Search results

  1. S

    HP laptop EliteBook 8440p Inauzwa

    Processor: Intel Core i7 RAM: 6GB Hard Disk: 500GB Display Size: 14" Graphics card: NVIDIA Quadro (RAM 512) USB Ports: 4 Bluetooth: Yes Webcam: Yes (2 Megapixel) Wi-fi: Yes Ethernet Port: Yes Fingerprint Scanner: Yes Card Reader: Yes Location: Dar es salaam. Bei ya kuanzia ni TSh. 560, 000/-...
  2. S

    Natafuta Stylus ya Samsung Galaxy Note 3

    Kwema wakuu? Naomba kujuzwa wapi napoweza kupata stylus ya galaxy note 3 kwa hapa Dar. Huwa naagiza aliexpress, ila kwa sasa inahitajika kwa haraka kidogo.
  3. S

    Maoni Kuhusu App hii ya Android

    Habari zenu wakuu. Napenda kutambulisha kwenu uwepo wa app inayoitwa "Appetite" (inapatikana playstore). App hii inakuwezesha kuandika recipe zako pamoja na kushare hizo recipe. Kwa sasa app ina msaada zaidi kwa wanaopenda kupika au kushare mapishi yao lakini kuna features nyingi zinakuja...
  4. S

    Jifunze Kupika au share Mapishi yako na App hii

    Heshima kwenu brothers and sisters Napenda kutambulisha kwenu app inayoitwa "Appetite" ambayo inakupa uwezo wa kuandika recipe zako (maelekezo ya mapishi) na kushare na watumiaji wengine wa app hii. Kuna features nyingi ambazo tunaendelea kuongeza zitakazofanya app iwe na matumizi mengi zaidi...
  5. S

    Download Torrents using IDM at UNLIMITED SPEED

    Kwa wale wanaotaka kudownload torrents kwa kutumia download manager kama IDM, wanaweza kwenda kwenye hii link: Torrent2IDM. Hakuna kikomo kwenye download speed na files zako zitatunzwa kwa mwezi mmoja. Nenda kwenye hiyo link kupata maelezo zaidi.
  6. S

    Angalia live tv channels (paid and free) kwenye pc yako bure kabisa

    Wakuu nimeandika uzi huu ili wana JF wenye unlimited internet waweze kufaidi zaidi internet hiyo. Pia nanyi mkichangia sites mnazozifahamu itakuwa poa zaidi. Kuangalia MBC 2 HD,MBC 3 HD, MBC, 4 HD, MBC ACTION HD, MBC MAX HD, FOX HD, FOX MOVIES HD na nyingine nyingi za kiarabu, tembelea Télé Du...
  7. S

    Another best sci fi tv series

    Kwa wale ambao wanapenda TV series zenye a lot of special effects, you might wanna see Marvel's Agents of S.H.I.E.L.D. Episode ya kwanza tayari ipo online. Kama una net ya kasi waweza iangalia Watch TV. Watch Movies. | Online | Free | Hulu (LAZIMA UWE USA - KWA WENYE VPN BADILI SERVER NA UWEKE...
  8. S

    "Niliishi Dunia ya peke yangu" soma hadithi hii hapa kama ilikupita

    Kwa wale ambao hamkusoma hadithi hii ya E.J.S, waweza download this pdf version. Sorry for the repetitions and the missing parts....
  9. S

    Photoshop [EXCLUSIVE]

    Wale fans wa Photoshop (Wanaojifunza, Experts au wanaokuwa impressed na kazi za photoshop) tuchangie ideas hapa. Kama unaswali, una tip au kuna picha umeedit,waweza changia hapa na wadau wengine wakacomment. Express your skills in Photoshop guys..!!!
  10. S

    Download full version softwares bila kutumia torrent sites.

    Kwa wale wanaopata tabu kudownload kutoka katika torrent websites kwa kukosa seeds za kutosha, bonyeza Freeware Downloads ujisajiri bure na kuanza kudownload softwares zako ukitumia download manager yoyote.
Back
Top Bottom