Search results

  1. K

    Emergency: nakopaje airtime kwa voda na airtel?

    Wakuu,kama inavosomeka hapo juu. Usiku ndo umesonga na nna emergency ya haraka kupga simu,nisaidien tafadhali..nobody around here knows.
  2. K

    Mliochaguliwa SAUT Mwanza,here‘s the guide!!

    Hongereni kwa kuchaguliwa SAUT Malimbe Campus! Karibuni ‘tulijenge jiji la Mungu‘ huo ndio motto wa saut. Pia huku wanasema ‘our culture should be no fee no school‘ 1.chuo kiko malimbe,Nyegezi ni pembezoni mwa jiji lakini ni daladala moja tu from town na nauli ni sh 300. Unapanda basi la...
  3. K

    Msaada;natafuta hotel/lodge nzuri at affordable cost

    Habari zenu wadau, Sasa, naomba msaada wenu nina mgeni nampokea kesho,anahitaji kufikia hotel nzuri kwa kila kigezo lakini ya gharama nafuu hapa dar es salaam..budget yetu inarange kati ya 35 na 40 usd per night. Naomba mnisaidie kurecommend hotel hizo na gharama zake na adress. Nitashukuru...
  4. K

    Basi la sabina lapata Ajali tabora

    Wakuu, Kwa masikitiko makubwa nawataarifu ajali ya basi la sabina, ilotokea tabora kwenda mbeya baada ya basi kupinduka.Tbc wameizungumzia pia kwny jambo alfajiri hii. Tatizo wameeleza kifupi sana. Sie tuna kaka yetu alikuwepo kwnyw hilo basi Hadi sasa hatuelewi fate take hasa ukizingatia...
  5. K

    Just landed from big brother house,anyone interested to share the money?

    Wadau habari zenu, Kwa muda mrefu nimekuwa nikiperuzi kurasa mwanana za jamiiforums. Naomba nikiri pia nimekuwa nikitumia nondo(facts) zinazokuwa poured humu ndani sehemu tofauti tofauti na kujipatia credibility ya hali ya juu. Sasa,ni wasaa mzuri nami kujiunga ili wengine pia wanufaike na...
Back
Top Bottom