Search results

  1. D

    Ramani za nyumba

    Jamani biashara matangazo tuma picha zinazoeleweka zakuvutia
  2. D

    Polisi waua raia

    sijui tunakwenda wapi majuzi basi limegonga bodaboda bila kujua mwenye kosa ni nani huko singida wanachi wakaamua kuchoma basi moto....sasa hili nalo sahihi mambo mengine tujiangalieni jamani
  3. D

    Polisi waua raia

    Swala ni kwa nn kujichukulia sheria mkononi
  4. D

    Yupi muhimu - Mtoto wa Kike au wa Kiume as first born?

    mtt ni mtt tu awe KE AU Me ni zawadi kutoka kwa Mungu
  5. D

    Wanaume naomba mnisaidie kujibu hili swali

    wanasetiri kajaa hako ni hatari kana sumu kari sana kanavimbisha tumbo la wadada
  6. D

    Msaada wa kuanzisha biashara

    Nimegundua Jf msaada ukiomba wakufanya biashara unaweza ukakata tamaa mpaka ukaamua pesa yako ukaitie kiberiti tu ...embu nenda vijiweni kwa wajasiliamali wadogo wadogo usikie ushauri wao humu ndani utapagawishwa tu؟
  7. D

    Natafuta mchumba aliye tayari kunioa

    uhakika si mpaka akuone kwanza na mjuane na mfaamiane....ila ww unaonekana unataka ndoa na sio mchumba kila laheri
  8. D

    Muungano mpya wa Wagombea Urais CCM: Nini hatma ya CCM 2015?

    hao wote wanaokwenda kanisani na misikitini kwa kufanya siasa wameshapoteza muelekeo kabisa tanzania yetu hatutaki udini wala ukabila hapa,!wasituletee fujo kwa maslahi yao binafsi.
  9. D

    IGP MWEMA: Natangaza dau la Tsh 50 milioni kuhusu bomu la Arusha.

    ila upelelezi unaweza hata kukamata watu zaidi ya mia ukiendelea kuwahoji na hiyo itasaidia kuengua wasiohusika ila kusaidia polisi kwa upelelezi na kuwa na uhakika na wanachokifanya.
  10. D

    Hata uwe na mwanamke mzuri kama malaika, nje lazima utoke.

    ivi kutoka nje ya ndoa kwani kunategemeana na uzuri au ubaya wa mkeo????jibu ndio au hapana
  11. D

    Nimelala na msichana mwenye mapepo

    umalaya wako utakuja nyonywa damu wewe
  12. D

    Hivi mbona baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana?

    inasikitisha kwa kweli ila mungu yu pamoja nae wanaokudhalau leo ipo siku watakusalimu kwa heshima.
  13. D

    Land Rover Freelander Model 2000 inauzwa kwa bei poa 11,000,000/=

    Hii engine ya rav 4 imewekwa hapa bongo au imekuja na hiyo engine du wabongo noma embu dadavua bro
  14. D

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    wewe utakuwa umelogwa na bibi ako mzaa babu yako unatuletea umalaya wako humu ndani tu.yaaani kisa shule yako tu???kweli hujaelimika malaya ww
  15. D

    Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

    kumekucha na makucha yake
  16. D

    Zanzibar: Imamu wa msikiti auwawa kikatili!

    Habari zinasemekana alikatwa katwa na majambazi au watu wasiojulikana
  17. D

    Namwacha Mchumba wangu kwa sababu ya SIMU!

    kaka huyo dem bado hajayamaliza ya dunia achana nae atakupotezea muda tu...
Back
Top Bottom