Download Torrents using IDM at UNLIMITED SPEED

Sirbuni

Senior Member
Aug 19, 2012
103
195
Kwa wale wanaotaka kudownload torrents kwa kutumia download manager kama IDM, wanaweza kwenda kwenye hii link:
Torrent2IDM.
Hakuna kikomo kwenye download speed na files zako zitatunzwa kwa mwezi mmoja.
Nenda kwenye hiyo link kupata maelezo zaidi.
 
wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
411
250
I think I knw wat ur trying to do, and i like it!... But hey, i love my MediaGet and Bittorrent
Screenshot (22).png
 
wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
411
250
Kuna this one, Furk.net, nayo naipendaga, Ila ZBIGZ is pretty awesome, nice Idea man, and the prices seem fair enough
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,616
2,000
Sirbuni nimependa hiyo Client yako kama IDM fulani emu nipe jina lake maana mm naona Tunec Inc wamenistukia nimecrack IDM sasa mtiti nikiwa nadownload Video Kuna kimessage kina nambia "Remember you activated your IDM with fake srial number"
Nakipiga Ok lkn 5minutes kinarudi mpaka nimeichoka ni bora nitumie 30days zikiisha na Uninstall naanza upya

Sasa kama hauto Mind kama Hiyo client ina capture Youtube Videos na non-u tube videeos nahisi itanifaaa
 
gkiwango

Member
Oct 25, 2011
85
125

Kuondoa hiyo message nenda katika Installation folder la IDM rename "IDMGrHlp.exe" kwenda "IDMGrHlpOLD.exe" na "idmBroker.exe" kwenda "IDMGrHlp.exe" utakuwa umemaliza kazi.
 
Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,962
2,000
Kuondoa hiyo message nenda katika Installation folder la IDM rename "IDMGrHlp.exe" kwenda "IDMGrHlpOLD.exe" na "idmBroker.exe" kwenda "IDMGrHlp.exe" utakuwa umemaliza kazi.[/FONT][/SIZE]

now this i call HELP....
thanks man maana ilikuwa kila ikianza hii mambo na uninstall na clean registry nainstall upya
 
Sirbuni

Senior Member
Aug 19, 2012
103
195
Inaitwa Intenet Download Accelerator. Ina features nyingi kama IDM & insupport mpaka 10 parallel downloads.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom