abiria

Abiria (kutoka neno la Kiarabu عبر ˁabara kwa maana ya kuabiri, kuvuka eneo la maji) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni.

Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi.

Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.
  1. JamiiForums Tanzania Katika hali isiyo ya kawaida ameonekana akipanda ndege ya abiria kurejea kwao dharura

    Naangalia movie inaitwa “delta force” ni tamu sana ngoja tuone kama atapelekwa wapi huyu abiria!! Tuone kama akina chuck norris watawahi kumuokoa… Ni movie ya mwaka 1986 ila haichoshi…
  2. JamiiForums Tanzania Joseph Philippe Lemercier: Abiria pekee mwenye asili ya Afrika aliyekuwa ndani ya meli ya Titanic

    Historia ya Joseph Philippe Lemercier Laroche (1886–1912) Joseph Philippe Lemercier Laroche alikuwa mhandisi kutoka Haiti, anayejulikana sana kwa kuwa mtu pekee mwenye asili ya Kiafrika aliyesafiri kwenye meli ya kifahari RMS Titanic ambayo ilizama Aprili 1912. 🧑‍🎓 Maisha ya Awali Joseph...
  3. JamiiForums Tanzania Mamlaka za usimamizi wa usafiri wa abiria kutoka Moshi mjini kwenda wilaya jirani mko wapi abiria wananyanyasika

    Habari za muda huu wakuu?? Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku. Pale stendi ndogo nilikuta magari machache ya abiria yanayoelekea maeneo mbalimbali ya jirani. Gari za kuelekea...
  4. JamiiForums Tanzania Bodaboda anaswa akiendesha basi la abiria

    Polisi mkoani Morogoro wamemnasa dereva mwenye leseni ya kuendesha bodaboda akiendesha basi la abiria!!!
  5. JamiiForums Tanzania Abiria amchongea dereva kwa polisi, basi zima lakamatwa kwa kuzidisha abiria

    Jeshi la Polisi kupitia Makao Makuu ya Kikosi cha Usalama barabarani Tanzania limewaonya Madereva na Makondakta wa vyombo vya moto mikoa yote nchini kuacha kuzidisha abiria wanapokuwa safarini na kuzingatia kanuni za Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini (LATRA) kwani jeshi halitosita kuchukua...
  6. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mpya TRC- Anza na kuondoa ujinga wa Stesheni ya Dodoma kujaza watu kama wanyama sehemu ya kupandia abiria

    Nakumbuka Mkuu wa mkoa na waziri Mchengerwa alishawahi kulalamika uzembe wa kupangilia abiria sehemu ya kusubiri kuingia kwenye treni ya SGR Inaonekana meneja wa SGR dodoma ana kiburi au uwezo mdogo Treni imeshakaa.mkao wa.kuondoka, bado abiria wanazuiwa kuingia mpaka zinabaki dk 10 ndio...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wauza Chipsi wa Stendi ya Mabasi Babati zingatieni usafi wa huduma yenu ya chakula. Mnaweka hatarini afya za wateja wenu (abiria)

    Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile. Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
  8. JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza rasmi miaka miwili toka niwe rasmi abiria wa mwendokasi

    Kama nilivyoanza story yangu leo tarehe 17/06/2025 nimefikisha miaka miwili kabisa yakutumia usafiri wa mwendokasi( BRT ) kama usafiri wangu kwenda na kurudi kazini kila iitwapo leo. Sasa basi nikaona ndani ya siku hii ya maadhimisho hayo nijaribu kuzungumzia yale...
  9. JamiiForums Tanzania "Manusura" wa ndege ya India hakuwa abiria kwenye hiyo ndege

    Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege. Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu... Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji kwenye Ubia wa BRT maarufu kama UDART kwa kushirikiana na Emirates utaleta mapinduzi na huduma bora kwa abiria wa Dar Es Salaam. Big Up!

    Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar. Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu. Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
  12. JamiiForums Tanzania Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Lori maeneo ya Tabora leo Mei 28, 2025

    Inadaiwa kuna Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Gari maeneo ya Tabora huko, wenye taarifa zaidi watujuze. ============================= Abiria wa Gari Moshi wamenusurika kifo kufatia ajali ya lori la mizigo lenye trela Namba T 933 DMF lililokuwa likitokea Tabora kuelekea Wilayani...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Daladala za Kigamboni zagoma kusafirisha abiria kutokana na ubovu wa barabara eneo la kwa Mchina

    Daladala zinazofanya biashara ya kusafirisha abiria kati ya Kigamboni kwenda Kongowe -> Mkuranga -> Toangoma kupitia Mjimwema zimegoma kufanya kazi baada ya kuwa na kipande kibovu hivyo kulazimika kupitia uchochoroni ambapo napo pameharibika. Kipande huko kibovu ni pale kwa Mchina kilianza...
  14. JamiiForums Tanzania Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)

    Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats) Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Abiria hawathaminiwi hata kama analipa nauli mwendokasi Gerezani-Mbezi mwisho

    Jumatatu mida ya saa moja na dakika 15 nipo gerezani nasubiria gari ya Mbezi picha linaanza watu niliowakuta ni wengi na gari hamna toka saa 19:15 hadi saa 20:40. Gari zinazopita zinaenda Kimara au Muhimbili na Morocco ila Mbezi ndo kama umesahaulika saa 20:40 gari za Mbezi zinafika Gerezani...
  16. JamiiForums Tanzania Abiria zaidi ya milioni 2.3 wasafiri na SGR; Makusanyo yakifikia Tsh. Bilioni 66.8

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania - TRC ndugu Masanja Kungu Kadogosa amesema kuwa TRC imeweza kusafirisha zaidi ya abiria milioni 2.3 tangu kuanzishwa kwa uendeshaji wa treni ya SGR June 14, 2024 hadi sasa Aprili, 2025. Akizungumza katika kipindi cha " One on one" cha Wasafi TV Ndugu...
  17. JamiiForums Tanzania Adha ya Magari ya Mwendokasi kuacha abiria muda mrefu nyakati za Asubuhi kwenye Vituo na kupita matupu ili hali usafiri wa shida, inakera sana

    Habarini wandugu, Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kuachwa na mabasi kwa sisi abiria tunaotoka maeneo ya kimara na nje ya mji tunaotumia usafiri wa mwendokasi kwa nyakati za asubuhi. unakuta mtu unafika kituoni saa12 asubuhi magari yanakuja yamejaa unalazimika kusubiri na unatakiwa uwahi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Gari lenye Mabango ya Picha za Dkt. Samia, Abiria waliokuwemo wanatazama Hotuba za Lissu. Walionekana na furaha sana

    Kwenye harakati zangu za leo asubuhi nimekutana na jambo lililonishangaza. Kumbe watu ni wajanja sana na wanafiki. Kwenye hilo gari aina ya Toyota Double Cabin lilikuwa na mabango yenye picha za ccm na Rais Samia kama mwenyekiti wa Chama Taifa. Wale abiria waliokuwemo wametune Sauti iliyokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwendokasi apewe mchina

    Ndiyo naingia nyumbani kwangu mida hii. Wife amenunua, nimemkuta ametoa begi lake la nguo anapiga pasi, anataka kurudi kwao anasema " Mashamba Makubwa Nalima umepata mke wewe, niache mimi nirudi nyumbani, nina kwetu!" Ila mimi sikuwa sehemu yoyote zaidi ya pale Morocco nikisubiri bus tokea saa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa nini wasafiri wa ndege huwa hawasali kwa pamoja kama wa bus za abiria?

    Kwa nini wasafiri wa ndege huwa hawasali au kufanya dua/maombi ya kuombea safari kwa pamoja kama wasafiri wa bus za abiria? Bus zote za abiria ambazo nimesafiri nazo lazima wafanye maombi hata hadi ya dakika 10 kuombea safari, kwenye ndege sijawahi kushuhudia kabisa hili jambo la maombi ya jumla.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…