act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo inakwenda kuwa Chama Cha pili kuongoza Dola Tanzania

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, amesema kuwa uteuzi wake kuwa mgombea urais kupitia chama hicho ni mwanzo rasmi wa safari ya kukiondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani, akisisitiza kuwa Watanzania wanataka katiba mpya na haki ya...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 ACT-Wazalendo Hakithamini Wanawake, Hakina Imani Nao Katika Uongozi

    Chama cha ACT-Wazalendo kinaonesha wazi kutowathamini wanawake na kukosa imani nao katika nafasi za juu za uongozi. Hali hii imejidhihirisha baada ya kumtangaza Luhaga Mpina kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, licha ya kuwepo kwa Dorothy Semu ambaye tayari...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa mtiania nafasi ya Urais ACT Wazalendo Aaaron Kalikawe: Kila Kata itakuwa kama Mlimani City

    Wakuu, Mgombea wa nafasi ya kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Aaron Kalikawe ameahidi kuifanya Tanzania kuendeshwa katika mifumo ya teknolojia itakayochochea uzalishaji wa ajira kwa vijana. Kalikawe anachuana na Luhaga Mpina katika...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina kugombea urais ACT Wazalendo ni ndoto ya mwendazimu

    Moja kati ya Wanaccm nilikua nawakubali ni kaka yangu Luhaga Mpina. Ila yeye kutoka CCM na kujiunga ACT ni maamuzi mabaya zaidi. Ataenda kushiriki na kusindikiza tu CCM hamna atakachoambulia. Namkumbusha tu Lowassa alikusanya vyama zaidi ya vitano mwaka 2015. Rafiki yangu Bernard kamilius...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanaopenda Chama sindikizi jiungeni na ACT Wazalendo tuacheni wapenda mabadiliko

    Wanaopenda Chama sindikizi jiungeni na ACT Wazalendo tuacheni wapenda mabadiliko. Huwezi kupata madiliko ya kimfumo wakati wewe mwenyewe unategemea mfumo huohuo kukulipa. Huwezi kupata mabadiliko kama huwezi kwenda jela na kuwa mwoga mwoga. Huwezi kupata madiliko kwa kuomba wakandamizaji wako...
  6. K

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo ni chama sindikizi

    ACT Wazalendo ni chama sindikizi. Hiki chama hakitaweza kuongoza dola kwasababu kinategemea dola hiyo hiyo na viongozi wa chama nao maisha yao wanategemea dola. Hawataweza kudai vizuri mabadiliko kwasababu kwa naomna nyingine wanategemea pesa kutoka kwa hao hao watu wa mfumo. Lakini ni chama...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri wa bure kwa Luhaga Mpina kuhusu kugombea urais kupitia ACT-Wazalendo

    Mhe. Mpina nimekuona kwenye clip na pia kwenye mitandao ya kijamii kuwa unashawishiwa na ACT- Wazalendo kuwa ugombee nafasi ya Urais kupitia Chama hicho. Nakupa ushauri wa bure. ACHA KABISA wazo hilo. Kama unataka cheo chochote kupitia siasa gombea nafasi ya ubunge hata kwa kupitia Chama chao...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Wanachama wa ACT Wazalendo wagomea salamu ya Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa

    NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye Mkutano Maalum wa chama hicho leo, Agosti 6, 2025 alianza kwa kuwasalimia ''Nawasalimu kwa jina la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania." mwitikio wake haukuwa vile alivyotarajia.
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Hawa Wachina kwenye mkutano wa ACT kulikoni? ACT mmefanya kosa la kimkakati sana

    Wakuu, Sijapenda kabisa kuwaona hawa Wachina kwenye mkutano wa ACT Wazalendo. Hawa Wachina wako AGAINST DEMOCRACY na ni marafiki wakubwa sana wa chama cha tawala. Hawa wachina ndio ambao wana kile chuo cha Uongozi kule Kibaha kwa ajili ya "kutrain" viongozi wa CCM Mfumo mzima wa demokrasia...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Ado Shaibu: Wapo wengi wanatoka CCM wanabisha hodi ACT, tunawakaribisha

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama hicho, leo Agosti 6, 2025, amesema kuna wimbi kubwa la Watu wanaotaka kujiunga nao wakitokea CCM na Vyama vingine vya upinzani na kwamba wao wanawakaribisha.
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Ado Shaibu: ACT Wazalendo tuna wagombea, Udiwani kila Kata na Ubunge majimbo yote

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu, amesema kuwa Chama hicho kinao wagombea Udiwani kwenye Kata zote Tanzania Bara na Zanzibar. Lakini pia amessema kwamba tayari kwa Zanzibar wameshapata wagombea kwenye majimbo yote ya Zanzibar na Tanzania Bara. Aidha amesema kwamba kuna...
  12. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dorothy Semu ajiondoa kugombea Urais ACT Wazalendo. Je, anampisha Luhaga Mpina?

    Ndugu zangu Watanzania, Dorothy Semu aliyekuwa ametangaza kugombea Urais Kupitia Chama chake cha ACT WAZALENDO. Je anajiondoa ili kumpisha Luhaga Mpina? Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
  13. JamiiForums Tanzania Mpina kuwania uraisi kupitia ACT

    Chama cha ACT Wazalendo kimependekeza majina ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar kufuatia kikao kilichofanyika jana Jumanne, Agosti 5, 2025 katika makao makuu ya chama hicho, kwenye ukumbi wa Hakainde Hichilema. Soma pia: Mpina agonga hodi ACT Wazalendo na...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina na Kalikawe ni wagombea urais kupitia Act Wazalendo

    Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza rasmi majina ya wagombea wa nafasi za Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, kufuatia kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika tarehe 5 Agosti 2025 katika ukumbi wa Hakainde Hichilema. Katika kikao...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina kwenda ACT Wazalendo ni Plan ya Samia, hii unahitaji kuwa na extra akili kujua hii move. Mpina ni project ya Samia

    Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima. Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu. Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow ajiunga na ACT Wazalendo

    Mara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho. =================== Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow leo Jumanne Agosti 5, 2025, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Rwambo amekabidhiwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mgombea wa CCM Temeke, jimbo litakwenda mikononi mwa ACT-Wazalendo, Shehe Issa Ponda kushinda mchana kweupe

    KWA AINA YA MGOMBEA WA CCM TEMEKE, JIMBO LITAKWENDA MIKONONI MWA ACT-WAZALENDO – SHEHE ISSA PONDA Katika harakati za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu, macho mengi yameelekezwa katika majimbo yenye ushindani mkali – mojawapo likiwa ni Jimbo la Temeke. Kauli kali iliyotolewa na Shehe Issa Ponda...
  18. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025

    DAR. Mbunge wa zamani wa Kisesa, Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina ni mwanachama halali wa Chama cha ACT Wazalendo na tayari ameshakabidhiwa fomu ya kugombea urais wa chama hicho. Taarifa za uhakika ndani ya ACT-Wazalendo zinasema, mwanasiasa huyo tayari amekabidhiwa kadi ya chama hicho cha upinzani...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu, akimsajili Luhaga Joelson Mpina katika Mfumo wa ACT Wazalendo Kiganjani na kuwa mwanachama rasmi wa ACT Wazalendo. Pia soma >> GE2025 - Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Isihaka Mchinjita kuhusu Luhaga Mpina, asema ACT Wazalendo inawakaribisha watu wote waliokosa fursa kwenye vyama vyao

    Wakuu Makamu Mwenyekiti ACT-Wazalendo Bara, Mheshimiwa Isihaka Mchinjita, kupitia mahojiano na kipindi cha Supa Breakfast, amegusia uvumi unaosambaa mitandaoni kuhusu Mbunge wa zamani wa Kisesa, Luhaga Mpina kujiunga na ACT Wazelendo na kusema wanamkaribisha wakati wowote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…