ads

In mathematics and physics, n-dimensional anti-de Sitter space (AdSn) is a maximally symmetric Lorentzian manifold with constant negative scalar curvature. Anti-de Sitter space and de Sitter space are named after Willem de Sitter (1872–1934), professor of astronomy at Leiden University and director of the Leiden Observatory. Willem de Sitter and Albert Einstein worked together closely in Leiden in the 1920s on the spacetime structure of the universe.
Manifolds of constant curvature are most familiar in the case of two dimensions, where the surface of a sphere is a surface of constant positive curvature, a flat (Euclidean) plane is a surface of constant zero curvature, and a hyperbolic plane is a surface of constant negative curvature.
Einstein's general theory of relativity places space and time on equal footing, so that one considers the geometry of a unified spacetime instead of considering space and time separately. The cases of spacetime of constant curvature are de Sitter space (positive), Minkowski space (zero), and anti-de Sitter space (negative). As such, they are exact solutions of Einstein's field equations for an empty universe with a positive, zero, or negative cosmological constant, respectively.
Anti-de Sitter space generalises to any number of space dimensions. In higher dimensions, it is best known for its role in the AdS/CFT correspondence, which suggests that it is possible to describe a force in quantum mechanics (like electromagnetism, the weak force or the strong force) in a certain number of dimensions (for example four) with a string theory where the strings exist in an anti-de Sitter space, with one additional (non-compact) dimension.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Vita ya USA Israel na Iran wote wameishiwa ADS imekua piga nikupige

    Ni hakika kabisa pande zote mbili katika vita hii ambayo USA akishirikiana na Israel kupigana na Iran,pande zote mbili zimeishiwa Air Defense Systems,kilichobaki hivi Sasa imekua ni piga nikupige. Ni kweli zipo chache zilizofichwa sana lkn naamini sehemu kubwa sana ya hizi ngao zimekwisha...
  2. Mvumbuzi wa matangazo ya (Pop up ads) awaomba msamaha. " Sikuwa na lengo baya!".

    Ethan Zuckerman, mvumbuzi wa matangazo yanayoibuka (pop-up ads), hivi karibuni alieleza majuto yake kwa kubuni kipengele hiki kinachochukiwa sana tangu mwishoni mwa miaka ya 1990. Lengo lake lilikuwa kuwawezesha watangazaji kutangaza chapa zao bila kuhusiana moja kwa moja na maudhui ya kurasa...
  3. S

    Unahitaji nini usaidiwe kwenye IT industry? Software, website,blog, ads na n.k

    Unahitaji nini usaidiwe kwenye IT industry? Software, website,blog, ads, email na n.k Karibu usaidiwe unachotaka kwenye IT kama maswali utajibiwa Mawasiliano:0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  4. Ni Aina Gani ya Watu Wanatakiwa Kufanya MATANGAZO YA KULIPIA? (Meta Ads – Facebook & Instagram)

    1. WAFANYABIASHARA WADOGO Unauza nguo, viatu, chakula, vipodozi, electronics, 👉 Kama unataka kuuza zaidi ya watu wa mtaa wako, unahitaji matangazo ya kulipia. 🟢 Ads zitakusaidia kufikia maelfu ya watu wanaohitaji bidhaa zako, unaweza kufanya hata bila kuwa na duka! 2. MACHINGA & MADALALI Wewe...
  5. Adsense, Admob, Adsterra, Monetag na Medium ads Je Fursa imelala hapa tena?

    Fighters, wanajua kusaka fursa tu je Imani ya digital entrepreneur hasa kwa wale wanaotegemea content creation je still fursa imelala huku maana nahisi kumefifia mno.
  6. Jinsi ya kukuza biashara yako kwa kupata wateja wengi kupitia Meta Ads (Facebook & Instagram)

    Jinsi ya kukuza biashara yako kwa kupata wateja wengi kupitia Meta Ads (Facebook & Instagram) 1. Kwanza Inabidi uelewe Biashara yoyote duniani ina kanuni moja Sales = Attention + Trust + Offer Na matangazo ni njia ya haraka zaidi kupata "attention" kubwa kwa watu sahihi. 2. Lazima ujue...
  7. Hupati Wateja Kwenye Biashara Yako? Jaribu Paid Ads Utaona Matokeo Makubwa Sana!

    Unapojisikia kuchoka kwa sababu wateja hawaji kama ulivyotarajia, sio kwamba biashara yako mbaya hapana. Mara nyingi ni kwa sababu hujawafikia wateja sahihi. Na njia ya haraka kabisa ya kuifikisha biashara yako kwa watu sahihi ni kutumia Paid Ads! Sasa, Paid Ads ni nini? Haya ni matangazo...
  8. Kwanini (Matangazo ya kulipia) Paid Ads Ni Muhimu kwa Biashara Yako?

    Kama unategemea tu kupost status au content bila kulipia matangazo, basi upo kwenye hatari kubwa. Organic reach ya leo ni ndogo sana! Unahitaji nguvu ya PAID ADS kama unataka kufikia watu wengi haraka. Kwanini (Matangazo ya kulipia) Paid Ads Ni Muhimu kwa Biashara Yako? 1. Unawafikia watu...
  9. Njia gani unaweza tumia ili kuondoa ads kwenye app

    kwenye app nyingi siku hizi kuna matangazo mengi sana ,sasa ni njia gani ya kufanya ili usipate hayo matangazo
  10. Google Advertising (Google Ads)

    Habarini wakuu, Ukiacha advertising platform kama facebook , instagram na twitter nani yupo familiar na google ads namaanisha vitu kama gharama, namna ya kudeliver na vitu vingine muhimu Maana kwenye biashara ni kitu muhimu sana kuongeza wigo au coverage,
  11. L

    Mwaka Jana nilikuwa na mpango wa kutoa kitabu cha Facebook Ads Manager, lakini sikufanikiwa kwa sababu hii

    Kwenye laptop niliyokuwa ninatumia kukiandaa, nilikuwa nimetengeneza Folder maalumu kwa ajili ya kazi hiyo. Ndani yake nilijaza screenshot ya hatua zote (muhimu) ambazo mtu yeyote (beginner) anaweza akazifuata na kuishia kutengeneza matangazo ya Sponsored ads yenye matokeo mazuri. Ila kila...
  12. Asanteni kwa Kumbakiza kwa Mganga wa Kienyeji Tanga Mchezaji Aubin Kramo tokea Fainali ya Community Shield na kurejea Dar Juzi

    Na hapa GENTAMYCINE nawaonya wazi kuwa acheni kudhani kuwa Winga Machachari Aubin Kramo karogwa na Yanga SC ila ukweli ni kwamba Karogwa na Mchezaji Mmoja maarufu wa Simba SC kipenzi cha Kocha ila asiyeaminika na Mashabiki. Niliwaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hakikisheni kabla ya Ligi Kuu...
  13. Msaada: Nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha

    Wakuu, nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha nifanye nini ku switch toka Swahili to English? Blog yangu ni ya Kiswahili, sasa baada wao kureview inaleta ujumbe wa kutopata ads kwa sababu ya lugha, naombeni msaada wenu. "Your blog isn't ready to show ads and needs...
  14. Huwezi Futiwa Deni Facebook Ads (Sponsor ads) Usitapeliwe Kizembe!

    Hii ni kwa wafanyabiashara au watu wanaotangaza biashara zao kwa platform za Meta (Facebook na instagram). Kumekuwa na huduma nyingi sana haswa instagram, Kuna vijana wanatangaza huduma ya kufuta madeni ya Facebook na instagram, na wengine kucharge hadi sh. 50,000 kwa account moja. Nataka...
  15. Dynamic island feature ambayo ipo kwenye iPhone 14 pro sasa inafanya kazi kwenye android yoyote bila kuwa na usumbufu wa ADs

    App inaitwa dynamic spot hii inawafaa wale wanaopenda kulemba mionekano ya simu zao
  16. Sehemu ya 1: Namna ya kuweka matangazo ya kulipia kwenye mitandao ya kijamii (Facebook Ads na Instagram Ads) hatua kwa hatua

    Imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wengi kufanya matangazo yao kwa ajili ya kuwafikia wateja wengi zaidi kupitia mitandao ya kijamii (Hasa hasa facebook na instagram ambayo ndio imekuwa inawatembeleaji wengi zaidi). Nitaonesha hapa hatua kwa hatua namna ya...
  17. Naomba msaada wa jinsi ya kulipia YouTube videos promotion ads Kwa Mpesa

    Rejea kichwa Cha habari hapo juu. Msaada wa jinsi ya kulipia (payment methods) ambayo nitamtumia Mpesa au mobile money YouTube ili nipromote contents zangu Kwa eneo ninalolilenga.
  18. Tunatengeneza na kusimamia (ku manage) Social media accounts

    Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi tupo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma yetu...
  19. Jinsi ya ku-tangaza Biashara yako kwa Facebook (sponsered ads) - P.01

    Habari, I hope u mzima wa afya unavyopitia thread hii. na kama hauko poa, i pray urudi katika afya yako mapema. To cut the story short, Leo nitaelezea jinsi ya kutangaza biashara yako kwa Facebook ads (matangazo ya Facebook), kama haufahamu Facebook ads ni nini basi fanya hivi :- Fungua...
  20. A

    Msaada kuset facebook (Instagram Ads)

    Msaada kuset facebook (Instagram Ads). Kama Una Uzoefu Katika kuset target facebooks ads & Instragram njoo Inbox Tuyajenge.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…