Mkuu. Hivi unaijua "Nature" journal wewe au unakurupuka tu? Kupublish as a collaborative capacity na kujumuishwa katika authorlist bado ni jambo kubwa SANA. Kwanza, high-end research siku hizi ni collaborations, hasa katika biomedical research. Kwahiyo kuwa first author sio ishu. Siku hizi kuna...
Mkuu. Nadhani inabidi uainishe katika mada yako unaongelea wasomi (PhD holders) katika fani gani. Kwasababu, mada yako ipo kiujumlajumla utadhani waTZ wote walipiga PhD mtoni hawaandiki publications za maana. Nimeanza kwa hilo, kwani katika fani ya tiba, au magonjwa ya maambukizi kuna watanzania...
Siasa porojo. Leo nimeona hii pia.
Yaani wanalinganisha takwimu za ufaulu wa Div 1-3 wa mwaka 2012, na ufaulu wa Div 1-4 wa mwaka 2013 na kudai ufaulu umeongezeka maradufu (kutoka 10% mpaka 58%)!
Isitoshe, matokea ya 2014 yamekokotolewa tofauti na miaka mengine, kwahiyo hayawezi kutumiwa...
Wakuu. Hivi kuna mtanzania yeyote anayefanya kazi McKinsey & Co?
Naona kama wabongo tupo nyuma kidogo katika hii sekta ya management consulting. Hasa katika hizi Big Three: Bain & Co, McKinsey & Co, BCG....
Tupeane data kuhusu namna ya kujitayarisha na interview...
Jamani. Hamna dawa mpya ya ukimwi - tuwe wafuatiliaji wa makala na tusiruke kwenye conclusions.
Soma hapa kwa zaidi:
Dawa ya UKIMWI - huu ndiyo ukweli... - wavuti
Uzalendo pembeni. Watani wetu wa jadi wana taswira nzuri ya mlima wetu.
Fresh snow covered Mount Kilimanjaro seen at sunrise from Ambuseli game reserve in Kenya, May 04, 2008. (MLADEN ANTONOV/AFP/Getty Images)
Ni kweli. Tanzania haihusiki na Rhodes scholarship. Ila cha kufurahisha. Nchi karibia zote za kusini mwa Africa (SADC) wanachaguliwa. Tanzania inarukwa huku Kenya ikipeleka wanafunzi Oxford University kupitia scholarship hii.
Baadhi ya wanafunzi wa Kenya waliowahi kupata hii scholarship katika...
Naona mzee FMES anajirudia rudia.
* Kuwa ubunge wa kuteuliwa, na Uwaziri wa mambo ya nje wa Dr. Migiro haumaanishi kwamba automatically ana uwezo zaidi kiuongozi na utendaji kuliko Dr. Tibaijuka. Umeelezwa ya kuwa nyadhifa ya D-SG ni ya heshima ila ni appointment ambayo kiutendaji ni kama...
mkuu, hakuna mwanamke yeyote Tanzania sasa mwenye accomplishments zenye uzito mkubwa kama za Mama Tibaijuka, hapa tunaongelea record at office. Tutabishana hapa mpaka kesho.
from UN-HABITAT web.
"......
Anna Tibaijuka is the first African woman elected by the UN General Assembly as...
RIP Comrade Chachage.
Just to keep the record straight, rekodi ya mhadhiri aliyepata uprofessor kwa kasi kushinda wote Tanzania inashikiliwa na marehemu Prof. J F Rweyemamu. Msomi huyu alipata uprofessa UDSM akiwa na umri wa miaka 29, mwaka 1971. At that age alikuwa tayari ana machapisho...
mkuu. in 20 years, hii nchi haitakuwa na wanasayansi au wahandisi. Kwanza hisabati vijana wengi wanafeli? Pili, wale wanaofaulu somo hili na yale mengine muhimu katika fani nilizotaja (Physics, Chemistry, Biology) hawaendelei nayo baada ya form 6. Kwahiyo wanaoweza hisabati na physics wanaenda...
Tatizo curriculum ya kozi za engineering TZ ni mbovu, na vijana wengi sahivi wanaona ni heri kwenda kusoma biashara na kuanza kushika pesa mapema kuliko kwenda kuumia na ma'ikweshenz na kutokuwa na uhakika na kazi baadaye.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.