hivi huyu utamlinganisha na kikwete

​tumuombe aongoze tanzania kwa miezi 6 tu atawaondoa watu wenye uswahili pale magogoni

we vipi wewe, na wa wapi wewe? :yawn:

inamaana tz hatuna vichwa vya kujiongoza mpaka tukamuombe mtu wa nchi jirani..??!!
 
Hatuna kabisa watu wenyewe wanaunga mkono hoja Kama mbunge wangu Ndungulile. Mwisho wa siku anakuwa mbogo baada ya kuukosa uwaziri
 
Watz tunachoweza ni kuona makosa tu, siyo vinginevyo. Kwa kukosoa na kufananisha ni First Class. Huyo anayekosoa mwambie atowe mawazo mbadala ya nini kifanyike anakuwa bubu, na wakati huo huo tunataka maendeleo, haiwezekani hata kama wamarekani, wajapan, wachina, n.k watapita kila nyumba kugawa fedha au kujenga miundombinu n.k baada ya muda tutaharibu na kuendelea kulalamika.
 
Dhaifu ni dhaifu tu...halafu watz tuwe na utamaduni wa kuanza kuchagua rais mwenye meno meusi ndo hatachekacheka.
 
Tanzania siyo kwamba hatuna watu wazuri wakuongoza tunao wengi tu.isipokuwa hawajapata na fasi ya kuongoza kutokana na waliopo madarakani kuendelea kung'ang'ania madaraka kana kwamba wao tu ndio wenye uwezo wa kuongoza peke yao.huwezi ukampata kiongozi mzuri au mbaya km aliepo madarakani haja ondoka.hata kagame mwenyewe aliamuwa kuingia msituni ili kuwang'oa viongozi waliokuwa wameng'ang'ania madaraka. bila kufanya hivyo leo kagame mzuri uongozi wake usingeonekana.
 
Back
Top Bottom