Search results

  1. M

    TUITION TUITION TUITION

    KARIBU TUITION TEGETA NYUKI TUNAFUNDISHA MASOMO YA SAYANSI PHYSICS MATHEMATICS CHEMISTRY KWA WANAFUNZI KUANZIA KIDATO CHA KWANZA MPAKA CHA SITA PIA HOME TUITION TUNATOA KWA MAELEWANO MAALUMU. KWA MAWASILIANO TUMA UJUMBE KWENYE NAMBA 0786855280
  2. M

    KUIBIWA VIPULI VYA GARI CARINA

    Salaam Wakuu.... Usiku wa kuamkia jana niliibiwa vipuli vya gari aina ya Caina Ti T711 DEH Kwakuwa jamii forum ni mtandao mpana nimeona ni vema kuwajulisha ili ambao mna magari mkawa makini msije kukutwa na yaliyonipata.. Vifaa walivyoiba ni side mirror,power window na taa za nyuma, vifaa vyote...
  3. M

    Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Nauza kiwanja changu kibaha. Mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0786855280. Kiwanja kimepimwa
  4. M

    Carina TI for sale

    Wanandugu.. Nauza gari yangu Toyota Carina Ti. Namba D bei pamoja napicha tuwasiliane kwa 0786855280.
  5. M

    Wimbo wa chozi la mnyonge na jela wa Ndanda Kosovo

    Wakuu habari zenu.. Samahani kwa yoyote mwenye wimbo wa chozi la mnyonge na jela wa ndugu yetu Ndanda Kosovo (RIP) anisaidie.. Nitashukuru sana
  6. M

    Gari Carina TI inakodishwa, ipo Dar es salaam

    Picha hizo hapo chini. Kwa anayehitaji kwa ajili ya kukodisha tuwasiliane kwa number 0712172380/0786855280/0765172380. A
  7. M

    Home tuition

    Habari wanandugu: Nafundisha masomo yafuatayo: Basic Mathematics na Advanced Mathematics kwa level zote Physics kwa level zote Bei ni nafuu sana. Napatikana kupitia number hii 0786855280 Asante
  8. M

    Looking for home tuition? Here I am (Mwalimu wa kufundisha nyumbani)

    Habari ndugu. Kwa yeyote ambaye anahitaji mwalimu wa kufundisha (home tuition) basi anione. Ninafundisha masomo ya Hisabati (Basic mathematics & advance mathematic) na fizikia (Physics). Ninatumia mbinu za kisasa kumfanya mwanafunzi aelewe vizuri juu ya kile anachofundishwa. Masomo yatakuwa...
  9. M

    Viwanja: Wazo Mivumoni kwa Makamba

    Wadau ninauza viwanja viwili vyote vipo wazo Mivumoni kwa Makamba. 1. Kiwanja cha kwanza ukubwa ni 20*20- Maji umeme vipo na usafiri wa daladala unapatikana mpaka karibu na kiwanja. Bei ya kiwanja ni milioni 14. 2. Kiwanja cha pili hakipo square. Ukubwa wake ni kama ifuatavyo; -...
  10. M

    Je ni wakat gani haswa wa mimba kutungwa

    Nilikutana na mpenz Wang cku za hatar. Awal alidai anackia dalili za mimba tulivopima hakukutwa nayo. Baadae mpenz Wang akanambie alinunua flag il akanywa masaa saba baada ya ten do kwa lengo LA kuzuia mimba kutungwa... kwa kwel ckumwelewa maana cjui kama flag il zina mahusiano na mimba. Wadau...
  11. M

    Mtaalamu wa maswala ya usingizi

    Habari wanajamii forum wenzangu.... Kwa yeyote anayefahamu dokta au mtaalamu yoyote anayehusika na maswala ya usingizi naomba anijuze hapa niweze kumuona. Kifupi nakosa usingizi kwa muda mrefu hivyo nataka niende hospital kwa tiba.. Asanteni kwa maoni na ushauri
  12. M

    Naomba kujuzwa faida za samaki aina ya pono

    Habari wana jamii wenzangu!... Awali ya yote niwasalimu katika bwana. Kwa anayefahamu samaki aina ya pono ningependa kujua anasaidia nini katika mwili wa mwanaadumu. Nasikia analeta usingizi naomba mnijuze ndugu zangu. Asanteni!
  13. M

    Tatizo la kuwahi kumaliza

    Habari wanajamii mimi ni kijana umri miaka 27. Nina tatizo kubwa la kuwahi kumaliza(kuwahi kufika kilele) hii inanipa tabu sana mana mpenzi wangu nakuwa simlizishi kwakweli ananivumilia sana kwa hali yangu. Naomba msaada wa ushauri wowote ama tiba kamili ya kuondokana na adha hii mbaya sana...
Back
Top Bottom