Wiston Mogha Senior Member Joined Feb 13, 2014 Posts 168 Reaction score 141 Jun 22, 2024 #1 Sisi pia ni binadamu, msikatishe ndoto zetu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,164 Reaction score 193,079 Jun 22, 2024 #2 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,667 Reaction score 65,221 Jun 22, 2024 #3 Chanzo cha yote haya ni ccm, iliyoamua kuwafanya wananchi wake kuwa maskini kwa kuulea ufisadi na ufujwji wa Mali za uma na rasilimali zote. Kama kweli unaumia kwa albino kuuawa, basi tufanye hima kuiua ccm.
Chanzo cha yote haya ni ccm, iliyoamua kuwafanya wananchi wake kuwa maskini kwa kuulea ufisadi na ufujwji wa Mali za uma na rasilimali zote. Kama kweli unaumia kwa albino kuuawa, basi tufanye hima kuiua ccm.