Habari wana jamvi,
SUMATRA ni chombo kinachohusika kusimamia viwango katika huduma ya usafiri wa nchi kavu na majini. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa kila nikipanda daladala au mabasi ya mikoani mara unakuta nafasi kati ya siti moja hadi nyingine (mbele na nyuma) inakuwa imebanwa sana kiasi kwamba...
Hongera sana mkuu kwa kubahatika kuhudumiwa mapema na bwana Badru. Kufika physically ni mojawapo ya wazo nililo nalo. Tatizo ni kwamba nipo mbali (Mkoa). Kwa hiyo unaweza ona ni jinsi gani ilivyo rahisi kwa bodi kunitumia mail ya statement kuliko mimi ("mdaiwa sugu" japo mkataba niliyosaini...
Habari wanajamvi,
Leo ninaleta kero hii kuhusu hiki kitu kinachoitwa HESLB, naam namaanisha Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini Tanzania.
Ni majuzi tu mheshimiwa Rais JPM alitengua uteuzi wa bwana mmoja aliyekuwa mkurugenzi mtendaji kwa muda mrefu sana ndugu George Nyatega ili kuhuisha...
Na pia Magu alipokuwa Moshi naskia Meck Sadick aliita viongozi mbalimbali kwenye hafla ili waongee na Rais wao wakiwemo viongozi wa dini, kisiasa n.k. Cha kushangaza viongozi wawili (Mstahiki meya wa Moshi na Mbunge) walipofika getini wakaambiwa na watu wa usalama kuwa "nyinyi hamuhitajiki...
Kwani hadi mtumie lugha chafu ndio ujumbe unafika? Navojua mimi Jamii Forums tunapambana kwa hoja si kwa lugha za kuudhi. Licha ya kutekwa na hisia za ukada jaribu kuwa mstaarabu kwa lugha unayotumia.
Kama vipi dada FaizaFoxy waambieni maboss wenu pale Lumumba waongeze dau manake si unaona mwenyewe inabidi mfanye kazi hadi usiku wa manane? Kama wewe ulivyopost humu usiku wa manane. Sasa buku 7 haitoshi kwa kweli ukizingatia watu mnahatarisha hadi ndoa zenu ilimradi tuu kuokoa jahazi ambalo...
Habari wana JF,
Naanza na swali: Je, ni halali kwa televisheni ya taifa (TBC) kutangaza habari kwa kupotosha?
Hii imetokea leo katika uchambuzi wa magazeti kwani mtangazaji aliyekuwa akisoma habari za magazeti anashika gazeti na kusema "habari iliyopewa uzito wa kipekee..." lakini cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.