4 ever living

JOSEDIZOZ

Senior Member
Dec 29, 2012
134
30
Wazee,

Kuna hii kampuni ya Forever Living, inadeal na products kama lotion, juice, dawa za miswaki. Kuna mtu yupo humo ananishawishi kujoin the deal. Kwamba you can make milions of money easily.

Kama kuna mtu ashakuwa milionea through this company anitonye.
 
Kwa wewe muingiaji mpya it will take you more energy to reap the wishful profits and wealth out of it. The business works on a pyramid base where you have to build yours on your way to the top while at the same time help the one who has recruited you.
I can only tell you it will take your determinations and efforts to get there.
Take it as a neutral contribution of mine.
 
Tumia akili ndogo tu.
Jiulize na ujipe majibu kwamba:
Ushawahi kuona sehemu yenye pesa watu wanaitana?
Je anayekushawishi yeye ana mamilioni?
Hizo ni akili zinazotumiwa sana na waganga wa kienyeji..atakudanganya anakutengenezea utajiri wakati yeye ni maskini wa kutupwa.
Tamaa mbaya.
 
Mimi ni mwanachama wa foreverliving. Ukweli hakuna mamilion ya haraka. Ni biashara inayofanywa kwa mtindo unaojulikana kama network marketing.

Biashara hii kama utajituma basi baada ya miaka mitatu hadi mitano utaanza kuona faida ya kuifanya. Wengi huianza kwa mategemeo makubwa na huishia kuiacha. Mimi nakushauri ifanye na endelea kujifunza. Karibu.
 
Man..... hakunakitua pesa ya haraka foreva..... Utaishia kuuza product mwaka mzima.... but kama umeipenda ifanye kwa juhudi sana na ujitoe kwa lolote. Lakini usitegemee kupata utajiri wa haraka haraka kupitia forever.
 
Ni vyema pia kuelewa wengi wanaofanya hii biashara hawajui jinsi ya kufanya kwani biashara HUTAKIWI KUUZA bali walio wengi wanauza. Hilo ni kosa. Forever si biashara ya kuuza. Ningekushauri jifunze kwanza inavyofanywa nawe ukipenda karibu.
 
People make money through this business. Kwa mfano mwaka huu kuna watu wamepewa cheki ya milion 300 as a bonus kutokana na faida waliotegeneza kampuni, hapohapo bado monthly anaendelea kuingiza milioni 50.

Kusema kweli inalipa kama sio mvivu, na una uwezo wa kuingiza watu wakufanya hiyo biashara, binafsi nilikuwepo kwenye hiyo busness yamenishinda kwa sababu sina kipaji cha kuwapata watu kwenye business na watu wanaonizunguka they are not interested. Ila watu kiukweli wanatengeneza pesa jamani mpaka unawaonea wivu lakini ndo hivyo I can't go forward.
 
JOSEDIZOZ
Kuwa makini wewe, kama una mtaji wako, nenda kaanzishe kilimo cha nyanya. Kinalipa sana kama uki-time msimu.
 
Last edited by a moderator:
Tumia akili ndogo tu.
Jiulize na ujipe majibu kwamba:
Ushawahi kuona sehemu yenye pesa watu wanaitana?
Je anayekushawishi yeye ana mamilioni?
Hizo ni akili zinazotumiwa sana na waganga wa kienyeji..atakudanganya anakutengenezea utajiri wakati yeye ni maskini wa kutupwa.
Tamaa mbaya.

Hapo umenena kamanda.
 
Me niliuziwa dawa ya mapele ya ndevu mwe? 30, halafu mpaka wa leo yapo.
 
Tumia akili ndogo tu.
Jiulize na ujipe majibu kwamba:
Ushawahi kuona sehemu yenye pesa watu wanaitana?
Je anayekushawishi yeye ana mamilioni?
Hizo ni akili zinazotumiwa sana na waganga wa kienyeji..atakudanganya anakutengenezea utajiri wakati yeye ni maskini wa kutupwa.
Tamaa mbaya.

You got my Credits..!!
 
Ni vyema pia kuelewa wengi wanaofanya hii biashara hawajui jinsi ya kufanya kwani biashara HUTAKIWI KUUZA bali walio wengi wanauza. Hilo ni kosa. Forever si biashara ya kuuza. Ningekushauri jifunze kwanza inavyofanywa nawe ukipenda karibu.
Mmmh
Sio ya kuuza!?

Lazima uuze,no way
Nilijiunga,na nilihudhuria training ....shida tu,umtafute mtu umshawishi umuuzie!!
 
Wazee,

Kuna hii kampuni ya Forever Living, inadeal na products kama lotion, juice, dawa za miswaki. Kuna mtu yupo humo ananishawishi kujoin the deal. Kwamba you can make milions of money easily.

Kama kuna mtu ashakuwa milionea through this company anitonye.
Hii biashara ni nzuri sana,mimi binafsi nipo na kwa sasa naona karibu ntafanikiwa !
kwanini? network marketing ni mfumo ambao wewe unafanya biashara kwenye network yako,lakini at the same time unapata bonus ,kutokana na mauzo pamoja na kuingiza watu.Kitu cha kuelewa lazima ujitume,kushawishi watu na kuwaelewesha wakubali kuingia.Na product zake ni nzuri,kuna ushahidi mwingi sana juu ya ubora wa hizi products kwasababu hazitokani na madawa,ni vitu vya asili ambazo vimefanyiwa research kutibu magonjwa mbalimbali.Pia kuna safari nyingi sana nje ya nchi ,kwa ambao wamefikisha point fulani.

Nakushauri uje tukueleweshe vizuri,lakini ukisikiliza sana watu wengine wanajua kukatisha tamaa.

Kama kweli uko interested ni pm ,tutakupa maelezo mazuri na training jinsi ya kuifanya.

Acheni kuwadanganya watu eti 'forever living' nani alisema tutaishi milele?? Alafu nasikitika sana kwamba wanaolaghaiwa ni wengi wao wanaelimu kubwa tu.
 
Back
Top Bottom