London ni moja ya jiji kubwa duniani lenye watu wa mataiga karibu yote duniani.na watu wengi wanaokuja uingereza lazima watembelee huo mji.
Bei ya kupanga nyumba kwa private landlords ni ghali sana maana chumba kimoja kinaweza anzia pounds 400-500 (shs mil 1.3 - mi 1.5)
Nyumba za bei...
Kiasi kilichotajwa na serikali ni rahisi kulingana na clinic binafsi zilizopewa ruhusa ya kufanya test ya corona Nchini Uingereza.
Serikali ya Uingereza inawafanyia bure wananchi wote waliopo uingereza lkn imepiga marufuku kutumia majibu wanayokupa kwa ajili ya kusafiria.
Clinic binafsi...
We muongo sana na hata haujui mtiririko wa kuomba ukimbizi barani ulaya.
Kwa taharifa yako...unapoomba asylum kama unavyodai kuwa LISSU kaomba basi jua kwamba huwezi kutoka kusafiri mpk unapokuwa granted.na ukishapata status ya ukimbizi basi hutotakiwa kwenda kwenye ile nchi ambayo ulikuwa...
Aliyekuwa Rais wa Peru kianzia 1990-2000 Alberto Fujimori inasemekana wazazi wake walihamia Peru akiwa mtoto mdogo. Na sheria za Peru zinataka Rais wa nchi awe ni raia wa kuzaliwa.
Fujimori pamoja na kuzaliwa japan lkn aliweza kuwa Rais wa Peru kwa miaka kumi mpk alipokimbilia japan na kutuma...
Usijichanganye hata kidogo kununua daladala....utalia.
Ukinunua daladala basi we uwe konda mpk pale utakapoona pesa yako atleast imerudi.
Zingatia nnayokwambia, yalishanikuta.
Nakataa hoja yako ya kwamba AJ anamuogopa DW.
Deontay Wilder alikataa offer ya dollar million 100 za DAZN ili apambane na AJ baada ya kugundua kuwa AJ atapata mara mbili ya hiyo pesa. Promoter wa AJ alitaka sana pambano lifanyike last year pale Wembley. Lakini jamaa akachomoa akisisitiza apate...
Hakuna line itakayofungiwa. Deadline itafika na watakuja na tamko jipya.
Serikali haina pesa na zaidi ya line mil 10+ hazijasajiliwa kwa mfumo wa fingerprints, mmeshafikiria ni revenue kiasi gani serikali itakosa kwa jambo hili la kipuuzi?
Tusubiri tamko la kujichekesha la serikali lakini sio...
Usiandike usichokijua Ndugu. UK line ya simu inauzwa pound moja, na unainunua tu kama unavyonunua pipi kwenye off licence. Huitaji kitambulisho chochote kununua pay as you go simcard.
Ukitaka simcard ya contract ndio unafanya vyote hivyo na bado unaweza usipewe kama credit score zako ni chafu...
Water pump ingekua imekufa angeshajua bila kumuita fundi, kwanza maji yote ya ktk rejeta yangeisha ndani ya dk moja mara tu baada ya kuiwasha gari na pia sign ya engine kuwa overheated ingetokea kwenye dashboard.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makange ni surname ya Robert Makange(R.I.P). Huyu mzee alikuwa ni mwandishi wa habari na alimiliki gazeti kipindi cha TANU na vuguvugu la kupigania uhuru.
Alikuwa na bar yake hapo mtaa wa Nkurumah na na ndipo hasa recipe ya Makange ilitokea pale maana walikuwa na wanatengeneza kuku aliye...
"Hakuna ndoa ya mfano"
Ni wewe mwenyewe na mwenza wako ndio mtaamua mtaishi kwa style gani maana mpk umeamua kuoa inamaana kuwa umeshapevuka kimwili na kiakili.
Cheti cha Uraia sio uthibitisho wa Uraia. Nchi zote duniani zinafanya hivyo.
Mtoto akizaliwa sehemu yoyote duniani lazima apewe cheti cha kuzaliwa (sawa na binaadam akifariki nchi yeyote basi kitatolewa cheti cha kifo.)
Ni marekani pekee ambayo mtoto akizaliwa huko na akiwa na cheti cha kuzaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.