act

The USA PATRIOT Act (commonly known as the Patriot Act) was an Act of the United States Congress, signed into law by President George W. Bush.
USA PATRIOT is a backronym for Uniting and Strengthening America by Providing Appropriate Tools Required to Intercept and Obstruct Terrorism.The Patriot Act was enacted following the September 11 attacks with the stated goal of dramatically tightening U.S. national security, particularly as it related to foreign terrorism. In general, the act included three main provisions:

expanded abilities of law enforcement to surveil, including by tapping domestic and international phones;
eased interagency communication to allow federal agencies to more effectively use all available resources in counterterrorism efforts; and
increased penalties for terrorism crimes and an expanded list of activities which would qualify someone to be charged with terrorism.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Bila CHADEMA, CCM wanaenda kupiga 100% - 0%, sioni nafasi ya ubunge wa kupewa wanaouota ACT na CHAUMMA

    Ubunge wa kupewa, kama ambavyo iliotwa na NCCR Mageuzi mwaka 2020, ni kitu kisichotekelezeka; japokuwa ahadi yake huwa ni tamu sana masikioni mwa vyama vya upinzani visivyotaka kuchutama ili kuokota vya chini. Sababu kubwa ya ni kwanini hichi kitu ni kigumu kutekelezeka ni kwamba, ndani ya...
  2. PreGE2025 Naghenjwa Kaboyoka wa CHADEMA atimkia ACT Wazalendo

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Naghenjwa Kaboyoka amejiunga na chama cha ACT Wazalendo leo Juni 28 Dar es Salaam. Kaboyoka aliyewahi kuwa Mbunge wa Same Mashariki 2015-2020 amepokelewa leo na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu kwenye ofisi za makao makuu Magomeni. Mwaka 2020 Kaboyoka...
  3. Kulikoni mbona CHAUMA na ACT wamechukia sana Bunge kutovunjwa?

    Siasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge la muungano litavunjwa August 03. This means there's something behind the scenes. Cha kushangaza...
  4. CCM ni chama imara kuliko CDM, ACT, CUF na NCCR. Upinzani acheni kulaumu badala yake jifunzeni kwao

    Team, Salaam! Mara nyingi kwa wapinzani nchini ukiwaambia ukweli badala ya kupokea ushauri wao huishia kutukana, kudhihaki, na kukejeli mleta mada. Lucas Mwashambwa na Pascal Mayalla kwa muda mrefu wamevaa viatu vya ualimu wa kuelimisha upinzani nchi lkn badala ya kupokea mawazo yao huja na...
  5. R

    Elimu haina mwisho: kwanini inaitwa: Law Reform (Fatal Accidents and Miscellaneous Provisions) Act Chapter 310

    Kwanini inaitwa Law Reform? Mbona chapters zingine za sheria zetu haziitwi hivyo? (hazianzi na Law Reform)
  6. UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na mabadiliko ya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliohamishwa na walioteuliwa ni kama ifuatavyo: A: Uhamisho...
  7. W

    PreGE2025 Magreth Lutufyo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ACT kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanganyika

    Wakuu ACT wanaendelea na arakati za maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 na sasa ni zamu ya Magreth Lutufyo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ACT kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanganyika. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa jimbo la Tanganyika, Ndugu Emanuel Ntinda.
  8. CAFE TALK: CCM, CHAUMMA na ACT Wazalendo wanachuana vikali muda huu

    Hakuna chama kinachoiweza CCM isipokuwa CHADEMA leo Kafulila na Happi wanajipakulia tu minyama mbele ya CHAUMMA na ACT WAZALENDO, https://www.youtube.com/live/UP89m78r-Uk?si=NhbWNO83GsYHj3xL
  9. Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  10. A

    Title: The TIS Act of 2024: Legalizing Abductions and Dismantling Accountability in Tanzania*By Dr. Wilbrod Slaa

    Title: The TIS Act of 2024: Legalizing Abductions and Dismantling Accountability in Tanzania By Dr. Wilbrod Slaa In recent years, Tanzania has witnessed an alarming increase in cases of abductions, disappearances, and arbitrary detentions. At the heart of this troubling trend lies the Tanzania...
  11. P

    ACT Wazalendo kuhamasisha kulinda kura ni uchochezi

    Naona ACT walisaini vitu ambavyo hawakubaliani navyo. Kwa sasa wanahamasisha wananchi kulinda kura, hilo siyo jukumu au wajibu wetu. Sisi ni kutiki na kwenda kusubiri matekeo hadi yatangazwe na tume huru ya uchaguzi. Ikiwa ACT hawana Imani na Tume ya Uchaguzi, basi kaeni pembeni kuliko hii...
  12. R

    PreGE2025 Mwenyekiti wa ngome ya Wanawake ACT Janeth Ritte atoa wito kwa wanawake kuungana kuitoa CCM Madarakani

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Ritte ametoa wito kwa wanawake kuungana na chama cha ACT Wazalendo ili kuitoa CCM madarakani kwa kile alichodai kuwa baadhi ya matukio yanayotokea nchini yanawaathiri wanawake ikiwemo kupotea kwa watoto " Wanawake amabao ndio wenye...
  13. PreGE2025 Dorothy Semu: Tukisusia uchaguzi tutakuwa tunaimarisha hujuma dhidi ya demokrasia. ACT Wazalendo tutaikabili CCM itakavyokuja

    Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Bi Dorothy Semu akizungumza katika mkutano wa hadhara Temeke ameendelea kusisitiza kuwa chama chao kitashiriki uchaguzi ili kuing'oa CCM Madarakati. Amesema ''Tumeona na tumejifunza tunaposusia uchaguzi, tunaendelea kuimarisha hujuma dhidi ya demokrasia, CCIM...
  14. Viongozi wa ACT Wazalendo wanazungumza, Sheikh Ponda yupo jukwaani,leo Juni 14, 2025

    https://www.youtube.com/live/5wOiet9d56M
  15. M

    PreGE2025 CHADEMA, ACT Wazalendo wamtaka Luhaga Mpina jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni humo, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Mwabusalu, Juni 13, 2025. Katika mkutano huo, wanachama na Viongozi wa vyama vya upinzani, akiwemo Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Kisesa, Tekla James, na mwanachama wa...
  16. R

    Nyie vyama "uchwara", akina ACT et al kama CCM wanafanya fujo kama leo kwenye mkutano, Je kwenye kupiga kura? Zitahesabiwa? Utatangazwa?

    ACT et al, tazama kilichotokea watu waliotumwana system... CHADEMA TAKE NOTE; Nawaza tu, nawaza tu, nawaza tu....Kitakachofuata ni kumpiga Heche risasi wakasingizia kuwa hawajui nani alipiga risasi maana polisi hawatakuwepo kama ilivyokuwa leo! Erythrocyte Ni kuchukua tahadhali tu!
  17. Hakuna CHADEMA mwenye ubavu wa kumzuia Kigaila wa CHAUMMA au Shekhe Ponda wa ACT kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba ya kupiga kura Oct 2025

    Ni muhimu sana kuepuka kudanganyana na kupotoshana ndugu zangu wadau eti hapata kua na uchaguzi October. kweli ni kwamba hayupo kibaka wala tapeli yeyote wa kisiasa nchini mwenye uthubutu wa kumzuia mwananchi yeyote huru kushiriki kikamilifu katika kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba kupiga...
  18. Shehe Ponda yuko ACT Wazalendo kwa mission Maalumu hasa kipindi hiki, na hio mission kaianza jana.

    Shehe ponda pale Act Wazalendo kapelekwa kwa kazi maalumu ya ku convice watu wa imani washiriki uchaguzi, na hio kazi kaianza jana kupitia tamko la shura ya Maimam na ataendelea nayo kwa muda mrefu sana. Na kuanzia Jana na kuendlea tegemea Shehe Ponda kuwa na ukosoaji soft soft kwa Watawala...
  19. PreGE2025 ACT Wazalendo yamtambulisha Sheikh Ponda Issa Ponda, leo Juni 5, 2025, asema Sheria ina mifumo kandamizi

    https://www.youtube.com/live/7ZcPjzIVj4U?si=HH7k_DuPBtlF4v7X Abdallah Khamis, Afisa Habari, ACT Wazalendo anasema: Wakati leo Juni 05, 2025 viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo wataongea na vyombo vya habari katika ofisi ya Makao Makuu Magomeni pia kutakuwa na tukio la Kupokea wanachama wapya...
  20. Wafuataoa CCM inaweza wapeleka ACT Wazalendo kwa mkopo

    1. Wenje 2. Sugu 3. Mungai yule kamanda kule Iringa 4. Yericko Nyerere 5. Mbowe mwenyewe 6. Gwajima 7. Mpina Luhanga 8. Covid 19 Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…