Search results

  1. Misitu

    Mke wangu ameniacha njiapanda

    Hapo mke huna ndugu yangu. Hilo penzi lao ni hatari na lipo live ushahidi ni mawasiliano yao. Pia huyo mwanamke anampenda jamaa yake hatari kiasi kwamba aliamua kukudanganya. Je uendelee kuishi naye huku humuamini au uanze upya. Hata kama alitembea naye kabla ya kuwa na wewe why wanawasiliana...
  2. Misitu

    Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Naungana na wewe mkuu. Vijana wa Tanzania kama alivyoeleza mtoa mada ni kweli kuna tatizo. Mimi nimeona na kujiridhisha hasa utendaji kazi vijana wengi hawapo makini kama vijana wa nchi zingine. Wakipewa kazi hawafanyi kwa umakini na kujali muda pia mazungumzo yao mengi hayana tija ktk kujenga...
  3. Misitu

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Upo sahihi, hata ukimchukua mtoto mdogo uanze kumfundisha basic za mpira utagundua mpira na miguu haviko sawa, ila anavyozidi kujifunza ndo mfanano wa miguu kwenye mpira huongezeka, hii ina maana kujifunza mpira tangu mdogo kuna utofauti mkubwa na ukiwa mtu mzima. Nimeshuhudia mtu mzima asiyejua...
  4. Misitu

    Hii gari niliyonunua sijapigwa hapa?

    Mkuu, Nakuhakikishia hujapigwa. Binafsi ilinitokea Be Forward nilinunua gari tarehe 19 May 2021 nimepokea gari August 21, 2021. Tatizo corona imeleta shida biashara na usafiri wa meli. Nilipata gari bora kabisa. Uwe mvumilivu hizo ni kampuni kubwa huwezi kudanganywa.
  5. Misitu

    Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

    Pia unapocheza kuna codes zinajiandika, naamini njia zipo coded huwezi kumshinda kizembe.
  6. Misitu

    Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

    Mbona kataja ana miaka 36
  7. Misitu

    Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    Pia tangu lini wakaezeka na juu ili ujenzi uendelee nje?
  8. Misitu

    Kariakoo imehamia Stendi ya Magufuli, Mbezi Louis

    ...Zaidi ya Ulaya.. ? Ulaya ya wapi ya kufananisha?
  9. Misitu

    Msaada: Anayejua kuhusu Karaga Mti (macadamia nuts)

    Ndiyo mkuu, na ni kiungo chenye virutubisho kuliko karanga. Unaweza kugoogle "macadamia farming in malawi" kuna video ya wanavyotumia macadamia kama kiungo kijijini huko
  10. Misitu

    Msaada: Anayejua kuhusu Karaga Mti (macadamia nuts)

    Ndiyo wapo ila mwakajana ndo waliniunganisha mimi na Lima ambao ni Vwawa. Nilichojifunza kwa sisi watanzania watu wanaongea sana ila ukienda ktk uhalisia si hivyo. Kwa mfano mwaka jana niliwasiliana na jamaa yupo SUA akasema miche ipi na grafted na ya kutosha lakini nilivyofika pale miche haipo...
  11. Misitu

    Msaada: Anayejua kuhusu Karaga Mti (macadamia nuts)

    Ndugu Matindi94, Kujibu maswali yako napenda kukupa uzoefu kama ifuatavyo kwa sababu mimi pia ni mdau katika kilimo cha Macadamia. Macadamia (au karanga mti kwa kiswahili) ni zao jamii ya nuts au karanga kama vile korosho. Hustawi vizuri katika maeneo ambayo hulimwa parachichi, kahawa au...
  12. Misitu

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Mkuuu huo wizi ulitokea pia hapa Njombe jamaa yangu mke wake alikutwa na issue kama hii. Jamaa walikuja na issue za namba za tigo ila waliiba hela kupitia simbanking milioni 2 iliyokuwepo bank, pia simu ya mke wa jamaa yangu hao wezi waliishika kama anavyoeleza mhusika, ila baada ya wale wezi...
  13. Misitu

    Zifahamu kampuni bora za simu Duniani kwa 2020

    Kasema kampuni bora kumi za simu siyo simu kumi bora! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Misitu

    Tunauza miche ya miti aina ya mitiki kwa bei nafuu sana

    Upo sahihi mkuu, mitiki si kwa ajili ya nguzo. Huu mti ni 'the king of the woods' sifa kuu ni ugumu na kutoharibiwa na mdudu yeyote na matumizi makubwa yanayofanya uwe ghali ni kutengeneza floor za nyumba za kifalme na malkia pia linning kwenye boat za kifahari. Tukumbuke ni mti unaostawi mita 0...
  15. Misitu

    Wanawake kwa Hili mnatisha sana!!

    Mimi natoa 15 minutes kinyume na hapo naamini hakuona umuhimu pia akijua natunza muda next time hafanyi ujinga. Yaani apoointment achelewe masaa matatu? Hamna kazi? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Misitu

    Watuhumiwa wanne wa wizi wa mabilioni ya benki ya NBC jijini Dar es Salaam wakamatwa

    Wenzao hupanga plan hata miaka miwili, na pesa ikiibwa hata police wanachemka kusaka ushahidi na watuhumiwa. Jamaa wametia aibu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom