Imekuwaje tena wakuu, nimetembelea nikakutana n a kitu hii:
500 Internal Server ErrorAn internal server error has occured.Powered By LiteSpeed Web Server
LiteSpeed Technologies is not responsible for administration and contents of this web site!
Asante sana kwa michango yenu wadau. wenye kunielewa wamenielewa. wengine mmejiuliza na kujibu wenyewe. wengine wanajifanya wanaijua sana katiba, wanazi kweli kweli.
Mlioshindwa kunielewa msome hapa
Nimekutana na hii picha ya Obama akikimbizana na mtoto mdogo ikulu. unajua ni nadra sana kwa kiongozi wa taifa kufanya mambo kama haya. huu ni uvivu wa kufanya kazi ama ni mapenzi kwa watoto?. Na Tanzania je , katiba inaruhusu kufanya mambo kama haya? tupia maoni yako Mdau..
Ni kweli PhD. siku hizi kuwa Mwanasiasa inakubidi kujiwezesha wewe na familia yako kabla haujaachia ngazi, la sivyo wenzako baadae watakucheka kwa kuwa mwaminifu kupita kiasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.