Search results

  1. B

    mkutano wa chadema london

    Mkutano Wa Chadema London M4C LONDON CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KINAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO LONDON NA SEHEMU ZA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA UFUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA LONDON. TAWI AMBALO LITAFUNGULIWA NA MHESHIMIWA GODBLESS LEMA UFUNGUZI HUO UTAFANYIKA...
  2. B

    Safari ya JK Monduli, Nape una maoni gani?

    Hoja unayo Nape, sema umeiweka kifasihi sana kiasi cha kwamba wasomaji wengine hatukuelewi. Na huenda kosa la msingi limefanywa na mtoa hoja ambaye amekimbilia kukushambulia badala ya kutoa hoja. Angeuliza hivi, Nape unajiskiaje kutokana na maendeleo ya siasa ndani ya chama chako hasa baada ya...
  3. B

    kinachofanya ccm wanunue udiwani hiki hapa

    Madiwani washtushwa upotevu wa ‘Shangingi’ la halmashauri Send to a friend Wednesday, 01 August 2012 21:13 Ester Sumira,Geita MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato,mkoani Geita wamemtaka Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Charles Maisha kueleza lilipouzwa gari jipya la halamashauri...
  4. B

    WITO: Mhe. Ndugulile; tafadhali liangalie hili la Viwanja vya Gezaulole

    Mheshimiwa mbunge naomba ulitolee tamko hili la viwanja vya Gezaulole! Kwanza wale waliokuwa na mashamba yale walidhurumiwa na wilaya ya temeke kwa kisingizio cha uendelezaji mji,lakini ilikuwa ni mbinu ya wakubwa kuwadhurumu wananchi asilia. Sasa, tunakuomba uwaulize na wakupe takwimu...
  5. B

    Nape hii ndio sera ya CCM mkuki kwa nguruwe?

    1. Hussein mwinyi waziri wa afya=mtoto wa Ally Hassan Mwinyi. 2. vita kawawa na dada wake wabunge wa CCM =watoto wa Rashid Kawawa. 3. David matayo mbunge na naibu waziri wa CCM=mtoto wa Cleopa Msuya. 4. Binti wa sokoine mbunge CCM Arusha=mtoto wa Edward Sokoine. 5. Mtoto wa bilali mbunge wa east...
  6. B

    Ya osama bin laden na marekani sawa na uamsho na ccm

    KWA MNAOFATILIA SANA SIASA ZA TANZANIA UAMSHO NI KIKUNDI KILICHOASISIWA NA CCM KUISAMBARATISHA CUF SASA MATUNDA YAKE YAMEANZA KUONEKANA BAADA YA CUF KUJIUNGA NA CCM WANAUAMSHO WAMEKOSA PA KUEGEMEA WANANZA KULIPIZA KISASI KWA MGONGO WA DINI,WAMECHOMA MAKANISA BILA KUGUSWA,WAMETANGAZA WATAKAOVAA...
  7. B

    hivi huyu utamlinganisha na kikwete

    President Kagame talks to NTV's Linus Kaikai - YouTube
Back
Top Bottom