Search results

  1. JosephElly

    Mafundi uchwara wanavyotuulia magari yetu

    Ndugu, pole... Hapo kagua unaweza kuta washatoa unga kwenye Exhaust. Nimejifunza the hardway habari ya kuamini mafundi... Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
  2. JosephElly

    Ushauri wenu wakuu katika hili kama familia tumebaki njia panda

    Dah, Usimbe kuvaa hivi viatu. Ila kwa wanaojua sheria sijui kama kuna sheria inayo shughulikia wanawake aina hii wa kubambika watoto. But akapime DNA tu kuhakikisha
  3. JosephElly

    Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi

    Hapa ndio nimeona Jumbe za Sister kwenye Group. Ila kwetu bado hajaweka Taarifa ya malipo. Unalipa ada, mchango wa Bweni ulinzi. Utaratibu kama shule ya uma. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. JosephElly

    Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi

    Doh na last term walikuwa na tour mbugani, Laki 4 kama sikosei. Honestly mazinde juu wako very unpredictable. Na chakusikitisha ni Kanisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. JosephElly

    Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

    Suluhisho la kuto jiamini ni kutafuta zaidi nafasi za kufanya kile unachohisi huwezi. Mazoezi pekee ndio sukuhiso, kuongea katika hadhara inataka uzoefu ambao hata uvute nini hutapata.
  6. JosephElly

    wapi naweza kupata hivi vidude kwa ajili ya wanangu

    Zilizopo jumia ni changamoto tupu. Nilinunua na hata hamna lamaana zinachofanya
  7. JosephElly

    swali: Hivi wanaume huwa mnatofautisha katu ya sex na upendo??

    Sex inaweza kuwa bila upendo, ila hakuna upendo Bila sex huo ndio mtazamo wetu.
  8. JosephElly

    SOLD: Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada

    Gari zinazoendeshwa na wadada ndio huwa na engine vimeo kupitiliza. Asilimia kubwa sio watu wa kufanya service kwa wakati.
  9. JosephElly

    Msaada wataalamu wa magari

    Inategemea na Position, Ila kwa mtazamo wangu hiyo ni Control Ya side mirrors Sent using Jamii Forums mobile app
  10. JosephElly

    Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

    You are a reader, Unajua hata kile kipimo hiwa hakiangalii actual virus
  11. JosephElly

    Je dada JIDE ni mjamzito? Mbona kawa mkali hivyo? Kanishukia kama mwewe huko inster

    Lol, Kama hujawahi kutana nae unaweza hisi ni mtu mmoja peace sana. Ila kwa binafsi japo sijamzoe na nilimeet nae mara moja nilijua ni mtu mwenye kujisikia sana. So hata hilo sishangai
  12. JosephElly

    Simu aina ya Tecno CX Gold inauzwa

    Bei 280000. Imetumika mwezi mmoja. Risiti zote zipo + original charger na earphone Bado Ina warranty Miezi 11 Imebaki 0753716279
  13. JosephElly

    Naomba Ushauri: Nimejikuta nimeoa mke aliyepitiwa na wengi

    Umeuliza mwenyewe alafu unalalamika?! [emoji23] Jikaze tulia na mkeo, unaweza ruka mkojo ukakanyaga nnya
  14. JosephElly

    Mume wa Wolper

    Unamjua Mdudu Kaa?
  15. JosephElly

    Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    Forex ndo angako la vijana wengi kwa mtazamo wangu.... Anayenufaika ni dealer na mteja wa mwisho anaumia. Ni kamali nakama kamali nyingine mteja wa mwisho ndo anaye liwa. Tamaa zetu vijana za kutaka fedha ya haraka haraka inaponza
  16. JosephElly

    Tecno c8 Inauzwa 150,000 imetumika mwezi mmoja

    Vipi haishuki mkuu? Mzigo nimeupenda
  17. JosephElly

    A LIST OF NORTH KOREA'S ALLIES

    Article full hii hapa mkuu, ni kweli NK na Iran walitimia bendera yetu. Tanzania: Concern As North Korean Ships Fly Tanzania Flag
  18. JosephElly

    Korea Kaskazini leo wameogopa kufanya majaribio ya silaha

    Is USA the world Police? KIM kufanya majaribio ni biashara zake binafsi. Jaribu kuvuta kumbu kumbu kidogo kwa Kilichojiri Libya na Iraq. Ipi kati ya Nchi hizo zilinufaika kwa kuingia mmarekani? USA yuko tayari kufanya mazungumzo NK ili kusitisha program zake za nyuklia, na si kuhusu mfumo wa...
Back
Top Bottom