Ya osama bin laden na marekani sawa na uamsho na ccm

bashemere

Senior Member
Jul 17, 2012
175
20
KWA MNAOFATILIA SANA SIASA ZA TANZANIA UAMSHO NI KIKUNDI KILICHOASISIWA NA CCM KUISAMBARATISHA CUF SASA MATUNDA YAKE YAMEANZA KUONEKANA BAADA YA CUF KUJIUNGA NA CCM WANAUAMSHO WAMEKOSA PA KUEGEMEA WANANZA KULIPIZA KISASI KWA MGONGO WA DINI,WAMECHOMA MAKANISA BILA KUGUSWA,WAMETANGAZA WATAKAOVAA VIMINI KUKIONA ZANZIBAR NA KIKUNDI HIKI KINAKUJA BARA KWA KUSHIRIKIANA NA CCM KUJENGA CHUKI YA KIDINI DHIDI YA MAHASIMU WAO CHADEMA NA KABLA YA UCHAGUZI WA 2014 MATOKEO YA ALSHABAB YATALIANGAMIZA TAIFA KWA UROHO WA MADARAKA WA WASHAURI WA KIKWETE .
MUNGU IBARIKI TANZANIA
:flypig:
 
​ni kweli unayosema kwani kuna mkakati wa watu wasiotaka kuona ukrito usitawale taifa hili tena na kuna wasiotaka mtu yeyote wa kaskazini asiingie magogoni lakini yote haya ni kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri wa rais mwenyewe ambaye kikubwa kwake ni kuwa nilikwa rais wakati fulani na nimewaachia nini watanzania na hana uwezo wa kuongoza.
 
KWA MNAOFATILIA SANA SIASA ZA TANZANIA UAMSHO NI KIKUNDI KILICHOASISIWA NA CCM KUISAMBARATISHA CUF SASA MATUNDA YAKE YAMEANZA KUONEKANA BAADA YA CUF KUJIUNGA NA CCM WANAUAMSHO WAMEKOSA PA KUEGEMEA WANANZA KULIPIZA KISASI KWA MGONGO WA DINI,WAMECHOMA MAKANISA BILA KUGUSWA,WAMETANGAZA WATAKAOVAA VIMINI KUKIONA ZANZIBAR NA KIKUNDI HIKI KINAKUJA BARA KWA KUSHIRIKIANA NA CCM KUJENGA CHUKI YA KIDINI DHIDI YA MAHASIMU WAO CHADEMA NA KABLA YA UCHAGUZI WA 2014 MATOKEO YA ALSHABAB YATALIANGAMIZA TAIFA KWA UROHO WA MADARAKA WA WASHAURI WA KIKWETE .
MUNGU IBARIKI TANZANIA
:flypig:

Wacha ujinga wee, sasa kama walichoma si ukawashtaki mahakamani?????

Nani huko Zenji mwenye shida ya kanisa.

Wazanziabari wanataka nchi yao mnatuletea upuuzi hapa.
 
​wewe ni mmoja wa wanumsho nini?
wacha ujinga wee, sasa kama walichoma si ukawashtaki mahakamani?????

Nani huko zenji mwenye shida ya kanisa.

Back
Top Bottom