Happy 26th Anniversary to me and my lovely wife Theodora.
I pronounce goodness and mercies shall follow us all the days of our lives and the Lord shall be our provider, we shall not want. We are blessed beyond measure.Once again, happy 26th Anniversary to us.
1.Nakushauri kama ifuatavyo:-
Kama mke wako yuko tayari kujitoa kwenye hiyo biashara basi anaruhusiwa kurudisha hizo bidhaa na kufutwa uanachama na kupewa fedha zake. Hii imo kwenye company policy iwapo tu tangu ajiunge hajafikisha miezi 12.
2. Hakikisha receipt aliyonunulia anayo na pia bidhaa...
Habari.
Ninaomba mtu anayeweza kuniconnect namna ya kupata Tshs.6,000,000 mkopo.Kifupi jamaa yangu ana shida na hiyo pesa na ameniomba aniuzie hiyo gari. Mimi nimelipenda hilo gari na natafuta namna ya kulinunua na kulipa kwa mapatano. Ningefurahi kupata ushauri. Uwezo wangu wa kulipa kwa mwezi...
Ndugu Mungu akubariki sana. Naona umekwisha fanya uamuzi wa kwenda kurasini, vinginevyo kama inawezekana Chamazi wako hoi na hasa chakula. Nimefanya utafiti binafsi na kugundua hilo. Haya ni maoni yangu yakikupendaza sawa. Jumla ya yote umenifanya nami nianze kuwaza juu ya watoto yatima kutokana...
Ni vyema pia kuelewa wengi wanaofanya hii biashara hawajui jinsi ya kufanya kwani biashara HUTAKIWI KUUZA bali walio wengi wanauza. Hilo ni kosa. Forever si biashara ya kuuza. Ningekushauri jifunze kwanza inavyofanywa nawe ukipenda karibu.
Mimi ni mwanachama wa foreverliving. Ukweli hakuna mamilion ya haraka. Ni biashara inayofanywa kwa mtindo unaojulikana kama network marketing.
Biashara hii kama utajituma basi baada ya miaka mitatu hadi mitano utaanza kuona faida ya kuifanya. Wengi huianza kwa mategemeo makubwa na huishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.