Tumekuwa marafiki mda mrefu sasa kama miezi saba, kijana huyu amekuwa akinivutia sana hasa kwa tabia namuonekano wake yeye anasali kanisa katoliki pia ni mwana kwaya anamambo ya dini sana hivyo tukiwa peke yetu hata usiku huwa tunapiga story za dini tu na kusikiliza kwaya huwa anapenda kunikumbatia na kushika mikono Yangu tunapokuwa peke yetu na ninapokuwa kifuani kwake huwa anashidwa hata kuongea na moyo wake huwa kasi mm hujikuta nimelowa lakini naogopa kusema yy pia, naomba ushauri nifanyaje ajue nampenda maana nyege zinatuua