Access Denied
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 655
- 209
Natanguliza shukrani kwenu.
Wadau naomba msaada wa jinsi ya ku-unlock simu tajwa hapo juu, ni simu niliyotumiwa toka nje ya nchi sasa kwa huku haikubali laini yoyote. Inatumia Android version 4.0.3.