act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu ACT Wazalendo: Rais Samia alituhadaa na falsafa yake ya maridhiano kutupotezea muda

    Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema Rais Samia Suluhu Hassan alitumia njia ya maridhiano kuwapa upofu kwa muda wapinzani ili aweze kujipanga kukabiliana nao. “Kumbe Mheshimwa Rais alikuwa anatuhadaa kwa hiyo Rais akataka kwanza awe na kipindi cha kutokusumbuliwa ili aweze...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Mwanaisha Mndeme atangaza kugombea Ubunge jimbo la Kigamboni kupitia ACT Wazalendo. Ataweza kumrithi Ndugulile?

    Wakili Mwanaisha Mndeme ambaye ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje ya ACT Wazalendo, na Waziri Kivuli Viwanda na Biashara wa chama hicho, leo tarehe 6 Februari 2025 ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Wakili...
  3. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

    ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje. Tanzania, kama moja ya...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lindi: ACT Wazalendo walalamikia mchakato wa uandikishaji daftari la mpiga kura. Wasema hawajashirikishwa

    Chama cha ACT Wazalendo mkoani Lindi, wametoa malalamiko yao mbalimbali kwa Afisa mwandikishaji wa uchaguzi katika Jimbo la Mjinga pamoja na Jimbo la Lindi mjini Bwana Juma Mnwele kutokana na kutoshirikishwa katika masuala ya uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mkuu wa Mkoa wa Dar awajibishwe haraka kulinda utu wa Wananchi

    MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWAJIBISHWE HARAKA KULINDA UTU WA WANANCHI Chama cha ACT Wazalendo kinalaani vikali kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Albert Chalamila inayowataka wanawake kujifungua nyumbani kwa kutumia visu na mikasi endapo watakosa fedha za kulipia huduma...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Dorothy Semu: Nikiteuliwa serikalini sitakubali uteuzi. Sitamani kufanya kazi nyingine zaidi ya ACT

    Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa hatamani kufanya kazi sehemu nyingine tofauti na kukitumikia chama chake Cha ACT Wazalendo Na kwamba hata akipewa kazi serikalini hawezi kukubali. Ikumbukwe kuwa mwaka 2017 aliyekuwa mgombea wa ACT Wazalendo Anna Mgwhira...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo: Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM

    TAARIFA KWA UMMA Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM ACT Wazalendo tunalaani vitendo vinavyoanza kushamiri kwa kasi vya kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za siasa wakati wa muda wa masomo, jambo ambalo ni kinyume na miongozo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo yampongeza Tundu Lissu kwa Ushindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Chama cha ACT Wazalendo kimeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kumpongeza Tundu Lissu kufuatia ushindi wake kama Mwenyekiti wa CHADEMA, nafasi ambayo pia inamfanya kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Pia, Soma: Pongezi mbalimbali za viongozi kwa Ushindi wa Tundu Lissu kuwa...
  9. Dialogist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenye kufahamu Sera na namna ya kujiunga na chama cha ACT Wazalendo

    Wandugu Habarini... Kama mada tajwa hapo juu, naomba kufahamu sera za ACT Wazalendo na namna ya kujiunga na chama hicho. Nimewiwa kufanya hivyo kutokana na ndoto yangu usiku wa kuamkia leo. Asanteni na Karibuni!!
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Dorothy Semu atangaza nia ya kuwania Urais mwaka 2025

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao. Semu ametangaza nia hiyo leo Alhamisi Januari 16, 2025 alipokuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam akisisitiza yupo tayari kumkabili Rais Samia Suluhu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu amesema ni kifo au kufukuzwa ndio vitamtenganisha na chama hicho

    Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025 "Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Atakayehamia ACT Wazalendo ataruhusiwa kugombea Urais

    Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema chama hicho kitampa nafasi mtu yeyote atakayehamia kuweza kugombea nafasi ya Urais. Ado amesema taratibu za chama hicho zinasema mtu akishakuwa mwanachama anaruhusiwa kutangaza nia na taratibu zingine za usaili zikifanyika na...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Ukichoshwa na CHADEMA karibu sana ACT, tutakuwa chama cha ajabu tukisema hatutawapokea

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na wanahabari leo Januari 15 Makao Makuu ya chama hicho Magomeni Dar Es Salaam amesema “Wakitokea watu wanataka kujiunga ACT Wazalendo kutokea CHADEMA tutawapokea na tunawakaribisha sana kwa mikono miwili kwa sababu biashara ya chama cha siasa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema wana Mtunza Hazina kweli kama ilivyo CCM na ACT Wazalendo?

    Nauliza tu kwamba Fedha za Chadema na accounts zake zinatunzwa na nani? Na Malipo ya Posho Kwa Wajumbe mbalimbali yanasimamiwa na nani? Kwako CPA Ruge Nimekaa pale 🐼
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Kawaida: Tunaomba mtuachie ACT Wazalendo tupambane nao

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Cde. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameomba Chama cha Mapinduzi (CCM) kiwakabidhi vijana hao kushughulika na chama cha upinzani Zanzibar (ACT - Wazalendo) ambao wamekuwa wakikejeli maendeleo makubwa ambayo yanafanyika katika Visiwa vya Zanzibar pia kukashifu viongozi na...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo wa ACT Wazalendo atoa tamko kuhusu kutekwa kwake Stendi ya Magufuli

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, anatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwake Stendi ya Magufuli. Fuatilia hapa akitoa tamko lake https://www.youtube.com/live/LyTw1PpXT4I?si=Ze8FhWkwx-7UfKkb "Baada ya kutekwa katika stendi ya Magufuli mashuhuda waliotoa taarifa ndio...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Mwenendo na ongezeko la Deni la Taifa la Zanzibar "Unaposhindwa kuhesabu, utashindwa kudhibiti"

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MWENENDO NA ONGEZEKO LA DENI LA TAIFA LA ZANZIBAR (2020-2024) "UNAPOSHINDWA KUHESABU, UTASHINDWA KUDHIBITI" Tarehe 7 Januari 2025, ACT Wazalendo inatoa taarifa rasmi kwa umma kuhusu ongezeko kubwa na lisilokuwa la kawaida la Deni la Taifa la Zanzibar katika kipindi cha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe wakili Jebra ni Act Wazalendo damu? Kwanini anaingilia CHADEMA?

    Kumbe wakili Jebra ni Act wazalendo dam dam? Kwanini anaingilia Chadema?
  19. The Assassin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Chama chetu hakina ukomo wa Madaraka na msitulazimishe kuwa kama CCM ama Act Wazalendo wenye ukomo wa Madaraka kwa viongozi

    Mwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe amesema chama chao cha chadema hakina ukomo wa madaraka na watu wasiwalazimishe kua kama CCM ana ACT wazalendo wenye ukomo wa Madaraka. Mbowe anasema ukomo wa madaraka kwenye chama chao ni pale wanapofanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 hivyo kama kiongozi...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo, CUF na CHAUMA zataka Rais Samia atimize ahadi yake ya kuwepo kwa Uchaguzi mkuu wa huru na wa haki

    Wakuu, Inaonekana kwamba bado vyama vya upinzani vina imani na mchakato wa Uchaguzi nchini ========== Vyama vya upinzani vimeitaka Tume Huru ya Uchaguzi kuhakikisha inasimamia misingi ya haki na matakwa yote ya kisheria katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 siku moja baada ya Rais Samia...
Back
Top Bottom