbe wa vitisho wenye matusi ndani yake alioundika kwenye mtandao wa X, unaweza kutimika kama sababu ya kumkamata na kisha kumshitaki lengo ni kuhakikisha harudi mbeya. Kwa jinsi hawa watu walivyowaoga, wataona ni bora wamalizane nae mapema kabla hajafika Mbeya na njia mojawapo inaweza...
  13. R

    Nahitaji mwanangu aende kuitikisa Talent Show tutayohudhuria wazazi, Aimbe wimbo gani wa kiingereza Hiphop usio na matusi tuanze mazoezi ?

    Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6, Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki. Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
  14. J

    TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU.

    TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU. NA MWALIMU TUMAINI MASHINGO. Anapaswa kurudi tena darasani kusoma nini maana ya siasa kabla ya kile Chama Cha Ufipa kumfia, anapaswa kukutana na Samia kama atatia nia, maana ile siasa yake na siasa ya Chama chao ni CCM level ya...
  15. Gabeji

    Natamani Mh Tundu Lisu nae aende kwa papa Italia I'li achukue baraka za no reform No election , kama alivyoenda Rais Samia mwaka jana.

    Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election" Katika...
  16. majam19

    Nimeamua kumuacha salama salmini

    Habari za majukumu ndugu zangu hapa JF, Leo ninafuraha na amani tele kweny moyo wangu baada ya kuchukua maamuz ya kuachan na bint nipiyetaka kumuoa ila baada ya kujua madhaifu yake ni mengi kuliko uwezo Wang NIlikuja kuomba ushaur humu na kunajambo jipya lilikuja kweny akili yang na nikachukua...
  17. C

    Aende Halmashauri au Wakala (Agency)

    Wanabodi salama? Kheri ya Idd kwa nyinyi na Familia Zenu. Nina mdogo wangu ni Engineer (Mambo ya Civil) kapata kazi Halmashauri (Permenent) ila Pia kapata Mkataba TARURA (Wakala wa barabara). Upande wa halmashauri Mshahara haufikii hata Gross ya 1M ila upande wa wakala anapata Gross ya 2M...
  18. B

    Tafakuri: Hivi mfano hapa Tanzania tuseme kila mtu alie juu ya miaka 18, aende jela kwa makosa aliowahi fanya, jela zitatosha?

    Habarini, Nimewaza kwa mfano itokee system ya kugundua na kuthibitisha makosa yaliyofanywa na watu wote nchini walio above 18, ambayo adhabu zake zimeainishwa kwenye penal code k.v 1)Kufanya mapenzi na wanafunzi 2)Ulawiti/kulawitiwa/sexual indecency 3)Forgery 3)Kuzini na maharimu 4)Wizi...
  19. R

    Ukisikia majaribu ndio haya, yupo degree mwaka wa pili, kaitwa kazini serikalini kazi ya Diploma, aghairi au aende ?

    Majaribu ndio hayo wakuu, Dogo ana miaka 23, mwaka 2020 matokeo ya form 4 yalitoka akiwa na division 1, wengi walidhani ataenda advance ila haikuwa kwenye mipango yake, alienda chuo. alipoingia degree alibahatika kupata mkopo (anakula boom) Kimasihara aliomba ajira kwa cheti chake cha...
  20. Mr Beach Boy

    Kwa ufaulu huu nataka aende chuo, je akasomee course gani?

    Huyu ni mdogo wangu amepata ufaulu huu Ila Mimi nataka aaende chuo moja kwa moja aanze certificate mpka degree Naona kwenda advance ni kupoteza muda Natamani asome Cyber security Computer engineering science IT and accountancy Micro biology Naomba ushauri wako Benson Civic C history C...
Back
Top Bottom