Msaada wa kuanzisha biashara

gkubwa

Member
Apr 3, 2012
70
6
jaman wanajamvi ninamtaji wa shil..milioni 2 je naweza kufanya biashara gani nzuri yenye faida kwa sengerema
 
Nimegundua Jf msaada ukiomba wakufanya biashara unaweza ukakata tamaa mpaka ukaamua pesa yako ukaitie kiberiti tu ...embu nenda vijiweni kwa wajasiliamali wadogo wadogo usikie ushauri wao humu ndani utapagawishwa tu؟
 
Back
Top Bottom