Zaidi ya wanachama 50 wa Chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM), wakisema walichojifunza upinzani ni ukaidi na vurugu na sio kufanya mambo yenye manufaa kwa wananchi.
Wanachama hao wamepokewa leo Aprili 13,2025 na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos...