act

The USA PATRIOT Act (commonly known as the Patriot Act) was an Act of the United States Congress, signed into law by President George W. Bush.
USA PATRIOT is a backronym for Uniting and Strengthening America by Providing Appropriate Tools Required to Intercept and Obstruct Terrorism.The Patriot Act was enacted following the September 11 attacks with the stated goal of dramatically tightening U.S. national security, particularly as it related to foreign terrorism. In general, the act included three main provisions:

expanded abilities of law enforcement to surveil, including by tapping domestic and international phones;
eased interagency communication to allow federal agencies to more effectively use all available resources in counterterrorism efforts; and
increased penalties for terrorism crimes and an expanded list of activities which would qualify someone to be charged with terrorism.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Taifa wa ACT, Othman Masoud afanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza, 10/02/2026

    Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, leo Februari 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza. Ujumbe huo ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Marianne Young, uliowajumuisha pia Bw. Jack Fenwick, Katibu wa Pili...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mkutano na Waandishi wa Habari na Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Februari 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/Dnr2XjQk2GU?si=x1aUXvl0spja3PyI
  4. JamiiForums Tanzania Makonda bhana! Kwa hiyo Gambo alikuwa CHADEMA wakati wewe ukiwa mkuu wa mkoa kutokea ACT?

    Unatuletea siasa uchwara Kanda ya Kasikazini utachinjwa mchana kweupe we endelea na magonjwa yako badala ufanye kazi unaanza siasa mfu heti Maendeleo yalichelewa kisa upinzani, kwani Hela ni Mali ya CCM? Mnaturudisha kwenye siasa za kishamba kwa manufaa ya nani? Umepewa bilioni mbili...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Hatuwezi kushindana na vyama vidogo tunavyovilea, CHADEMA, ACT, CUF wote tunawalea

    Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: ACT Wazalendo, ilikutana na Tume ya Jaji Chande na wakaomba isipigwe picha?

    Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mgongano wa Kikatiba Wazuka Mahakama Kuu Zanzibar Katika Kesi za Wagombea Ubunge ACT

    Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT- Wazalendo: Tusiingie kwenye uchaguzi tena bila Katiba mpya

    Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya kikao na uongozi wa jimbo hilo pamoja na waliokuwa wagombea wa udiwani katika uchaguzi mkuu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo si wazalendo!

    Wametia aibu kwa kuhusika kusaport hila , kushiriki chaguzi fake sasa watageuka na kuwa NCCR Mageuzi wangeweza kabisa kuwa chama kizuri lakini waliweka njaa mbele
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwa nia njema tu: ACT Wazalendo mnakwenda Peramiho kulinda kura?

    Maana na nyinyi ni kama wendawazimu! Hamjui mnalenga nini, matumbo yenu au usitawi wa taifa! Zito nenda kajaribu maana na wewe akili zako unaziweza mwenyewe na masheikh wenzako. Amen.
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo: Siku ya Uhuru watanzania hawakuwa na uhuru

    Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kuadhimisha Siku ya Uhuru tarehe 9 Desemba 2025 hakukufanana na dhana ya uhuru kwa Watanzania kwani Watanzania hawakuwa huru Kupitia taarifa rasmi ya Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama hicho, Isihaka Mchinjita, ACT imesema hatua zilizochukuliwa na serikali...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania DEFENDDEFENDERS: The international community should act to prevent further violations in Tanzania

    In a letter released today, 30 NGOs draw UN Human Rights Council Members’ and Observers’ attention to Tanzania’s deteriorating human rights situation. They suggest several steps to address the crisis, including a public briefing by the High Commissioner for Human Rights and, if needed, the...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Wananchi walishatoa uamuzi wao kwa CCM 97% CHADEMA na ACT hawakuwepo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 2 Desemba 2025, amekosoa vyama vya upinzani vinavyodai kuwa vinazungumza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo, Kigoma: Baba Levo na Zitto waliongezewa kura ili zishabiiane na kura alizopata Samia

    Wananchama wa ACT Wazalendo jimbo la Kigoma Mjini wamefungua kesi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Baba Levo, moja ya sababu ya kufungua shauri hilo ni ubabaishaji wa kutangaza matokeo mara mbili. Awali Baba Levo alitangazwa kupata kura 35, 725 naZitto Kabwe kupata kura 16,619, baadaye baada...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT wazalendo: Tunapinga Tume iliyoundwa kuchunguza matukio wakati wa uchaguzi. Si tume ya haki bali kuficha makosa na kuwalinda wahusika

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha ACT Wazalendo kinapinga na kinakataa kabisa Tume iliyotangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata iliyotangazwa leo. Tume hii inayojumuisha wajumbe wote kutoka ndani ya Tanzania, wakiwemo maafisa wa serikali...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo: Mchakato wa uchaguzi uliharibiwa na tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC). Tutakwenda mahakamani

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kauli hiyo imetolewa na Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Profesa Omar Fakih, wakati...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo yalaani Mauaji ya Raia yaliyofanywa na Polisi Oktoba 29

    KAULI YA ACT WAZALENDO KUFUATIA MAUAJI YA TAREHE 29/10/2025 NA SIKU ZILIZOFUATA BAADA YA UCHAGUZI Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa, kilanaani vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa dhidi ya wananchi kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025, katika maeneo...
  18. JamiiForums Tanzania Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia na role model wa ACT amepatwa na nini mpaka kuwadharau wapigania haki?

    Huyu rais wa Zambia aliyeingia madarakani kama mwanademokrasia wa mfano kwa nini sasa hivi amebadilika sana na kuwa mtu asiyejali tena demokrasia wala haki?! Kuna wakati alikataa hata kwenda kwenye uapisho wa Mugabe kwa sababu uchaguzi uliibwa na haukuwa wa demokrasia ila kwa sasa anawaona...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo Zanzibar wanalia wizi Kura ya mapema: Watu wameletwa kwa Mabasi kupiga Kura bila mawakala ndani ya kituo

    Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura akidai kuwa kuna watu wameletwa kwa mabasi wamewaingiza ndani na kuanza kupiga kura bila uwepo wa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge ACT Jimbo la Kawe asema "Tutahakikisha kuwa elimu bure inatekelezwa kikamilifu"

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ameahidi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta za afya, elimu, na miundombinu ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge. Akizungumza katika kampeni zake, Tausi amesisitiza kuwa atahakikisha wananchi wengi wanapata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…