Download full version softwares bila kutumia torrent sites. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Download full version softwares bila kutumia torrent sites.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Sirbuni, Aug 19, 2012.

 1. S

  Sirbuni Senior Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa wale wanaopata tabu kudownload kutoka katika torrent websites kwa kukosa seeds za kutosha, bonyeza Freeware Downloads ujisajiri bure na kuanza kudownload softwares zako ukitumia download manager yoyote.
   
 2. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pouwa mshkj!
   
 3. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,154
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mbona mauza uza tupu?
   
 4. S

  Sirbuni Senior Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii hapa ni njia nyingine rahisi kabisa. Tafuta chochote unachotaka kupitia torrent sites kama Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The galaxy's most resilient BitTorrent site, http://www.kat.ph kisha kisha download hako katorrent (kana size ndogo sana cuz kamebeba address ya hilo file) na kwa zile zinazotumia magnetic links tumia njia hii. Right click kwenye icon ya magnet (kama u ilogeuzwa juu chini) kisha chagua "copy link location" na baada ya hapo fungua http://www.zbigz.com na upaste ile link uliyocopy (kwa magnetic links) au chagua "upload torrent file" kama ulidownload kifile cha torrent.
  Hapo utabadilishiwa file lako na kuweza kulidownload na download manager yako.
  Me nadownload series,softwares na movies kwa haraka sana kupitia njia hiyo kama unavyoweza kuona kwenye hii picha zbigz download.jpg .TRY IT AND TELL ME HOW U FIND IT....
   
Loading...