act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 ACT Wazalendo: Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM

    TAARIFA KWA UMMA Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM ACT Wazalendo tunalaani vitendo vinavyoanza kushamiri kwa kasi vya kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za siasa wakati wa muda wa masomo, jambo ambalo ni kinyume na miongozo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
  2. PreGE2025 ACT Wazalendo yampongeza Tundu Lissu kwa Ushindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Chama cha ACT Wazalendo kimeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kumpongeza Tundu Lissu kufuatia ushindi wake kama Mwenyekiti wa CHADEMA, nafasi ambayo pia inamfanya kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Pia, Soma: Pongezi mbalimbali za viongozi kwa Ushindi wa Tundu Lissu kuwa...
  3. PreGE2025 Mwenye kufahamu Sera na namna ya kujiunga na chama cha ACT Wazalendo

    Wandugu Habarini... Kama mada tajwa hapo juu, naomba kufahamu sera za ACT Wazalendo na namna ya kujiunga na chama hicho. Nimewiwa kufanya hivyo kutokana na ndoto yangu usiku wa kuamkia leo. Asanteni na Karibuni!!
  4. PreGE2025 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Dorothy Semu atangaza nia ya kuwania Urais mwaka 2025

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao. Semu ametangaza nia hiyo leo Alhamisi Januari 16, 2025 alipokuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam akisisitiza yupo tayari kumkabili Rais Samia Suluhu...
  5. PreGE2025 Tundu Lissu amesema ni kifo au kufukuzwa ndio vitamtenganisha na chama hicho

    Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025 "Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya...
  6. PreGE2025 Ado Shaibu: Atakayehamia ACT Wazalendo ataruhusiwa kugombea Urais

    Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema chama hicho kitampa nafasi mtu yeyote atakayehamia kuweza kugombea nafasi ya Urais. Ado amesema taratibu za chama hicho zinasema mtu akishakuwa mwanachama anaruhusiwa kutangaza nia na taratibu zingine za usaili zikifanyika na...
  7. PreGE2025 Ado Shaibu: Ukichoshwa na CHADEMA karibu sana ACT, tutakuwa chama cha ajabu tukisema hatutawapokea

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na wanahabari leo Januari 15 Makao Makuu ya chama hicho Magomeni Dar Es Salaam amesema “Wakitokea watu wanataka kujiunga ACT Wazalendo kutokea CHADEMA tutawapokea na tunawakaribisha sana kwa mikono miwili kwa sababu biashara ya chama cha siasa...
  8. J

    Hivi Chadema wana Mtunza Hazina kweli kama ilivyo CCM na ACT Wazalendo?

    Nauliza tu kwamba Fedha za Chadema na accounts zake zinatunzwa na nani? Na Malipo ya Posho Kwa Wajumbe mbalimbali yanasimamiwa na nani? Kwako CPA Ruge Nimekaa pale 🐼
  9. PreGE2025 Mohammed Kawaida: Tunaomba mtuachie ACT Wazalendo tupambane nao

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Cde. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameomba Chama cha Mapinduzi (CCM) kiwakabidhi vijana hao kushughulika na chama cha upinzani Zanzibar (ACT - Wazalendo) ambao wamekuwa wakikejeli maendeleo makubwa ambayo yanafanyika katika Visiwa vya Zanzibar pia kukashifu viongozi na...
  10. Abdul Nondo wa ACT Wazalendo atoa tamko kuhusu kutekwa kwake Stendi ya Magufuli

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, anatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwake Stendi ya Magufuli. Fuatilia hapa akitoa tamko lake https://www.youtube.com/live/LyTw1PpXT4I?si=Ze8FhWkwx-7UfKkb "Baada ya kutekwa katika stendi ya Magufuli mashuhuda waliotoa taarifa ndio...
  11. ACT: Mwenendo na ongezeko la Deni la Taifa la Zanzibar "Unaposhindwa kuhesabu, utashindwa kudhibiti"

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MWENENDO NA ONGEZEKO LA DENI LA TAIFA LA ZANZIBAR (2020-2024) "UNAPOSHINDWA KUHESABU, UTASHINDWA KUDHIBITI" Tarehe 7 Januari 2025, ACT Wazalendo inatoa taarifa rasmi kwa umma kuhusu ongezeko kubwa na lisilokuwa la kawaida la Deni la Taifa la Zanzibar katika kipindi cha...
  12. M

    Kumbe wakili Jebra ni Act Wazalendo damu? Kwanini anaingilia CHADEMA?

    Kumbe wakili Jebra ni Act wazalendo dam dam? Kwanini anaingilia Chadema?
  13. PreGE2025 Mbowe: Chama chetu hakina ukomo wa Madaraka na msitulazimishe kuwa kama CCM ama Act Wazalendo wenye ukomo wa Madaraka kwa viongozi

    Mwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe amesema chama chao cha chadema hakina ukomo wa madaraka na watu wasiwalazimishe kua kama CCM ana ACT wazalendo wenye ukomo wa Madaraka. Mbowe anasema ukomo wa madaraka kwenye chama chao ni pale wanapofanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 hivyo kama kiongozi...
  14. PreGE2025 ACT Wazalendo, CUF na CHAUMA zataka Rais Samia atimize ahadi yake ya kuwepo kwa Uchaguzi mkuu wa huru na wa haki

    Wakuu, Inaonekana kwamba bado vyama vya upinzani vina imani na mchakato wa Uchaguzi nchini ========== Vyama vya upinzani vimeitaka Tume Huru ya Uchaguzi kuhakikisha inasimamia misingi ya haki na matakwa yote ya kisheria katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 siku moja baada ya Rais Samia...
  15. PreGE2025 Othman Masoud: Mtanzania akilala hajui kama ataamka salama, tumuondoe CCM

    Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ametoa kauli yenye mashiko kuhusu hali ya kiusalama na haki nchini, akisema kuwa Mtanzania akienda mahakamani hana hakika ya kupata haki yake, na hata akilala, hawezi kujua kama ataamka salama. Akizunguza...
  16. CCM Zanzibar yataka chama cha ACT Wazalendo kuacha kuingilia kazi za Polisi

    Wakuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka viongozi wa ACT Wazalendo kuacha pupa na papara ya kutoa maelezo yanayoingilia uhuru na majukumu ya vyombo vya dola, polisi na mamlaka zinazosimamia upelelezi Matamshi hayo yametamkwa na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Zanzibar, Idara ya Itikadi...
  17. ACT Wazalendo: Tunamtaka Rais Mwinyi atengue uteuzi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, na Idara Maalum za SMZ

    ACT WAZALENDO TUNAMTAKA DR. MWINYI ATENGUE UTEUZI WA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, NA IDARA MAALUM ZA SMZ Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kuuliwa kwa watu wawili na Kikosi cha KVZ cha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na mtu mmoja...
  18. Zito kulamba dume tena?Tundu Lisu + ACT wazalendo (Zito), Kuwa chama mbadala wa CCM? Ukawa kurejea kivingine?

    1.Pata picha Tundu Lisu akasepa na Kijiji chake ACT Wazalendo, wataungana na Zito, Lisu akagombea uraisi akashinda, Zito waziri mkuu, Zanzibar Jusa Raisi Visiwani, hakika itakuwa serikali mbadala kabisa kwa utawala wa muda mrefu wa chama cha kijani. 2. Wasiposhinda uchaguzi wa Rais ACT...
  19. PreGE2025 ACT Wazalendo inaenda kushinda Urais 2025

    Najua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika leo huku chama kinaenda kushinda urais kupitia mgombea wake ambaye atakuwa Tundu Lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi Nimeandika Leo na nitafufua huu Uzi wangu mimi mwenyewe hatimaye watanzania wataenda kufurahi...
  20. ACT Wazalendo chini ya Zitto Kabwe nimeamini ni chama bora kuliko CDM ya Mbowe

    * Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano; * Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM; CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…