CCM hii ndio amani mnayotuambia watanzania tuzidi kwachagua?

bashemere

Senior Member
Jul 17, 2012
175
20
b714qt.jpg
 
wezi sana ccm hizo pesa walizoweka Uswiss wzirudishe nyumbani zitumike kurekebisha uchumi huku
 

Ndiyo hiyo hiyo hakuna nyingine! Watoto wahabugudhiwi na yeyote, hakuna mwalimu, hakuna madawati, hakuna vitabu, hakuna fujo, kuko shwariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wanasoma kwa raha kabisaaaaaaaaaa! Hali hii inanipata hasira sana, EE Mungu nisaidie nisije ua mtu hapa duniani, maana kuna watu wanafanya wenzao wajinga sana. Watoto wao wanasoma wa kwetu wanahudhuria kwenye jengo mfano wa shule. shhht!
 
Mungu wangu ni Tanzania au ni ndugu waliopata uhuru juzi ie Nambia au Msumbiji au hata Somalia kwa Alshabbab?? Kwa nchi tajiri kama TZ na tukiona hivi tusishangae kuwa jimbo hilo lina Mbunge, waziri na pengine rais ametoka huko. Mimi sishangai hapa tulipo twaweza kuona mambo mpaka tukazirai, ni kije kizazi chenye usongo na nchi hii iliyojaa maziwa na asali.
 
ccm ni kichefuchefu, ni afadhari kuchagua manyani kuliko wahuni wa ccm, shame on them,&*(&*(^&^&*%&*&^8 you
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom