University admission or college admission is the process through which students enter tertiary education at universities and colleges. Systems vary widely from country to country, and sometimes from institution to institution.
In many countries, prospective university students apply for admission during their last year of high school or community college. In some countries, there are independent organizations or government agencies to centralize the administration of standardized admission exams and the processing of applications.
Habari za asubuhi wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye jambo langu. Siku kadhaa zilizopita nilijisajili na mfumo wa kuomba kozi mojawapo pale chuo kikuu huria. Nilikamilisha taratibu zote na baada ya hapo nikapewa password ili nikamilishe taratibu za maombi.
Nilipotoka kwenye mfumo na kujaribu...
Japo sijachaguliwa kwa kuendelea na hatua inayofuata kwa sababu ya uchache wa watu wanaohitajika,lkn naamini uwezo ninao...ni suala la muda tu,huenda mambo yakakaa sawa siku moja.
Mimi ni huyo number 57 hapo nimepata 91% but NOT SELECTED
Tuzidi kukaza wadau, better days are coming.
Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu.
Uzi tayari
Habari zenu,ningependa kuuliza je, admission capacity za vyuo zinakuwa ni zilezile ambazo wana andika TCU guidelinebook au zina weza kuzidi au kupungua,naombeni afafanuzi🙏🙏
Rasmi TCU (Tume inayosimamia Vyuo Vikuu Tanzania) imerelease GUIDEBOOK ya Mwaka Huu 2024/2025 itakayowasaidia Wanafunzi Kuchagua Kozi kulingana na Ufaulu wao na kuzingatia Cutting points zilizowekwa na Vyuo Husika.
Elimu Kuhusu Usomaji wa TCU guidebook nitaitoa Muda sio Mrefu hili kila mtu...
Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali.
Courses ni masters ya leadership na education leadership.
Uingereza nimepata vyuo vinne.
Sweden chuo 1
Finland 1
Poland 1
Tatizo ni uwezo wa kujisomesha. Naomba mwenye kufahamu taasisi ninayoweza kuomba full funded scholarship/sponsorship...
Salaam wakuu, ndugu zangu shida yangu ni kupata Admission letter 2023 kutoka chuo Cha UDSM ili nifanye mchakato wa kupata ruhusa ktk kituo changu Cha kazi, nimejaribu kuwasiliana na chuo bila kupata msaada chanya, kama Kuna mwenye ujuzi wa kusaidia jambo hili tafadhali naomba msaada waungwana@
Kwanza kabisa ninai blast tume ya Harrison Mwamwembe haikufanya lolote la kusaidia matatizo ya Law School. Mwamkyembe ni FAILURE katika ku deliver issues kama hizi. Kumbuka ripoti yake ya RICHMOND na Treni ya Metro aliyomleta Tapeli Shumake kutoka Chicago
Najielekeza kwenye hoja yangu sasa...
Habari,
Nahitajii mtu wa Marketing mwenye uzoefu wa kutafuta wanafunzi kwa ajili ya vyuo vikuu.
Vyeti si muhimu, kama uko tayari nipigie tuongeee 0678650509.
NB: Wakazi wa Dar tu.
Habari wanandugu,
Naulizia kama kuna Chuo kinachofanya Admission mwezi MARCH au miezi yoyote ya mwanzoni wa Mwaka kwa kozi ya Community Development kwa NTA Level 4.
Habari!
Poleni na majukumu ya kila siku. Nina ndugu yangu amemaliza form 6 mwaka huu kama private candidate na amepata C ya historia, E ya kiswahili na E ya kiingereza.
Je, kwa matokeo haya anaweza pata university admission?
Maoni yenu tafadhali.
Habari wanajamii,
Nawasalimu kwa jina la jamhuri.
Poleni na majukumu yenu ya kila siku.
Niko mbele yenu kuwaomba ushauri ndugu zangu juu ya hili jamba kuhusu mkopo wa elimu ya juu.
Mimi ni mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu kwa mwaka 2021/22.
Nlikuwa nauliza je, kama kwa mwaka wa kwanza wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.