act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Mawakala wa Vyama vya Siasa wanalazimishwa kwenda kuapa Halmashauri ambako ni mbali na maeneo wanayotoka

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na wanahabari leo, Alhamisi Oktoba 10.2024, Dar es Salaam amesema kuwa mawakala wanalazimishwa kufika kwenye ofisi za Halmashauri husika ili kuapa suala ambalo wengi hushindwa kutokana na umbali uliopo kati ya Halmashauri na maeneo wanayotoka...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ACT WAZALENDO kusema kina Wanawanachama 10 Mil kuna ukweli wowote?

    Nimeona post ya chama cha ACT WAZALENDO wakidai kuwa wameweka kwapuni wanachama milioni 10 katika majimbo 214 nchini, naona hizi data ziko kifeki feki kiasi kwa chama ambacho hakina hata miaka.
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Kufungiwa kwa Gazeti la Mwananchi Mtandaoni ni kuminya Uhuru wa Habari

    KUFUNGIWA KWA GAZETI LA MWANANCHI MTANDAONI NI KUMINYA UHURU WA HABARI ACT Wazalendo tunapinga vikali kufungiwa kwa gazeti la Mwananchi Mtandaoni na kuitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuondoa zuio hilo ili gazeti liendelee kutoa huduma ya habari kwa umma...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto ahwahimiza wakazi wa Mvomero kufanya mabadiliko kwa kuichagua ACT Wazalendo uchaguzi wa serikali za mitaa

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mtendaji wa Kijiji akiwasha, ataka kuzuia mkutano wa ACT Wazalendo kwa madai hakuwa na barua kutoka OCD

    Tukio hili limetokea wakati Mtendaji wa Kijiji cha Tuninguo, kata ya Mvuha, alipozuia Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, asiwakaribishe wananchi katika ziara yake. Mtendaji alijitetea kwa kusema kwamba hakuwa na barua kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), akizuia pia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatutaki Act Wazalendo kushiriki ukombozi wa Watanzania kwani ni vibaraka wa CCM

    Watanzania hawaitaki Act Wazalendo ya Zitto. Vibaraka wakubwa wa CCM
  7. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo yawaomba CHADEMA kuahirisha maandamano waliyopanga kufanya 23/09/2024

  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya wazuia mkutano wa ACT Wazalendo ambao Zitto Kabwe alipanga kuzungumza

    Mkutano huu ulikuwa uhutubiwe na Zitto Kabwe, kesho Septemba 21, 2024 pia wamezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Tanzania Bara, Isihaka Mchinjita aliyekuwa afanye ziara na mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kinondoni. Viongozi wa ACT Wazalendo walianza ziara ya kuzunguka mikoa tofauti...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ndolezi Petro: Polisi waache kutumika kisiasa kwenye michakato ya uchaguzi, wawaachie wanasiasa kunadi sera zao

    Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, anayeshughulikia masuala ya Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Mhandisi Ndolezi Petro, amekosoa uchaguzi wa mwaka 2020, akidai kuwa haukuwa huru na haki. Akizungumza katika mkutano wa hadhara jimboni Bumbuli, Mkoani Tanga...
  10. J

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kutumia Kauli mbiu ya " Ubaya Ubwela" kwenye Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amesema katika kuhakikisha mshindi halali ndiye anayetangazwa kauli mbiu yao kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu itakuwa " Ubaya Ubwela" Shaibu amesema hawatakubali yaliyotokea 2020 yajirudie Mlale Unono 😀
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LHRC, ACT-Wazalendo wajitosa mauaji Ali Kibao, kada wa CHADEMA

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetaka uchunguzi wa kina ufanyike kubaini wahusika wa mauaji ya kada wa Chadema, Ally Kibao siku moja baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana majina yao wala walipotokea. Wito wa LHRC unaungana na wa Chama cha ACT-Wazalendo, kilichohoji maswali...
  12. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo hongera kwa kuzindua Redio na TV yenu

    Muda mfupi ujao kabla ya uchaguzi mkuu ACT-WAZALENDO kuzindua TV na radio yao hii ni hatua nzuri kwa chama cha upinzani na itawasaidia kufikisha ujumbe mjini na vijijini hongereni sana. Pia soma: Kuelekea 2025 - Mchinjita: ACT Wazalendo haitumikii CCM tulimpa nafasi Rais Samia lakini...
  13. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wakati muafaka sasa CHADEMA kuungana na ACT Wazalendo!

    Utakuwa ni muungano mzuri sana sana sana sana sana! Uchaguzi wa Mwakani hawatapungua ushindi wa kura 40% kwa nafasi ya Raisi na wabunge watafikia 43%. Ni utafiti ambao nimeufanya mwenyewe kwa sampling method (survey) ikihusisha sample 11,714 za wanachama wa vyama vyote na wengi zaidi ni...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

    kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO... demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo wampatia gari mzee Babu Duni. CHADEMA wanazungusha bakuli Lissu apate gari

    Ukiangalia mchango wa Lisu kwa CHADEMA ni mkubwa sana kulinganisha na ule wa duni ,hata muda wa kutumikia chama pia ni tofauti maana ACT WAZALENDO ni chama cha juzi tu na sio kama CHADEMA cha zamani kidogo. CHADEMA wanawanachama wengi zaidi na ruzuku kwa miaka kibao ikiwemo kupokea pesa kutoka...
  16. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT-Wazalendo jengeni upinzani wa kweli. Mlitaka Tume Huru ya Uchaguzi leo mmeshindwa kuipigania

    Chama cha ACT-WAZALENDO, tambueni nyie ni chama cha upinzani siyo chama rafiki cha CCM kumbukeni nyie ndiyo kipaumbele chenu kilikuwa tume huru ya uchaguzi muliamini kuwa tume huru ya uchaguzi ikipatikana basi uchaguzi utakuwa wa huru na haki. Pia kumbukeni Chadema walikwepa mtego wa tume huru...
  17. J

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yaanzisha sera kuenzi viongozi wastaafu wakimuaga Babu Duni

    Wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji (Babu Duni) akiagwa leo, chama hicho kinaanza utekelezaji wa sera ya ya kuwaenzi viongozi wake wastaafu. Babu Duni ameachia ngazi mapema mwaka huu na nafasi yake kuchukuliwa na Othman Masoud ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe ashauri vyama vya Upinzani kusimamisha Mgombea mmoja wa Urais katika uchaguzi ujao

    Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema: Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa...
  19. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo kuiingiza tena mkenge CHADEMA katika chaguzi 2024 na 2025?

    Nimepata taarifa za ndani kabisa kuwa Chama cha ACT Wazalendo ambacho mmoja wa waasisi wake ni kibaraka namba moja wa Chama cha Mapinduzi, wanampango wa kuwashawishi CHADEMA Wasigombee kwenye chaguzi zijazo kutokana na matamko ya viongozi wa CCM kuhusu chaguzi zilizopita. Hivi karibuni...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo na CHADEMA kukutana kujadili hali ya Siasa nchini

    Makatibu Wakuu wa vyama vya Upinzani Tanzania (ACT Wazalendo na CHADEMA wanapanga kukutana na kujadili hali ya kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ameandika kupitia X (Twitter) "|Nimezungumza kwa simu na @jjmnyika, Katibu Mkuu wa...
Back
Top Bottom