The USA PATRIOT Act (commonly known as the Patriot Act) was an Act of the United States Congress, signed into law by President George W. Bush.
USA PATRIOT is a backronym for Uniting and Strengthening America by Providing Appropriate Tools Required to Intercept and Obstruct Terrorism.The Patriot Act was enacted following the September 11 attacks with the stated goal of dramatically tightening U.S. national security, particularly as it related to foreign terrorism. In general, the act included three main provisions:
expanded abilities of law enforcement to surveil, including by tapping domestic and international phones;
eased interagency communication to allow federal agencies to more effectively use all available resources in counterterrorism efforts; and
increased penalties for terrorism crimes and an expanded list of activities which would qualify someone to be charged with terrorism.
https://www.youtube.com/live/mAyL2E4ozFY?si=989f6lx54eyphlzX
POLISI WAACHE KUINGILIA MCHAKATO WA UCHAGUZI
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa kuwa Jeshi la Polisi kupitia Makamanda wa Polisi (OCD's) na Maofisa wengine waandamizi wa Polisi wameanza kufanya mawasiliano na viongozi wetu...
Mimi kwangu hayo ni maajabu katika kutafsiri madaraka.ya uongozi wa chama
Na hii inatafsiri kuwa kwa Tanzania bara Zito ndiye defacto Kiongozi wa Chama
https://www.youtube.com/live/Eoix7OkgELE
Updates
Tunataka kuona Polisi, usalama wa taifa, jeshi wakitimiza majukumu yao, na sio kutumika kama mbeleko ya kuibeba CCM ili wapate ushindi.
Katika uchaguzi wa serikali za mitaa tunao ushahidi wa kutosha askari polisi alikutwa na rundo la kura...
Waziri Kivuli wa Mifugo wa ACT Wazalendo, Thomas Nkola ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa siku zisizopungua tatu kwa tuhuma za kumkashifu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe
Chanzo: actwazalendo_official
Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP.
Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
Ubunge wa kupewa, kama ambavyo iliotwa na NCCR Mageuzi mwaka 2020, ni kitu kisichotekelezeka; japokuwa ahadi yake huwa ni tamu sana masikioni mwa vyama vya upinzani visivyotaka kuchutama ili kuokota vya chini.
Sababu kubwa ya ni kwanini hichi kitu ni kigumu kutekelezeka ni kwamba, ndani ya...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Naghenjwa Kaboyoka amejiunga na chama cha ACT Wazalendo leo Juni 28 Dar es Salaam.
Kaboyoka aliyewahi kuwa Mbunge wa Same Mashariki 2015-2020 amepokelewa leo na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu kwenye ofisi za makao makuu Magomeni.
Mwaka 2020 Kaboyoka...
Siasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge la muungano litavunjwa August 03. This means there's something behind the scenes.
Cha kushangaza...
Team,
Salaam!
Mara nyingi kwa wapinzani nchini ukiwaambia ukweli badala ya kupokea ushauri wao huishia kutukana, kudhihaki, na kukejeli mleta mada.
Lucas Mwashambwa na Pascal Mayalla kwa muda mrefu wamevaa viatu vya ualimu wa kuelimisha upinzani nchi lkn badala ya kupokea mawazo yao huja na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na mabadiliko ya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliohamishwa na walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
A: Uhamisho...
Wakuu ACT wanaendelea na arakati za maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 na sasa ni zamu ya Magreth Lutufyo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ACT kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanganyika. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa jimbo la Tanganyika, Ndugu Emanuel Ntinda.
Hakuna chama kinachoiweza CCM isipokuwa CHADEMA leo Kafulila na Happi wanajipakulia tu minyama mbele ya CHAUMMA na ACT WAZALENDO,
https://www.youtube.com/live/UP89m78r-Uk?si=NhbWNO83GsYHj3xL
Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!!
Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani?
Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza.
Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa)
Tazama hiyo video hapo chini...
act
babalevo
ccm
chadema
chawa
chuo kikuu
diamond
elimu
kusoma
mafwele
mtaani
mwanachuo
mwijaku
mzumbe
nyege
rais
samia
simba
singeli
tanzania
udsm
umoja
veta
vijana
wassira
wazalendo
yanga
zanzibar
Title: The TIS Act of 2024: Legalizing Abductions and Dismantling Accountability in Tanzania
By Dr. Wilbrod Slaa
In recent years, Tanzania has witnessed an alarming increase in cases of abductions, disappearances, and arbitrary detentions. At the heart of this troubling trend lies the Tanzania...
Naona ACT walisaini vitu ambavyo hawakubaliani navyo.
Kwa sasa wanahamasisha wananchi kulinda kura, hilo siyo jukumu au wajibu wetu. Sisi ni kutiki na kwenda kusubiri matekeo hadi yatangazwe na tume huru ya uchaguzi.
Ikiwa ACT hawana Imani na Tume ya Uchaguzi, basi kaeni pembeni kuliko hii...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Ritte ametoa wito kwa wanawake kuungana na chama cha ACT Wazalendo ili kuitoa CCM madarakani kwa kile alichodai kuwa baadhi ya matukio yanayotokea nchini yanawaathiri wanawake ikiwemo kupotea kwa watoto
" Wanawake amabao ndio wenye...
Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Bi Dorothy Semu akizungumza katika mkutano wa hadhara Temeke ameendelea kusisitiza kuwa chama chao kitashiriki uchaguzi ili kuing'oa CCM Madarakati.
Amesema ''Tumeona na tumejifunza tunaposusia uchaguzi, tunaendelea kuimarisha hujuma dhidi ya demokrasia, CCIM...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni humo, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Mwabusalu, Juni 13, 2025.
Katika mkutano huo, wanachama na Viongozi wa vyama vya upinzani, akiwemo Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Kisesa, Tekla James, na mwanachama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.