Search results

  1. T

    Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

    Mbona Viongozi wengi sana!!!!!!!!!? kuna kitu sio cha kawaida hapa kimejificha!! loh...!
  2. T

    Tanzanian - U.N. peacekeeper killed as Congo's army gains ground against rebels

    Jamani(Mzee Kichuguu,Manosa) kama mambo ya jeshi hamyajui ni bora kunyamaza,komando kumwita askari wa anga ni aibu. RIP-Komando
  3. T

    Presidents Kagame and Kikwete hold talks on the sidelines of the ICGLR Summit - Kampala

    murutongore Acha kujiunga na waTZ wenzangu wachache wapenda vita,kwa kuchukua picha moja kama kielelezo, wakati kuna picha nyingi wamepiga,Ni vizuri kutafuta amani na watu wote , na kwa hili uwa namuunga mkono JK japo siipendi ccm, ktk kadhia hii ameetembea na maandiko ya neno la...
  4. T

    Uhuru Kenyatta atashinda kwa 50.42% na Raila 45.15%...na ameshinda kwa 50.03%

    Naomba kuuliza hivi kenyan nao wanafutilia kwa karibu hivi chaguzi zetu!!?je zina umuhimu wowote kwao?kamaa sisi tunavyofatilia chaguzi za kenya.
  5. T

    HLRC kuiburuza serikali mahakamani kuhusu NSSF

    vyama wa wafanyakazi viko wapi!! huu ni wakati wa kutetea haki za wafanyakazi.
  6. T

    Inawezekana kweli Kikwete ni chaguo la Mungu

    1Sam9:15-17 Basi Bwana alikuwa amemfunulia Samweli, siku moja kabla Sauli hajamwendea, akisema, Kesho, wakati kama huu, nitakuletea mtu kutoka nchi ya Benyamini, nawe mtie mafuta ili awe mkuu juu ya watu wangu Israeli, naye atawaokoa watu wangu na mikono ya Wafilisti; maana nimewaangalia...
  7. T

    DOWANS yaibwaga TANESCO; TZ kulipa gharama na adhabu Bil. 185!

    Mzee DSM..Siamii Kama Sirikali uwa wanaisikiliza CDM huo ni uzushi,basi wabadilishe na katiba.
  8. T

    Shukrani zangu za dhati kwa wanaJF baada ya Uchaguzi

    Bado upo utumwani siku moja inakuja utakuwa huru,Ndiyo utajitambua kuwa hupo huru.
  9. T

    EU, USA should ban CCM leaders and their families ....

    Shamu mambo gani? tunaweza!!!!!!!!!
  10. T

    April Fools

    Mkuu FL1 Zab1:1Heri mtu yule ambaye haendi katika shauri la watu waovu, Wala hafuati njia ya wenye dhambi au kukaa katika baraza la wenye mizaha.(Siku ya wajinga ni kazi ya mfalme wa anga.Mkuu Waberoya upo!!?)
  11. T

    Israel approves new building in East Jerusalem

    Joshua1:4 Nchi yenu itaenea kuanzia jangwa hili hadi Lebanoni, tena kuanzia mto huu mkubwa, yaani, Eufrati, nchi yote ya Wahiti, hadi Bahari ile Kubwa ndiyo Mediterania iliyoko upande wa magharibi. 5Hakuna mtu ye yote atakayeweza kushindana na wewe siku zote za maisha yako. Kama vile nilivyokuwa...
  12. T

    Accidents at Kibaha: A Scientific Reason?

    Mzee Mwanakijiji..Sisi tunaoangalaia kwa jicho la mtu wa ndani,Pale ni madhabahu,ndiyo maana hakuna damu pale imeenda wapi!!!?angalia vizuri picha za ajali vizuri.pale panahitajika kuachilia damu ya YESU ndio kweli pekee,hakuna sayansi
  13. T

    Kashfa IMMIGRATION Dar Airport

    [COLOR="Blue"]Lakini hili siyo kila tom dick and harry can harass you. Kama unasafiri sana utawajua nani ni Immigration na nani ni Custom officer. Custom officer akiuliza passport ni verification tu[/COLOR] Mzee Waga1 inaonekana unasafiri sana. GT asafiri sana kwahiyo hajui kutofautisha,au na...
  14. T

    Exclusive: Njoolay mrahishie Kikwete kazi; jiuzulu mwenyewe!

    JUMLA ya vocha za pembejeo za kilimo 1,114 zenye thamani ya zaidi Sh 21 milioni kati ya vocha 34100 zilizogawiwa kwa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro zimepotea katika mazingira mbalimbali kwa mawakala wa kata tatu za Manispaa ya Morogoro. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi mjini...
  15. T

    lugha ya kichaga na uandikaji wake

    Hakuna kabila la Kichagga,kuna Wa-Machame kuongea kwao awasikilizani na Wa-Rombo,na Wa Rombo awasikilizani na kibosho nk, Kwa hiyo hawa ni kabila tofauti.Labda Lugha sio kabila.
  16. T

    Askofu anamiliki HAMMER ya 250million!

    Naomba kuuliza hizi Hummer tanki lake la mafuta linachukua lita ngapi? mafuta ya laki tatu?
  17. T

    Aziniye na mwanamke hana akili kabisa

    Mkuu Bujibuji unachanganya Mfalme Daudi yeye ndiye aliyeua jemadari wake sio Suleman,samahani nilikuwa naweka sawa,watu wengine hawasomi biblia wasije qoute vibaya.amani iwe nawe
  18. T

    Kakobe apinga waraka wa wakatoliki

    . Barubaru.Tatizo naona ni kwasababu Waraka wametoa Wakatoliki.Hata Kakobe anajua kuwa Waraka wake hauwezi leta tofauti. WaTZ na hata Mafisadi wasingejali/wasingeshughulika. Malumbano yanavyoendelea inakula upande wa Ufisadi na chama tawala.ngoja tuone muda utasema.
  19. T

    Business Opportunity kuwa ISP Mikoani na Wilayani

    Mkuu MF umestuka!!, Naona hutaki kutoa gmail
Back
Top Bottom