act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mipango ya kando ya CCM

  2. JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo Tawi la Mafifi Lamfuta Uanachama Monalisa Joseph Ndala

    Kikao cha Kamati ya Uongozi ACT Wazalendo kilichofanyika Tarehe 28 Agosti, 2025 Iringa Mjini, Kata ya Kihesa, Mtaa wa Mafifi, kimepitia na kufanya ukaguzi wa hali za uhai wa Wanachama wake wa Tawi kwa ujumla na kubaini kuwa umepoteza sifa za kuwa Mwanachama halali na hai wa Chama cha ACT...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Flatei Massay awekewa pingamizi Ubunge Mbulu

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo katika Jimbo la Mbulu-Vijijini, Wilaya ya Mbulu, Mkoani Manyara, wamepeleka pingamizi la kumpinga Mgombea wa kiti cha ubunge kwa tiketi ya chama hicho Flatei Gregory kwenye ofisi ya msimamuzi wa uchaguzi jimbo la Mbulu vijijini kwa madai ya kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Esther Matiko amuwekea pingamizi mgombe wa ACT-Wazalendo Tarime Mjini

    Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye. Ikumbukwe katika kura za maoni kugombea Ubunge ndani ya CCM mwaka 2020 Jackson alikuwa mshindi namba...
  6. JamiiForums Tanzania Act Wazalendo Tumieni Njia Hii Kupata Uungwaji mkono kutoka kwa Wananchi

    Act wazalendo kubalini kuwa kwenye nafasi ya Urais mmepoteza ila Tumieni rasilimali watu mliyonayo ili kupata Uungwaji Mkono Kutoka Kwa Wananchi kwa kufanya yafuatayo 1: Achaneni na hoja ya kwenda mahakaman maana mnapoteza muda na hamtapata haki yoyote Ile 2: Viongozi wote wakuu mlionao...
  7. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nacheka kama Mazuri vilee. Ni wangapi mmeing'amua hii Script iliyochezwa kati ya CCM, Tume na ACT Wazalendo?

    Kidogo nmeanza kuelewa ule msemo kwamba green and yellow wameishiwa mbinu kwa sasa na nadhani katika zile mbinu tulizoambiwaga kwamba jamaa wana mbinu takribani 1000 za kushinda Uchaguzi! Itakuwa hii ndio mbinu ya mwisho kabisa! Iko hivi! Baada ya balozi kutoka na kumwaga mchele kwenye kuku...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kwa Zitto Kabwe kama kiongozi mkuu na mlezi wa ACT kwa hayo yaliyotokea kuhusu Mpina

    Kwa viongozi wa ACT kushindwa kubaini sheria zao wenyewe hadi kufikia kumpitisha ndugu Mpina kama mgombea urais wa ACT huku akiwa na chini mwezi mmoja tangu ajiunge na ACT ni udhaifu mkubwa mno! La ajabu zaidi sheria ya mgombea kuwa na angalau uanachama wa mwezi mmoja sio sheria ya nchi, ni...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 'Dorothy atimuliwa kimya kimya, Act Wazalendo yazidi kudhihirisha mfumo Dume'

    Wakuu ===== Hizi taarifa niza kweli kwamba Dorothy Semu ametimuliwa kimya kimya ndani ya ACT Wazalendo?
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Luhanga Mpina wa ACT, ameondolewa ili asigombee Urais au ni drama na kiki ya kuongeza kura zake kwa kurejeshwa na Mahakama kimkakati?

    Loudly thinking! Bado sijashawishika kwamba Luhanga Mpina ameondolewa na Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi tena bila kufuata utaratibu. Sijaelewa mpaka sasa. Kuna mambo mawili ninawaza. 1. Ni kweli wamemwondoa Mpina kwa sababu zao. Naipa asilimia ndogo. Na kama ni kweli nimeogopa sana. 2...
  11. JamiiForums Tanzania Niwatahadharishe ACT kwamba mwaka huu CCM wanakabia kwa juu kule Zanzibar

    ACT wajiandae kwa mapambano. CCM wameamua mwaka huu wakabie kwa juu msipate sehemu ya kupumua. CCM wamepanga yafuatayo. 1. Kumuwekea pingamizi mgombea urais Zanzibar kwa ACT. 2. Wamepanga kuwawekea pingamizi wagombea ubunge wote wa ACT kutoka Zanzibar. 3. Wamepanga kuwawekea pingamizi...
  12. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo walia na INEC, sakata la Mpina kuenguliwa

    Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said Shaaban akifafanua ni kwa namna gani chama hicho kinapinga vikali maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumuengua mgombea wao wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Luhaga Mpina, na hatua wanazochukua
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Katiba ya ACT inatamka wazi sifa za mtu kugombea Urais kuwa awe anamwezi ndani ya chama Sasa sijui huwa hawasomi Katiba yao au ni uzembe tu

    Inakuwaje mnaandika wenyewe Katiba kujipiga kitanzi halafu mnasahau Kama mlijipiga kitanzi au mnaanda Katiba kwa kutumia AI? How comes mtu anasiki 3 ndani ya chama halafu anapata sifa ya kugombea Urais inamaana hakuna kuhoji huko ACT? Halafu wanajifanya wanashituka huku hayo mashart...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi pale ACT-Wazalendo tatizo ni ombwe la uongozi makini wa kitaasisi au shida ni uchu wa madaraka na kukurupuka kwa Luhaga Mpina kugombea urais?

    Hii ni kashfa kubwa na ya kipekee kwa uongozi mzima wa ACT-Wazalendo kitaifa, hasa katika kipindi hiki nyeti kuelekea Uchaguzi Mkuu wa kihistoria wa Tanzania. Swali la msingi ni: kweli viongozi wote wa ACT-Wazalendo hawajui taratibu za kikatiba zinazowataka wanachama wapya waendelee kuwa ndani...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais ACT Wazalendo anapitia wakati mgumu sana kwa sasa

    Wakuu habari, Hizi ni moja za habari zilivoeleza aliyekuwa mwanachama wa CCM na kuhamia ACT Wazalendo kisha kuchaguliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
  16. R

    JamiiForums Tanzania ACT, kama mnaweza kulinda kura, basi nilitegemea "MLINDE" kupokelewa kwa fomu za Urais zisikataliwe. Polisi watakuwa hivi vituoni, mtalinda kura kweli

    Mlisema mtalinda kura. Leo ilibidi muwathibitishie wanachama wenu/watanzania kuwa mtalinda kura. Ajabu mmeshindwa kulinda fomu zisikataliwe. Polisi wametanda, mmeshindwa kuingia hata ofisini! Mradi wa CCM as put by Polepole!
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 ACT wanaituhumu INEC kuwa ni aibu kwa tume kumzuia mpina kurejesha fomu

    Chama cha ACT Wazalendo kimepinga kwa ukali hatua ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumzuia mgombea wake wa urais, Luhaga Joelson Mpina, kurejesha fomu za uteuzi, kikieleza kuwa maamuzi hayo ni ‘ya aibu, kinyume cha Katiba na hatari kwa demokrasia ya nchi’. Katika barua ya tarehe 27...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yamzuia Mpina kurejesha fomu za kuwania Urais Ofisi za Tume, ACT Wazalendo yaandika barua kumjibu

    MKURUGENZI WA UCHAGUZI TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI UCHAGUZI HOUSE ENEO LA UWEKEZAJI NJEDENGWA P.O.BOX 358 41107 DODOMA YAH: KUPINGA MAELEKEZO YA TUME KUTAKA MGOMBEA WA ACT WAZALENDO KUTOFIKA KURUDISHA FOMU Naomba urejee suala tajwa hapo juu. Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa mshtuko na...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 ACT WAZALENDO tulipowakumbusha kuhusu REFORMS mlipuuza, sasa Msimlilie Mtu, ndio kwanza Asubuhi

    Linapokuja swala la Uchaguzi CCM haina Mswalie Mtume, iko Tayari hata kuua (Mifano ni Mingi mno) Ni vigumu sana kuingia kwenye Uchaguzi nchini Tanzania kwa sheria na Taratibu zilizopo, kila kiongozi anabeba CCM tena kwa mbeleko ya Chuma. Matiko alihamia ccm 2022 lakini wakati huohuo...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Monalisa Ndala, afurahishwa na uamuzi wa Msajili kuwa uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria na hivyo hastahili kuwa Mgombea Urais

    Mtakumbuka kuwa mimi Monalisa Joseph Ndala niliwasilisha malalamiko Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nikionesha dosari za kikatiba na kikanuni katika mchakato wa uteuzi wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama chetu cha ACT-Wazalendo. Ninafuraha kuwaarifu kuwa baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…