Kati ya kufungiwa kwenye chumba ukae humo mpaka ufe au utundikwe kwenye kamba,au uchomwe sindano yenye kemikali za sumu au upitishiwe umeme wa msongo mkubwa kwenye mwili wako ufe instantly, ipi kati ya hizi ni adhabu kubwa kwa serious crimes?
Hii ni kweli kabisa na limeonekana wazi kabisa katika mechi ya leo.
Ni neema na kudra za Mwenyezi Mungu tu TUMETOKA salama Wana Simba wachezaji wametoka Salama uwanjani. Ilaaniwe timu ya PAMBA na waliowatuma kufanya UHUNI huo. Nasubiri kamati ya masaa 72 ifanye kazi yake.
Watoto hawawezi kuchagua dini ipi inawafaa; mara nyingi ni wazazi au walezi ndio huamua. Mtoto hukua akipokea anachoambiwa bila nafasi kubwa ya kuuliza au kuchambua kwa kina.
Anapofikia utu uzima na kuanza kuelewa maisha kwa undani zaidi, wakati mwingine hutambua kwamba imani aliyopewa...
Kuna shule mpya ya Serikali Mkoani Kagera, Halmashauri ya Bukoba Vijijini inaitwa Rubafu Secondary School ipo Kata Rubafu.
Ilifunguliwa ili kuwapunguzia mwendo Wanafunzi wanaotokea Vijiji vya Kyamalange na Rubafu ambao walikuwa wanatembea mwendo mrefu kwenda Katale Secondary School.
Mkuu wa...
Anonymous (f836)
Thread
adhabuadhabukali
kagera
katale secondary
rubafu secondary
school
serikali
wanafunzi
Jana katika pitapita zangu nikawa nimechill mahali. Mbele yangu kulikuwa na kijiwe cha bodaboda, kwa nilipokuwa nimekaa sidhani kama wale boda waliniona.
Ghafla akapita mwanafunzi wa sekondari na sare zake nadhifu, hakuwa na wenzake, alikuwa mwenyewe.
Mmojawapo wa waliokuwa pale kijiweni...
Kwa ambao hamjazoea Lugha Kali. Niwasihi muishie hapahapa! Kwani nitaitumia ili kugusa hisia na mioyo iliyolala. So kama Una tatizo na lugha Kali, au unaadabu Sana, au unakiapo cha kutosoma, kusikiliza au kuona lugha Kali basi ishia hapahapa. Kuendelea kusoma haitahesabika hatia kwangu...
Video ya kusikitisha inayosambaa mtandaoni Nigeria inaonyesha Mvulana mdogo akiwa Madrasa kafungwa kwenye mti baada ya kupigwa viboko kwasababu ya kushindwa kuisoma Qur’an kwa sauti kwa lugha ya kiarabu.
Google: Almajiri child tied tree
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.