Tatizo la kuwahi kumaliza

Mwitakesowani

Member
Jul 24, 2012
94
29
Habari wanajamii mimi ni kijana umri miaka 27.

Nina tatizo kubwa la kuwahi kumaliza(kuwahi kufika kilele) hii inanipa tabu sana mana mpenzi wangu nakuwa simlizishi kwakweli ananivumilia sana kwa hali yangu. Naomba msaada wa ushauri wowote ama tiba kamili ya kuondokana na adha hii mbaya sana, la kwanza nawahi la pili hivohivo nanachelewa mda kila round. Kama kuna mdau yoyote aliyewahi kuwa natatizo hili naomba anipe tiba aliyotumia naogopa madawa maana yanaua nguvu nasikia kuna tiba asili ni zipi.

Hili tatizo la kuchelewa round limejitokeza baada ya kukosa usingizi mana silali na nilishawahi kuomba msaada hapa wa tatizo la usingizi naendelea na ushauri kidogo improvement ipo japo sifeel kama nalala kabisa, nipeni msaada kijana mwenzenu mana hili tatizo lanitesa sana.
 
Back
Top Bottom