Msaada wa Website ili kujua watoto waliochaguliwa kujiunga na sekondari

Jun 6, 2012
44
95
Naomba mwenye kujua website itakayoniwezesha kuona orodha ya waliochaguliwa kujiunga na sekondari mwaka huu 2013 anisaidie.
 

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
10,857
2,000
Wote wamepelekwa hawajachaguliwa,ila kinachotakiwa uulizie wametupwa wapi?
 

Maswala

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
560
225
Majina maswala yote ya elimu ya msingi hadi secondari yako chini ya wizara ya elimu (moe.go.tz) na baraza la mithihani (necta.go.tz). Hapa ndiyo pekee penye taarifa sahihi juu ya swali lako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom