Ndiyo naingia nyumbani kwangu mida hii.
Wife amenunua, nimemkuta ametoa begi lake la nguo anapiga pasi, anataka kurudi kwao anasema " Mashamba Makubwa Nalima umepata mke wewe, niache mimi nirudi nyumbani, nina kwetu!"
Ila mimi sikuwa sehemu yoyote zaidi ya pale Morocco nikisubiri bus tokea saa...