Search results

  1. K

    Umeme kukatika ghafla

    Dodoma pia wamekata, RIP Mwendazake enzi zake umeme ulikuwa wa uhakika
  2. K

    Miradi ya Kimkakati wa Maendeleo na Ubonereshaji Fursa za Ujasiriamali Zimekwama Wapi?

    kichwa kinauma, ngoma nzito, dereva jasho linamtoka
  3. K

    Moral Destruction kila binti mtaani ana mtoto?

    Ma baa medi inaweza kuwa 97% wana watoto, ulichosema ni kweli, tatizo ni hiyo asilimia Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

    Miaka 38 unalilia urithi?, baba yako pia alirithi?. Achana na mali za urithi, baba yako ndio anamamlaka ampe nani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Banda la kupumzikia ng'ombe linatakiwa liweje?

    Mkuu kama una picha ya hilo banda tupia hapa tujifunze Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Msaada: Gharama za kuanzisha mashine ya kukoboa na kusaga nafaka

    horse power ya 20? ndogo sana kwa tani 10, hapo atafute ya kuanzia hp 30, akipata ya England ni nzuri zaidi
  7. K

    Kwanini Serikali isihamishie Makao Makuu ya nchi Moshi?

    kaeni hapo hapo, sio keshokutwa wote mpo dar
  8. K

    Wafahamu watu mashuhuri na nyumba wanazoishi

    huku sisi watuache na vibanda vyetu vya square metre 400
  9. K

    Nawatakia asubuhi njema watu wafuatao

    SALAM KWA BETO BOYS POPOTE PALE WALIPO
  10. K

    NATAFUTA WA KUOA FROM KAGERA

    TEHE TEHE, UMENICHEKESHA NAONA UNAJIONGEZA
  11. K

    Zahera yuko kibiashara, Yanga zindukeni

    SI JAMBO GENI KWA KOCHA KUMBRAND MCHEZAJI ILI APANDE THAMANI, TATIZO NI PALE LINAPOFANYIKA KWA MASILAHI BINAFSI, UTAKUTA HUYO MOLINGA ANA MKATABA WA MWAKA MMOJA TU
  12. K

    Kipanya Tena

    NGOMA IMECHEMSHA
  13. K

    Serikali yasaini Mkataba wa kununua ndege mbili za aina ya Airbus

    Tumetoa cash au safari hii tumejiongeza
  14. K

    Biashara ya mafuta

    Wakuu habarini! naomba mwenye kujua kuhusu gharama za uwekezaji wa biashara ya mafuta, ukianzia na mantaki, mita na ujenzi wa miundo mbinu ya kituo, biashara hii nataka kuifanya dodoma. kiwanja ninacho tayari. naomba kuwakilisha
  15. K

    Mhadhiri UDSM amwandikia Rais Magufuli barua ya wazi!

    Zama hizi maandiko ya namna hii hayana tija, Jiongeze braza kama unafundisha udsm omba part time duce ama kwingineko
  16. K

    Wafanyakazi Tanzania ivunjeni TUCTA!!

    Tucta ni jipu lililoiva tayari, wamekuwa watetezi wa serikali badala ya wafanyakazi, rais aliwadanganya wananchi kwamba atawaongezea mshahara kwa kupunguza paye mpaka leo hola, viongozi wa tucta wao bize kueneza sera za ccm
Back
Top Bottom