Search results

  1. Access Denied

    Msaada wa kiufundi tv aina ya LG 32LED

    Habari za weekend wana jamvi. Naomba msaada wa kiufundi nina tv yangu aina ya LG led inch 32 (sio smart wala digital) inakata power ukiiwasha. Tatizo lilianzia kwenye sauti miezi kadhaa imepita sauti ikawa inajikata muda mwingine inarudi but week kama 2 hivi sauti ikakata moja kwa moja na jana...
  2. Access Denied

    Naomba elimu kuhusu UHD TV, LCD TV, na Plasma TV

    Heshima kwenu wakuu, Naomba kwa anaefahamu kiundani zaidi anieleweshe tofauti zilizopo kati ya aina za Tvs zilizotajwa hapo juu katika nyanja za 1. Ubora 2. Uimara wake 3. Bei 4. N.K
  3. Access Denied

    Kwanini wanasoka wa Tanzania hawatoki kimapenzi na celebrities wa kike?

    ZUNGUKA kumbi zote za disko. Hautamuona mwanasoka yoyote wa Tanzania amemshika kiuno mwanamke maarufu (celebrity) katika fani yoyote maarufu kuanzia, filamu, muziki hadi siasa. Na sio hao tu, wanasoka wa Tanzania wanaishi dunia tofauti na wanawake wenye hadhi za juu (high Personalities...
  4. Access Denied

    Msaada jinsi ya ku-unlock Samsung galaxy s2 GT-I9100

    Natanguliza shukrani kwenu. Wadau naomba msaada wa jinsi ya ku-unlock simu tajwa hapo juu, ni simu niliyotumiwa toka nje ya nchi sasa kwa huku haikubali laini yoyote. Inatumia Android version 4.0.3.
  5. Access Denied

    Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

    Tangazo la kozi za Afya - 2013JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMIIMAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anakaribisha maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali zinazotolewa na Wizara ya Afya kwa mwaka wa masomo...
  6. Access Denied

    Nimsaidieje huyu mdogo wangu ana div four ya 26?

    Wanajamvi naomba mnisaidie kwa mawazo huyu ni mdogo wangu ameangukia division four ya point 26 na amefanikiwa kupata C mbili tu za chemistry na biology ila physics ana D na yeye ndoto zake ni kuendelea na form five kwa combination ya PCB na hapo tatizo ni kwamba hana credit 3 inabidi atafute...
  7. Access Denied

    Ndoa nyingi ziko hivi siku hizi!

    Wanawake walikuwa kwenye semina wakaulizwa., mara ya mwisho kumwambia mumeo kuwa unampenda ni lini? wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu.muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mumewe sms amwambie nakupenda mume wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome...
  8. Access Denied

    Msaada chakula bora kwa mtoto mdogo wa miezi 4.

    Wana jamvi naombeni kuuliza ni chakula gani bora naweza kumpatia mtoto wa miezi 4 na hata jinsi ya kuvichanganya maana najua vinakua katika mfumo wa uji.
  9. Access Denied

    Akili au Matope!

    Msikie mwehu huyu alienda kwa rafiki yake kupiga story, mara mvua kubwa ikanyesha mshkaji akabidi amwambie rafiki yake usijali utalala hata hapa sebuleni kwa kuwa mvua kubwa! jamaa akasema poa Nitalala usijali.! mwenyeji alipoingia chumbani kwake kulala kama dakika kumi akatoka chumbani...
  10. Access Denied

    Genius Planning!

    A young Chagga man walked into a bank in New York City and asked for the loan officer. He told the loan officer that he is going to Moshi on a vacation, for two weeks, and need to borrow $5,000. The bank officer told him that the bank will need some form o security for the loan, so the chaga man...
  11. Access Denied

    Nani mjinga zaidi?

    MCHAGA anamdai MPARE hela. Huku MSAMBAA akishuhudia MPARE:nimesema sikupi bora nijiue... (kwa ubahili wake mpare akajichoma kisu akafa) ... MCHAGA:kiruu umejiua mbee sikubali na kufuata huko huko unipe pesa yangu (kwa kupenda hela mchaga nae akajichoma kisu ili amfuate) MSAMBAA:tateee...
  12. Access Denied

    Mlokole na guest.

    Mlokole mwenye guest alikataa yanki mmoja aliyekuja na mama mtu mzima kupata chumba akisisitiza kuwa guest yake hairuhusu uasherati. Yule mama akaja juu na kumwambia Mlokole kuwa yule kijana ni mwanae, basi wakapewa chumba. Mlokole akamtuma muhudumu mmoja akachungulie kwenye dirisha...
  13. Access Denied

    Msaada jamani!

    Jana nimedownload window 8 ambayo ina ukubwa wa 2.38GB ila baada ya kumaliza kudownload nilivyojaribu hilo file halina ile icon kama ya setup na nikijaribu kufungua inaandika nichague application ya kufungulia. Naomba msaada wakuu juu ya hl tatizo na nitatua vp!
  14. Access Denied

    Tanesco Tanesco Tanesco!

    Jamani naombeni kuuliza mgawo wa umeanza tena? Maana toka jana mida na nyakati za kukata na kurudisha umeme zinafanana. Tatizo ni nini tena Tanesco?
  15. Access Denied

    Mkonge wa Taifa wa mawasiliano umeanza kufanya kazi?

    Wana Jf naomba kuuliza kuhusu ule mkonge wa taifa wa mawasiliano umeanza kutumika? Maana ulisambazwa karibu wilaya zote na serikali kugharamia usambazwaji wake huku kukiwa na ahadi lukuki juu ya faida za mkongo huo.
  16. Access Denied

    Ungekua wewe ungefanyaje?

    Unapewa taarifa kuwa mumeo wa ndoa yuko na hawara yake wamekaa garden, ile unafika karibu yao unasikia kimada wake anamwambia "Honey chukua hii laki 7 hizi umpelekee mkeo nyumbani umwambie zimsaidie kwa leo na kesho, ila ikifika mwisho wa mwezi nitakupigia tukutane sehemu nikupatie million...
  17. Access Denied

    Gerald Hando ana nini na serikali?

    Katika kipindi cha kuperuzi ameanza kutetea kua inawezekana zile fedha tsh mil 150 zilizokua zimeibwa na majambazi kariakoo kisha wananchi kuzinusuru toka mikononi mwa majambazi na kisha kuzikabidhi kwa polisi kisha polisi hao kukabidhi begi tupu kituoni kwamba hao askari hawakugawana fedha...
  18. Access Denied

    Funny Interview questions about IQ.

    Interviewer: There are 500 bricks on a plane. You drop one outside. How many are left? Applicant: That's easy, 499 Interviewer: What are the three steps to put an elephant into a fridge? Applicant: Open the fridge. Put the elephant in. Close the fridge. Interviewer: What are the four...
  19. Access Denied

    Practical examples in Mathematics

    Math Teacher If a=b and b=c then a=c, now give me the practical example of this principle from real life. Student : I love you sir and you love your daughter which means I love your daughter.
  20. Access Denied

    A Really Bad Day

    There was a guy at a bar, just looking at his drink. He stays like that for half of an hour. Then, big trouble-making truck driver steps next to him, takes the drink from the guy, and just drinks it all down. The poor man starts crying. The truck driver says, “Come on man, I was just...
Back
Top Bottom