Nimeipenda hii Picha ya Mwasiti wa Bongo Movie

Nimeipenda hii Picha ya Mwasiti wa Bongo Movie

Kikelelwa

Senior Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
176
Reaction score
124
Msiandamane Lakini.

SHISHI1.bmp


"Haah! Aisee ni miaka mingi kwa kweli sijaduu, kila nikikumbuka yule mwanaume alivyonizingua, sikutamani tena tendo la ndoa," alisema Shishi.
 
Wataalamu, wanadai wanawake wanao tumia pombe ni majasiri katika harakati zao za kimaisha na hujitoa kwenye utegemez
 
Glasi lenyewe kubwa hilo linaumiza pua na macho tu bora hata angenywea kwenye chupa....
 
heri ya mwaka mpya ,na kilemba na kanzu sio dalili ya ushehe
 
ulevi haona taifa wala dini...acha akili za mavi hizo
 
Uamsho wakimkamata watamnyonyoa kama kuku bila maji moto.
 
kha jaman kwa hiyo si mpenzi wa wanaume ila mpenzi wa pombe subiri uletewe na kavulana, hako apo mezani kasichana dah !! ila hujalitendea haki vazi hilo bi shotiiiiiii
 
He! Kumbe hata alkaeda wanapeleka haya makitu. Kiru!
 
Back
Top Bottom